Girls day out!
" We mkongo embu punguza kunitekenya miguuu, nina nyege ni balaaa. Acha kabisaa." Haaaaaa! Leilaaaaa! Wakashangaaa Dr na mwenzie. " Mnachoshangaa nini kama mtu ana nyege asiseme? Ndio nina nyege!" Mmmmmmmmh! Wakaguna tu. "Kama iko byeeee mi nakuja kukupa mambo ya Kinshasaa, mimi niko na dude kubwa ila wanawake wa Tz wanapendega. " Hahahaaaa. Tukacheka mkongo nae ashaona nyege zangu fursa.
"Leila usiongee hivo mbele ya hawa watoto" Dr nae ashaanza mambo yake. "Wangekuwa watoto wangekuwa shule hawa, ukiona wako hapa washakuzwa na dunia mi namalizia tu final touches. Eti wadogo zangu hamuikaliii, mjue na kudai pesa, sio kukopesha tu, kazi yetu hiiya kuuza vipapa haina pension wala kiinua mgongo. Fainali yetu uzeeni." Dar akawa dismayed kabisaa, sio siri napendaga tu kumkera mda mwingine.
"We Leila si ulisema mwaka huu haushi unazaa wewe? Ukasema siku hizi una hela utafuga bwana ila mwaka huu unazaaa. Heheheeee! Ungekuwa unapokea ushauri wangu unge zaa na mnyaluu. Hivi kwanini na ushangingi wako wote hujazaaga? Au huna kizazi wewe unatuzuga?"
"Mwenzenu kuzaa napenda ila mambo ya ukizaa uchi unapanukaaa, unakuwa hauna ladha, ndo yanayonitishaaa. Nime google madhara ya kuzaa ndo uke unakuwa mkubwa ndio, afu hauna ladha. Khaaaaaa! Ndo maana hukuti mtoto wa 16 mpaka 20 analalamika vibamia, au ishu ya wanaume kuwa na maumbile madogo. Ila sisi wadada wa 30s kwenda juu huko kibamia ni janga la kitaifaaa, sababu wengi wamezaaa. Wenzetu wazungu wanafanya vaginal plasty wanachagua mpaka size ya tundu kurudisha uke. Mi mume sina mwenzenu nikatanuke uke, uke wenyewe ndo ofisi itakuwaje sasa mnadhani. Nimetafakari hela ya vaginal plasty sinaaa, nimeona umri kwenda unaendaaa bora nizae kwa operation. Yani sitaki nini wala nini, nachotaka nikifika hospital ni kisu tuuu. Njia imetanuka, imebanaa, sitakiiiii, operation tu hela si yangu. Japo kutanuka utatanuka ila kidogo, kishkaji, mtoto mmoja sizai tenaaa. Mpoooo"
Watu wakabakia wanatingisha tu vichwa, Leila kweli hamnazoooo kichwani 00000 kama Bashite. Hilo halina ubishi, akili zake anazijua mwenyewe zilivooza. Mmoja akashindwa kuvumilia, "kuzaa hakuahribu uke wala nink, ingekuwa hivo mbona sisi tuna watoto wa 4 na bado tukifanya tunaumiaaaa? Ukikaa mda kidogo mume akiingiza unamia jinsi kulivo bana mbaaaa. Kubadilisha size ya mishedede ndo kunatanua uke, wewe unaweza kuwa hujazaaa, ila huo mshimoo mi nikasomeee, kubadili mi dude."
"Dr. Umesomea haya mambo waambie wenzio ukweli. Wanajipa moyo. Watoto wa 4 baas tena. Iko hivi we Zena, ulivozaa mtoto wa kwanza ulishonwa nyuzi za kutosha, wa pili nyuzi zilipungua, wa tatu hukusikia leta nyuzi wala sindano, wa 4 almanusura umzalie njiani jinsi njia ilivokuwa pana huko. Heheheeeee! Msinimezeee. Umri pia unatanuaaa, kuzaa bila kuzaa huwezi kupima kishimo changu na mtoto wa 16. Lazima niibuke kidedea. Dr sema kama mi nadanganya?"
