Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Yaani dee bwana sio mtu nimeamini kitu chochote ukiiangaikia ukija kukipata hamu upoteaga
Natamani msomali amuowe pendo tu.
 
jaman waungwana,tangia juzi nakosa chakucomment humu ndani, maana nakutana na mambo ndivyo sivyo, yaan sipati mpapaso wa moyo hata kidogo,Dee nae nyoko tu maana anaanza kuwa na tabia kama za kina james delicious

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Team msomali tulieni dawa iwaingie vizuri. Mlitunyanyasa sana, ni zamu yetu sasa!

- KANA -
 
Mpaka hapa tulipofika hata tukimpiga chini Sally sio kesi.
Tushashinda vita ya al-shabab.

Sema wanaume wote baba yetu mmoja, yani Dee kakaa meza moja na Msomali?

- KANA -
 
Nacheeeeka!

Mbona leo hujanitagg? Au kwa sababu tumekula muhudumu wa hoteli?

[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

- KANA -
Haha he who laughs last....
Mpaka hapa tulipofika hata tukimpiga chini Sally sio kesi.
Tushashinda vita ya al-shabab.

Sema wanaume wote baba yetu mmoja, yani Dee kakaa meza moja na Msomali?

- KANA -
 
Vita haina macho hii ila Dee mvumilivu sana [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] siwezi hudumia muda wote bila kujua matokeo ya mwisho yatanifavour vp.
Still niko team Dee[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Team msomali tulieni dawa iwaingie vizuri. Mlitunyanyasa sana, ni zamu yetu sasa!

- KANA -
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ndugu naomba uniache tu maana hata sijielewi sasa ivi nielekee upande gani ! ila acha tu niwe mvumilivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom