Weekend Story! The Grass is always greener on the other side

Weekend Story! The Grass is always greener on the other side

My kikongwe compact njoo uku Lara moko kaanza uchokozi wake
 
SHORTY PIMBI.

Kwa jina naitwa J, aka Shorty aka Fupi. Msidhani labda fupi mbilikimoa walaaaa, ufupi wa kisela tu wa sarkozy. 5ft kishkaji tu. Many people have judged me basing on my looks, wanasahau kuwa sikujiumba mwenywe. Na ufupi hauni tiba wala dawa. At first i was so insecure aboutmy looks ila eventually i made peace with my self. If i am short so what? Bado nadinda kama kawaida. Whatever i lack in looks i compensate in character.

I have not been so successful in my life, but My mom is rich, like supper rich. She has always been rich. And will always have my back. Mimi ndo mtoto pekee wa kiume wa mama. Nina dada wa 2 by the way. Nampenda mama yangu hamna mfanowe dunianiii. Haitotokeaaaa

If anyone deserved to marry Leila it was me. Nilimfundisha tution form 5, hapo nangoja kujiunga na chuo UDSM. Nikamsoma akawa kama bado bikra bikra. Nikasema huyu hata simuwahishiiii. Nitamla taratibuuu. Ngoja nimjengee mazingira ani trust.

Kumbe mwanamke ni kama embe, ukimuona bado mbichi useme umuache akomae wenzio wanamlia kwa chumvi na pilipilk kwa mbali. Niliumia sanaa kufanya makosa kutokumla kabla hajaingia udsm. Imagine enzi hizo kumtongoza tongoza nafundisha mapindi, hela kidogo naweka wese kweny escudo ya home, namfata kwao, japo hakuwahi kunionesha, namkuta tu kona, na kimrudisha, acha bata nilizompa hazikuwa za kitoto.

Tukakutana tena UDSM safari hii nikasema namla, akawa keshapanda bei, simuwezi tenaaa, anabebwa ma watu wenye magati yao. Na mimi sikuwa na gari. Nikampanga mama na mzee, wakaninunulia Toyota baloom, nikaanza kumfukuzia kidogo nikawa na chance. Tatizo anachunaa sanaa na pesa sinaaa. We wote tunapata boom kwanini anichune. Basi tu hakunipendaaa.

Nikamaliza sikupata kazi, nae akamaliza tukakutana kitaaa. Nikaja kupata kazi namhudumia fresh, ila mchezo hanipiiiii. Anagawa gawa kila kona ila mwenzenu hakunipaaa kabisaaa. Namsimulia maza, ,aza ananiambia hakufaiiiiii. Kuna mda akawa kalost si kidogo nikasema i try one more time, nina kazi nzuri, nina gari, nimepewa nyumba na maza, akikataa basiiii. Alikataaaa.

Nikakutanishwa na mtoto mzuri wa ushirika, cha ajabu akawa ananipenda kufaaa. Nikamwambia nataka kukuoa, akasema sawa yupo tayari kwa ndoa. Mtoto mkaliiiii, Leilaaa akasome tena chekechea. Sema ndo maskini kwao hatari, Leila pia alikuwa maskini kwao sema sio kivileee, nilikuwa simuelewi.

Nikarudi kwa leila, mi naoaaa, nikajua she will be full of remorse and regrets ndo kwanza akanipa mchango 200,000 nioe salamaaa. Mmmmmmmhhhh mxiuuuuu. Nikaona kama vipi nioe tu sasa nifanyaje. Nikaoa kweli.

Though alininyima uchi sanaaa, we had chemistry we could talk for hoirs and hours bila kuwa bored. Ndo ,aana nanyimwa uchi leo, kesho namtoa tena out. Afu ni mtu wa mipango miji sanaa. Always thinking about her next move to make money.

It is a shame my marriage didnt last hardly a year, i can blame everything and everyone except Leila. Hakuwa na mkono hata kidogo. Kwanza alinitenga kabisaa, hata nikisema nataka kukununulia bia hatakaiii, wala haji, ananiambia wewe mume wa mtu bwana.

Soon after marrying my ex wife ndo nika realise usioe sababu muda umefika, oa sababu moyo umeridhiaaa. Mke wangu mzuriii, mzuriii haswaa, nitamtoa kasoro zote ila looks anapata A plus, ndo maana nikasema Leila akasome chekechea.

Yaani we had no chemistry whatsoever. Mke wangu sijui nisemaje, ni wale watu waliokiwa wanataka waishi maisha ya stages. Kwamba asome chuo, apate bwana, amzalie, aolewe, asirudi kwao Mbeya bila ndoa baada ya kumaliza shule.

Ndo maana toka nakutana nae kananiuliza kila saa utanioaaa? Utanioa eeeh? I didnt get the catch then, ila latter it all made sense. I slept with her like hardly 4 times, akase,a nina mimba. Mara kwao wananipigia simu unakuja lini kujitambulisha. Then things went so fast nikajikuta niko kwenye altare naoa.