"Bwana msiniulize maswali yenu ya kipumbavuuuuu! Shimo kila mtu ana la kwake!, atajijua na bwana wake. Tuongee habari za msingi nimepata bwana!....." Mkongo akamkatisha.
"Vile Leila anasema inaweza kuwa na maukweli ndani yake, maana mke wangu siku hizi sio sawa na nilivomuoaaa, nikahisi anauza ,echi na wanaume wa nje ndo wamemtanuaaa. Ila leila anasema ina make sense....." Mkongoooooooooo! Tushahama hio mada mbona hivo lakini. Embu Dr. Endelea.
"Bwana mwenyewe mjasiria mali..." Tukaangaliana kungoja tuone huo ujasiri wa mali alio nao, Dr hakuendelea. Nikashindwa kuvumilia nikamchokonoa! "Shemeji mjasiria mali zipi tena Dr. Mbona unatuacha hewani, watu na bahati zenu, wengine tuki recycle mabwana wenzetu mnapata wapya. Details please.!
"Yaani ana vibanda vya chipsiii ....." Tukapigwa bumbuwaziiiiii, mkongo akadondosha mkasi, mkongo kwa umbea huyuuuu. Tukaangaliana tenaaaa. Mi nikajikuta nauliza tena " Vibanda vya chipsi Macdonalds, KFC, au anataka kufungua Popeyees, kama ni hivo hio ni franchise kubwaaa, waoh i am happy for you!" Na wengine wakapata matumaini, we are happy for you. DR. Tutakuja kula. Akatukatisha "Vibanda vya chips vya chips Juma hizi za mtaani. Yani ana majiko ya chips. He is really a nice guy and good looking tooo."
Alininyongonyezaaaaaa mwili mpaka rohoni, hata kama umezaaa sio ku stoop that low kwa muuza chips jamani, baby mama wa Mujini. Mjuni itakuwa amefanya da,age kubwa sanaa kwenye self esteem ya dr. Loooooh muhaya yule shubhamit kabisaaa. Huuuuuuuuiu! Nikashusha pumziii. Sikuelewaaaaa. Watu tunakanyagana tuuuu. Nikaona hataaaa! Haina namna zaidi ya kumchana live.
"Come on Vicky! You are kidding right! But why?" Niliuliza kwa uchungu sanaa. " but why? Why? Leila you dont even know him dont be so judgy! Hata hujamuona ushataka kumpondaaa. I just happen to like him, he likes me too. Pesa zinatafutwa. He respects me, anajua nimezaa, kama ulivosema tuliozaa mashimo yetu makubwaaa sanaaa imagine wewe mwanamke mwenzetu ila ina discriminate to that extent je wanaume. You have no clue how men are cruel towards single mothers. Hujazaa leila, you have no clue. And dont say you understand cause you dont!. Mwanamke ukiwa umezaa kama umejipaka maviiii. We live the discrimination daily. The guy anajua nimezaa and he likes me for who i am. He took time to look beyond the fact i had a baby so many years ago. Why wont i take time to look beyond his financial incapability? I know how to make money, ill teach him. Like i said pesa zinatafutwa ila utu uko ndani ya mtu kama haupo haupo.
I am not like you, mimi sio malaya, siwezi kudangaaa, siwezi kujiuzaaa, and YES NAPIGWA FREE P, sana tu hata huyu chips funga kashanipiga FREE P za kutosha, and i am not ashamed i am not a hooker. I fall in love and i treat my men kindly with respect and dignity, not as greedy as you! Una million 100 bank ila ukimpa mtu uchi utataka nauli, i am just not you. Youa are my friend but your life i dont approve, pushing good men away from you for what? Fupi was a very good man, mnyalu had everything still not good enough for your ego, michael hakuwa na tatizo. Mi leo nakuchanaaa tatizo sio wanaume ni wewe Leila. Ushoga utakufa ufe tu ila nimekuchanaaa!"
"Haaaaaaaaaaaaaaaa! Vicky! That is so so mean of you! Shoga kama umeamua kufuga bwana we fuga tu, hii nchi huru but dont ruin my image to feel better about your self. Sawa mi malaya najiuza nakubaliii, na sijigawi bure ngooooo, nilipe nisepeee. What do i have? I have houses, cars, capital worth 100m, shops, fat bank account i have everything beach which you dont, Blame me on everything, hata Mjuni kukuacha pamoja na kumzalia ilikuwa tatizo ni Leila bila shakaaa" Ukapitaaa ukimya mrefuuuj sanaaa. Hamna anaeongea lolote. Vicky akashindwa kuvumilia.
