Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Hakun hisia mbaya duniani kama uwe unampenda mtu afu yeye hakupendiii na hana mdaaa kabisaaa na wewe. Ni ugonjwa mbayaaa sanaa na hauna kinga wala tibaaa. Yaani chakula hakipitiiii, kila kitu unakiona kibayaaaa. Hkuna kinacho kufurahishaaa. Yaani hata useme ubet au utizame mpiraaa unakuwa upo kama haupooo.

Mwanzo sikujua nampenda kiasi hiki, nilijua nampendaaa kwa kiasi chake, ila level hizi za nampenda siwezi kuishi bila yeye nilikuwa sijui kama zipo na siamini kama zipo. Nikisikia mtu kanywa sumu sababu ya kupenda naona anajifanyishaaa kupenda gani huko. Au mtu anakondaa ana kondaaa sababu ya mapenzi naona hayupo serious.

Nilivokaa siku zote zile sikumuwaza sanaaa. Niliweza sababu sikuwa najua mambo ya mwanangu, embu fikiria mpaka leo jina la mwanangu silijuiii. Hamna wa kuniambia. Mara kibao natamani kumuuliza Dee mwanangu anaitwa nani naona atapata kichwaa sanaa. Nikaamua tu kumpa jina langu mimi ambalo haitakuwa na maana sababu hatojua kama jina lake. Na document zote maana mpaka passport ashmtengenezea yeye na sijuiii kama hajamuandika Dee. Either way niliamua tu kumuita Hudat jina la my late mom.

kiliniumizaaakuja kukaa karibu na Sally afu anaishi na Dee, nyumba ile ile tuliokuwa tunaishi kiliniumizaaa sanaaa sababu nawamegea tu, katika maisha hupati vyote, kipindi kile nilikuwa maskini sina kituuiu but i was rich. Only i didnt realise it till now. Ni ukweli all the good things in life are free. Basi tu mawazo yetu ili upate vitu vizuri lazima uwe na pesa ndefuuu. Unahangaikaaaa nchi mpaka nchi just to realise you left the treasure back home.

Nyumba ile ilikuwa na lots of memories, lots of memories. Best days of my life. Afu mjinga yule yupo mle mle recreating the best memories of my life, with the woman of my life and daughter. Mara kibao napata mawazo ya kwenda kuitia ile nyumba kiberitiii, ipo sikuuuu. Nasemajeee ipo sikuuu nitaitia kiberitiii. Nasemaje nitaitia ki be ri tii. Bora wakaishi pengine ila sio paleee. Na kazi hio sitomtuma mtu yoyote nitaifanya mwenyeweee kwa mikono yangu.

Imagine unaishi unajua the woman of your life is near by anakazwa na jitu kama Dee, na linavoonekana shupazaaa linakulaaa bila hata kumbakishia baba. Na mimi Dee i ran a background check on him, he is dirty. Atamuua na ukimwi. Anazurura sanaa, Na hata nikisema mimi niseme si nitaonekana wivu tu umebikabaaa. Ataeniamini nani? Nikaanza kumuomba Lidya amwambie yeye Sally akagomaaa akasema she will find out on her own asingependa yeye kuwa snitch after all kati yetu sooote hakunaaa alie msafiii.We are all cheating or we have cheated before or intended to cheat soon au hatukufanikisha ila nia tulikuwa nayo so haina maana kumuhukumu Dee sanaaa kama ndo mwenyekiti wetu wa uzinzi ukute hata Sallyana mabwana kibao. Winni kazaaa nje ya ndoa ile mimba si ya mumewe ya kaka ake Sallyitakuwa Sally. Winny the pure harmless soul.

Nilishtushwa na ya Winni sanaaa, i knew Winny ndugu msomajiii, na nilihuzunishwa mumewe hajui maskini wakati kila mtu anajua pale mtaani. Niliumiaaa sanaaa. Na mtoto ni kiunganishi kibayaaa sanaaa, i felt pity for baba wa 3. Nikakumbuka na mimi Dee watazaa soon, koo lilinikauka.

Nikaanza kumpeleleza Sally if she is cheating on him kama Lidya alivohisi sikupata proof yoyote. Kulikuwa na dalili elekezi kama kitoka out na Lawyer yule dogo Janja ila Dee alikuwa anajua kila kitu mda mwingine anakuja kuwajoin baadae akamfukuza kazi.

Toka nimerudi Dee made several contacts prior pambano letu la ngumi na after. It was easy for him kuanzisha mazungumzo ya amani si sababu kashika mpini sahivi. Kama yeye aliporudi mimi ndo nilianza ku make nae contactsababu alinikuta nimejibinafsishia mwanamke wake, ananipendaa kufaaa, kaondoka kamuacha she moved on! Nikawa sitaki kuwe na ice between us nikawa namsalimia, najichanganya nae, he was rude mwanzo baadae akanizoea.