At fist i was exited nimepata mwanamke mkaliii ambae haoni ufupi wangu ni issie, she is proud of me, ananionesha marafiki zake wote, akiniona analuwa exited, she was full of life. Nikajisema i could do this all day everyday. Kumbe she was exited the ring was getting closer.

Through out our short lived engagement, alikuwa mtu wa ndio J, sawa J, haina neno baby. Never ever challanging my authority. Mtu alietuliaaa, hana makuuu. Nikaona huyu anafaaa kuoa pila shaka. Haniombi hata 100 yangu. Mpaka nimpe mwenyewe.

Mama yangu hawakuiva toka mwanzo, first and foremost sio mchaga. Akawa anasema atakuwa tu mwanga huyuuu. Wanawake wa kusini sio wa kuoa. Ila alivokuwa akijinyenyekesha kwa mama, nikaona mama tu anamuone mtoto wa watu, kwanza mdogo mika 22. Nikawa namtetea. Mama anasema huyu binti ni jeuriii Leila haingiii ndani hata robo, mi namwambia we kila mwali humtaki basi nichagulie wewe nioe. Mi nilikuwa naishi Dar sanaa, binti yupo Moshi, sikujua mama kaona nini.

Baada ya harusi sasa ndo nilimjua. Kwanza akili yake ilikuwa bado haijakommaaa. Unaweza kuamka anawahi kuamka na kibendi chake ili tu aseme niachie gari, siwezi kwenda clinic bila gari. Mxiuuuuu. Yani nikikumbuka huko kwao Kyela walivokuwa kapuku alafau analeta jeuri kugombani gari, nikawa najikaza to hold my tounge. Napanda zangu haice.

Nikaona isiwe kero, nikamuagiza fun cargo imsitiri. Hataki fun cargo, ananiambia hio endesha wewe, ili yeye abakie na baloon. Nikasema ndo kweli mateso. Nikaenda kubadilishana na home, escudo ile niliokuwa nampa lift Leila kwa fun cargo. Akawa hataki tena baloon, anataka Escudo. Sasa Escudo ya mama na mwenyewe asivompenda sasa. Mdogo wangu alikuta akiiendesha, akampigia simu mwenye gari yake, akaja ghafla.

Nimeenda kazini nikaja tu kusikia kwa majirani mama alimtolea maneno sio mazuri kuhusu hio Escudo, kwamba kwao masikni asije kugonga gari zake, umasikini wa kwao huko huko asimletee. Ofcourse haikuwa sawa, ila mjue mama ni Mchaga ana nyodo na dharau za kichaga, mke wangu ni Mnyakiii tena wa kyelaa na mdomooo na kiburi cha kinyakiii. Sasa wife mama kijacho nikamchenjia mama.

Mama alitukanaaa, sijui ,napewaaga matakooo au ndo nyama za tako mshalishwaaa, hamuelewi hamsikiii. Naondoka siji tenaaa. Akaingi ndani akatoka na begi lake, nipeni funguo ya escudo yanguuu, akawasha gari jimama la kichaga na kutuachia vumbi huki. Wife akaendelea kutanua na baloon mi nikafata fun cargo.

Tatizo kazi yangu ya kawaidaaa sikuwa kitengooo. Nimemwambia wife clinic awe anaenda Lugalo. Ndo uwezo wetu. Huku na huku akakutana na Rose, shoga ake gani, kaolewa na big boss wa kampuniii gani sijui, nae ana mimba, yupo clinic Aghakan, ana special dr, Dr. Shafiq muhindi. Kama bima uwe na bima kubwaa. Mimi na wife wote bima less. Akangania nikasema tukamsikilize huyo Shafiq. Akasema yuko over booked. Hawezi ku accept mgonjwa mwingine isitoshe mimba ishaenda sanaa. Aka tu refer kwa Dr mwi gine bapo hapo Aghakan. Kumsikiliza Dr. anasema we are looking at 3 million almost akizaa kwa operation, na mtoto tayari mkubwa. Haaaaaaaa!

Nikaongea na maza, cause ni mjukuu wake akasema atatoa hio hela ila mke sinaaa na yeye mkwe wala hanaa. Ikaja anataka shopping botics zile zile nilizo kimbia Leila. Anaongea baby shopping ikafanyike Dubai. Sijui Rose na mumewe wameenda kufanya manunuzi ya vitu vya mtoto Dubai. Khaaaaaa. Nikajiuliza mimi nimemuoa Rose au nimemuoa yeye. Why should we always compete with Rose na mumewe. Nikakaa tu kimya, mambo ya ndoa unakufa kidogo kidogo mda mrefu.

Mara furniture hizi outdated, Rose kanunua furniture zake monalisa, we should get kama hizo. Namsikiliza tu, namwambia sawa, afu pesa sitoi. Akapata rafiki mpya Jully kama Rose nae, flithy rich. Siku nilikuwa tu natoka chumbani nikamfuma anaongea na simu sijui Rose analamika She married wrong, as if kuolewa na mimi ni makosa makubwaaa. Sina maisha nayompa, she is not lucky. Mxiuuuu. Nikajua utoto.

Alivojifungua, she bacame worse, ananungunikaaa, mda wote kanuaaaaa, kama ni mtu mwenye majutooo makali sanaa. Kila nachofanya kibayaaa. Nafuu upate mke malaya, atatombwa nje akirudi nyege zimetulia kuliko mke mwenye gubu. Ananyongonyezaaa. Ukiingia ndani ni kunungunikaaaa, kunungunikaaa mda wote. Kila kitu kwake kibayaaaa. Ameshindwa ndoaaa, bora aondoke.

Ikafika mahali mwenyewe nikawa naomba ani beep tu kwa kuondoka nioneshe advertise. Nikaanza sasa kuchelewa kurudi maksudi, mi sinywi pombe siku hizi, imenikataa kabisaa, napita bar, napiga story tu, kucheza pool mpaka saa 6. Kupunguza mda wa kukaa kizimbani kusomewa mashtaka.

Siku niko ofisini akaniandikia sms nimeshindwa kukaa na wewe, nimeondoka narudi kwetu Kyela. Mwanaume sijuo nini na nini barua nzima ya manunguniko. Kiukweli nilitaka nimrudishe ila nikase,a acha nijipe likizo ya wiki moja. Sikumjibu. Kurudi sikumkuta. Nikakaa siku 2, napata faraja. Japo mwanangu nilikuwa namkumbuka sio kidogo. Siku ya 3 nikamuita fundi badili vitasa vyote vya mbele jikoni na getini.

Ukapita mwezi, nikamtumia hela ya matumizi mtoto asitesekee. Ndo nikajua i share part of the blame, sikumpenda tu yule mwanamke. Kama kunungunika leila ndo mnungunikaji namba1, sometimes alikuwa ananungunika mpaka mambo ya kisengerema kama kwanini niliumbwa mfupi. Ila nilikuwa sikerekiiii. Nachekaaa tu. Ahisi mke wangu angese,a fupi, ningeyeyuka kwa hasira.

Alafu i was less of a husband more of a figure in the house. Mda wote nachungulia leila kapost nini, yupo na nani. I hardly noticed my wife. Kuwa mume ile kuwa na hamu ya mkeo mafeelings, walaa, sema blame me on everything ila i respected her and treated her well. Hata kwenye kula mzigo, nilikuwa nakulaa kweli kweli as if she was the only one in my heart, kumbeeeee heheeeee.

Mwezi wa 2, mama akaja kusema tumrudishe, ujue ndoa ya kanisani kutomaliza mwaka utaonekana wewe ndo mkorofi. Yeye yuko tayari tukayaongee arudi. Mi nikasema sipo tayari kabisaaa. Kama mtoto nishapata, na mimi naitwa baba, tena baba Janice, akae tu huko huko.

Wakwe zangu wakaanza kunitafuta kwenye simj, sieleweki. Mara wife ananitumia ujumbe usipokuja kunifata najiuaaaa. Hahaaaaa. Nikamuuliza nilikurudisha, au ulifukuzwaaa. Nikamkuta simu karudi, sasa kitasa nimebadilisha. Yupo nje, kazeeka, kachokaaaa. Alivonioa akanipigia magoti, nisamehe mume wangu, nyooo. Nikamuonea imani mwanabgu maana nako kamekuwa cheusiii, baridi la mbeya si mchezooo. Nikamruhusu kurudi ila mimi nikahama.

Nikahamia kwa mshikaji wangu, sahivi nimepanga ghetto. Mke wangu namtunza na mwanangu, na baloon nimemkabidhi. Basi siku hizi hataki baloon, hataki mashoga anachotaka mumewe nirudi nyumbani. Anashinda kwenye maombi. Hahaaaa. Kajirekebisha sio kidogo. Yaani yeye ndo ananitongoza mimi. Nikienda kuona mtoto mara anikalie na kanga moja kihasara hasara. Ananitegaaaa. Hahahaaa. Anachukua mbinu kwa mama za kunirudisha ndani ya nyumba. Hahahaaa! Parokokanitimia wito wa kuitwa parokiani si chini ya 10.

I dont know about the future but as of now i am a single free man, proud dad, and a hardworker.
 
Naona dude linaanza kukolea...ila hapana fanya yote usimpe mwanangu jina la mchepuko hiyo sio heshima
Wanaume wanaakili mbaya kuna chizi moja alimpa mwanae jina langu ila nilivyoingia kwenye ndoa namuomba mungu yasinikute
Yaani mwanangu apewi tu jina kizembe bora tu arithi ya kina bibi uwiiiiiwiiii
 
Back
Top Bottom