"Leila maisha ni zaidi ya vitu, sijui wewe ila mimi natamani kuwa na mwanaume anaeniheshimu, ataempenda mwanangu, na kunithamini, niwe na familia yangu, tunathaminiana, hata kama tunakula mawe ill be very happy. Focus yangu iko hapo, kupata mume na familia baaaaaaas"
Nikacheka tu kwa masikitiko. " Hahahaaaaaaa! Mi nakuombea kwa Mungu shoga angu, akutimizie matakwa yako. Mimi na wewe tenaaaa. So uko past Mjuni ndo maanake muke wa muuza chips."
Ofcourse niko past Mjuni ndiooo. Kitambo tu mbona" Akajitutumua. Nikaendelea kumpima imani. "Kwa hio hata mimi nikitaka kujiweka kwa mjuni fresh tu, huna kinyongo? Si natafuta baby daddy ,wenzio, kama uke kupanukaaa upanuke kwa maslahiii, na mimi mwanangu apelekwe Morogoro Internationa, piano classes, ballet, we unafikiri wenzio roho hazituumi Cate anavokula maishaaa. Kama wewe umenawa basi wenzio tuachie makombo ya Mjuni."
Hahahaaaaa! Watu walacheka tu, Vicky akakaza sura " Ex are off off limits thag is the girl rule, so Mjuni is off your limits." Nikajua tu hana lolote la muuza chips wala bagia, bado anampenda Mjuni mpaka kesho kutwa. Mwenyewe nampenda mjuni kiaina nitaachaje kumpenda na mihela yote ile. Huyo mjuni mbayaaaa, mrefuuuu, skinny kama fidodido, ana mijichooo kama churaaa, afu black sasa muhaya OG. Pata picha sema pesa pesa zake zile, and he oozes class all over him, english yake, unajikuta unasema famillilah akinitongoza namkubalia. Hahahaaaaa! Nikaamua kumpooza maana Dr alikuwa anawaka moto kichini chini.
"Dr, njaa inaumaaa fanya tukahongwe chips kwa muuza chips, sinunui chips tena wakati papa la shoga angu linatumika na muuza chips, inahuuuu!" Hahaaaaaa! Saluni nzima wakacheka tu kwa masikitiko. Mpaka Shufaa akasema Leila kweli zuzu. Huna tofauti na zuzu kabisaaa. Nikamuuliza zuzu kafanya nini tena jamani hadi mnifananishe nae? Wakaanza kunisimulia.
"Zuzu mwenzio aligonga watu 50, akakamatwa na traffic, akaulizwa wewe zuzu kwanini umegonga watu Hamsini wote hao? Zuzu katika kujtetea akasema hivi "Traffic mimi mwenzio nilikuwa naendesha huku nikamuona mtu mmoja huku hamsini na sina pa kupita ningefanyaje?" Traffic akamwambia kwanini usingemgonga yule 1 ukawaokoa wale 50? Zuzu akajibu tena " Ndo nilichopanga kufanya, nikaamua potelea pote namgonga yule mmoja, sasa ile nataka kumgonga akakimbilia kwa wale 50, weeee, akadhani sijamuonaaaa, nikamfata huko huko alikokimbilia nikamgonge." Hahaaaaaaaaaaa! Tukacheka tu wote kwa huzuni.
Tulivotoka tukaenda kwa muuza chips, mi najua njiani ataniambia nilikuwa nakutaniaaaa. Wapiiiii.kweli tukapaki kibandani, nikajua ananichemshaaa tu, ataninunulia yeye. Akaja mkaka kweliiii, wakasemeshana kilughaaaaa, the eyes tu, nikajuaaaa baaaaaaaaaaaaaasss. Tushampoteza Dr. Nikaagiza kuku nzima bila chips. Mmmmh! Vicky ananikata tu jichooo. Vikaletwa.