Nae akatumia gia hio hio. Kila nikimbalasaaa anarudi. Asibikute na kina Chriss. Hata nimfanyie scene gani ataomba kina Chriss watu suluhisheee. Kubwa alilolishikilia we cant be enemies maana we are both dadies to my daughter. He had a nerve. Unajua mi ni step dad you are the biological dad we should get along for Sallys sake. Its a lifetime journey we should notbe sworn enemies this early. The guy was a joke. Kwake kusema vile simple jioni anampiga pumbu the woman of my life, anambeba mwanangu he had it all. He was basically living my dream. Ndo maana akawa mwepesi kunitaka suluhu.

Then katika scenario zetu za mara kwa mara nikamwambia i know he was cheating on her. Hakustukaaaakasema tu,i know you wont say shit about shit cause first of all you are man enough to keep quiet, and second of all nikimwambia Sally he would be heart broken alone. Ata expose all cheatings za pale mtaani. Atamwambi Craig Lidya is cheating on him with Chriss, atamwambia mume wa Winni mimba ya Winni ni ya kaka ake Sally, Atamwambia Jolline, Tonny ana mwanamke mwingine. And it will all be my doing. It will all be my fault. Kama naweza lunyamaza za wengine na yake ninyamazeee. He dares me to tell Sally. Na ndugu wasomaji ningewezaje kusemaaa. I hope she will catch him sooner that HIV catches with them both.

Baadae Dee huyo huyo akaja kunipa ishu ya Sally kumtafuta Maliq na kumpata kwamba yupo Italy, na kusisitiza kabisaa we are even hategemei nyege kunishika nimwambie mambo yake Sally.We men should stick together. Nikubali matokeo kubakia mzazi mwenzie tuuu. Mi nilijua muongo ila nikataka nijue mwisho wake. Nikaamua kwenda na plan lake. Kweli Maliq alikuwepo Millan na Sally alikuwepo Millan. Kitendo cha Sally kuondoka na Dee ilihali akijua moyoni navojisikia baada ya kumtafuta mdogo wangu miaka yote hio, nilihakikishia mapenzi yameisha zamani. Angekuwaananipenda japo kidogooo tu, hata kwa mbali,angekujahata kunijulia hali siku ile.

Nilivorudi bongo, nikawa nimevurugikaaa sanaaa. Kweli Sally kumbe all these years anajua mdogo wangu alipo haniambii. Why? Kwanini? Nilimkosea kitu gani? Mpaka Dee aje aniambie. Kweli ndugu yako humjuiii.

Mambo yalinizidiaa nikaanza kudataaa. Kuna mwanamke mzuriii tu, from a well to do familly anaitwa Ulfat anafanya wizara ya madini, boss mkubwa sanaaa. Sikuwa na nia nae ila alibisaidia kupata vibali vyoteee,akawa ananipigia pigia simuuu kunijulia hali, Sidendo kunifungua macho boss huyu dada anakutakaa wewe tu hujiongeziii.

Nimerudi Millano tukawa tunachat, nikamwambia naumwaa na stress akasema anataka aniletee shampaign. Shampenii shampenii nikala mzigoookwa stress tu. Na nilimsuguaaaaa nilimsuguaaa dada wa watu kwa hasiraaa tu. Sikojoiii usiku kuchaaa. Na nilimuita Sally si chini ya mara 10. Nikiwa US na Nairobi nilikuwa nawaita wasichana Sally ila sio sanaaa mara moja moja. Dada wa watu akaniambia kaka naomba ukojoe nimechokaaa nikavusha akili ndo kukojoaaa.

I felt really bad kumfanyia vilee next day i bough her flowersand dinner. Stress hizi ni unaweza kujikuta unamla mtu Tigo mtuuu bila kutarajiaaa. In the dinner nikamwambia tu situation znima ilivo. Akasema yeye hana neno. Ni mdada mtu mzimaa sanaa afu ana stara na kujiheshimuuu sanaaa. Nikaamua kuwa nae kupunguza mawazo. Na stress hizi nahitaji mtu mzima wa kunimuduuu aniongozeee. Na alinitahidi sanaaa.

Huku kwa Sally apart from Dee cheating maisha yao yalinitiahasiraa sanaaa. Mjinga alikuwa ana cheat but he was treating her well. Mpaka Sally akaacha biashara anakaa nyumbani analelewa. Ukute Dee anaulizwa anasema tunampango wa kuzaa soon. Huyu wa kulea familia.