Kweli kaka ana utuuu sio kidogoooo. Ila sio kwa banda lile bwanaaa. Vicky akataka kula kwenye sinia langu, nikamkata jicho na kumchana huyu namaliza peke yangu, agiza wa kwako. Vicky akatingisha tu kichwaaa. Akaenda kuvaa Apron, anauza na yeye chips za Mr. Hahaaaaaa! Mjini kuna vitukoooo. Basi akiniangalia nakufa kwa kichekoooo, yeye ananizomeaaa, basi nazidi kufa kwa kichekooo.
Akaja boss wake Vicky, akamuita vicky! Umefungua hapa siku hizi! I didnt know you own this place, Vicky akamjua boss wake akaita Dr. Lina, karibu. Dr. Linaanakomaa you own this place, its is amazing! Nimependaaa." Akamgeukia Shemela sasa na wewe kijana embu funga kuku 2 hapo haraka sio unazubaa zubaaa. Daktari huyu kijana fukuza kabisaaa hana customer service kabisaaa ...." Mi ndo nacheka mpaka machoziii mpaka mkojo unataka kunipenyaaa. Nikawa nangoja kama Vicky atamtambulisha Dr. Lina shemela au atauchubua. Akauchubua, nikasia Dr. Lina njoo kwanza huku tusubirie.
It did broke my heart tooo. Shemela kapanikiiiii mbaya anaangusha kuku hovyoo, anawafokea vijana wake usipimeee. Dr. Lina nae ana komaa nae, umeonaaa umeonaa Vicky hana management yule, muone muoneee. Anafoka foka, kufunga kuku mbili hours" Vicky could have come clean ila akauchubua tena kama Petro alivomkana Massiah.
Nikimuangalia shemea alivopaniki anagomba gombaaaa, ukwaju upo mbele yake hauoniii, anafokaaa. Jiko lili paralyse. Chipsi jikoni zikatolewa nyeusiii kwa kuungua. Dr. Lina nae kamkomalia shemela, onaaaa onaaa kaunguza chips. Ikabidi niende kumsaidia she ela kufunga hizo kuku 2, Dr. Lina aondoke tu jamani si kwa kunichekesha huko.
Dr. Lina alivoondoka, Vicky ikabidi tu acheke sema kwa kujibana shemela asimuone. Shemela akawa katuchunia wote na Vicky. Nikamwambia Vicky twende we are no longer welcome here. Shemela akanidaka juu juu "hujalipia kuku ulieukula hii biashara eti ananikazia, kanunaa na ushemela hatakk" Vicky akataka kutoa ile hela, cheko limembanaaa, mi nakaukaaa sijibaniii. Nikasikia " Leila mi nitamlipia kala nini kwani?"
Kugeuka yule Marioo nilikutana nae transit, kuchat nikataka kumpa mzigo, akaunawaaa na mimi sikumtafutaga. Nikamwambia "we msengerema upooo!" Akacheka tu. "Leila jiheshimu baasi, nakuja home tangulia nakujaaaa!" Mxiuuuuu kwa kijitutuma nako. Japo nina nyege ila nikamkazia "Uje wapi? Kodi walipe wanaume wenzio we uje, usiniletee ungese wako." Akachekaaa tu. " We malaya si ni ekulipia kuku hapa nzimaa, ulikuwa unaaibika, hahaaaa, kuku wangu umekulaaa, nasema utatoa hutoiiii?" Nikamjibu " Sitoiiiii! Labda ije na bia na nauli." Akatoa wallet kwani bia bei gani na nauli bei gani? Nikafata na kuchukua hela zote kwenye wallet. Vicky kidogo azimie. Nimamwambia uje usije utajijuaaa, mi nishaingiza hesabuuj.
Vicky akasema yani shoga unauza hadharani siku hizi hata kwa usio wajua? Nikajitetea, kaniita malaya,nifanyaje, ndo umalaya wangu nimechukua mpunga wote atembee kwa mguu kurudi kwake. Shubhamitttt, afu yule mi tunajuanaaa. Usimfikirie sanaaa. We waza shemeji kaitwa kijana wako, kanuna kama cobraaa, bora uanze sms za i am sorry. Tukachekaaaa upyaaaaa.
ITAENDELEA KESHO