Ulfat katika masharti niliompa ni lazima awe shoga ake na Sally. Atumie mbinu zozote atazowezayeye nimtu mzimaaa amzoee Sally wawe mashosti. Mwanzo akasema haweziii,kwanza Sally kafiri anakunywa bia, anakula nguruwe sanaaa, mavazi yake ya uchi uchi, lugha zakeza matusiii yeye hawezi. Nambembeleza ana mtoto wangu huyo kafirikama huwezi kunisaidia kumpata mwanangu baaasi. Ndo na mimi anaitakaaa hatariii akakubali.

Sally didnt make it easy for her kujua kwanza baba yakemaskini, pili mwanamke wangu hakumtakaaa kabisaaa. Party akisikia tu Ulfat anaenda yeye haendi. Sasa yeye ndo The Sally kila mtu anamtaka kwenye party yake. Ulfat kawa haalikwi maskini. Nikaa kikao na Lidya kulalamika, Lidya ane mda mwingine mtu mzima ovyoo anasema Ulfat mzee, atafute mashoga wazee wenzie. Loooh! Nikamfosi Ulfat afanye party ya birthday and it was her birthday awaalike wote. Niliweka hela ndefu. Hakutaka kufanya ananiambia Huseein they dont like me, no one will come. Akawa hana uhakika maskini ila ndo kafundwa kumtii mume,mume ndo mimi hamnazoo.

Ilifikasaa 2 hajaja mdada yoyote hata Winni? Lidya? Ofcourse Sally hakuja. Nikampigia simu baba wa 3 kumwambia Winni hajaja kwenye party ya Ulfat akasema anaumwa ile ya uongo. Nikamuomba kuongea nae hola. Lidya simu haikupokelewaya mumewe akampa mtoto akasema baba na mama hawapo ya uongo kabisaa. Nijapiga kwa Dee akapokea Sally nikamwambia namuomba mwenye simu, akatukana tu na kukata. Nikpiga tena akapokea Sally na kuanza kuongea yeye nasikia ki party cha bibi bomba kimebumaaa. Hivi Hussein janamke zee kama hilo umetokana nalo wapi? Dee akampora simu akawa anatukana tu nasikia. Akajikosha nilikuwa bafuni wanawke hawa namba yako sija isave alijua mchepuko wangu, niambie nikamwambia never mind. Usiku ule ulikuwa mgumu sana kwangu na Ulfat ila ulipita salama.

Zikaanza dana dana za kesi. Ulfat kufatilia ikaonekana wanatoa pesa ndefuuu mahakamani. Na mimi nikapanda dau, sikutaka masihara. Maana mda huo hali baina yetu ilikuwa tete sanaa. Suluhu hakunaaa. Ilifika stage nikiw mahali akija Sally natoka bila kushurutishwa na mtu yoyote. Atatukanaa, atafanya ma scene mimi sio mtuuu, nataka kunyangany mtoto wakati nilimtelekeza, kashonwaa miezi9, ilimradi tu kuniharibiaaa.

Nikiwa sina hili wala lile baba wa 3 alikuja ofisini kwangu anahitaji ushauriii. Nikajua wa kiuchumiii. Akasema anasikia sikia mtoto wa Winni sio wake ni wa bwana wake wa zamani na kweli Winni kabadilika sana afanyaje? Nimshauri kama kweli sio wake afanyajeeeee? Anachanganyikiwaaa. Roho inamuuma mnooo mnooo.

Mmmmmmh! Mi nikamshauri tu apuuzie. Ukute uongooo mtupu watu wanazusha. Hata kama kweli ajifanye mjingaaa tu. Wanawake wote ndivo walivo. Kutoka rahisii ila kurudi ndo issue. Revange is for the weak but forgivenss is for the strong. Hata afanyaje mtoto atakuwa wa Winni tu. Asamehe tu ajifanye hajui baadae atazoea hio hali. Mbona baba Sally amekaa na Feisal na jua halijaacha kuwaka? Wameongeaaa watu wamechoka. Sijui kama alinielewaa. I just felt either way life facks us all.

Siku nikiwa ofisini kwangu akaja Dee kuniambia Maliq yupo kwao mda huu tunavoongea kaja mda si mrefuu kama simuamini nikajioneenilifanyiwaNiliinuka na kumuacha kwangu nikaingia bila kugonga na kumkuta kakaa na Sally. Alivoniona akaingia chumbaniii. Nikamfata huko huko kidogo nivunje mlangooo.

Sally katulia kwenye kochi, nikamfata kwani Sally tuna ugomvi gani mpaka you are turning my brother against me. Nimekukosea nini? Basi nisamehe. You know how i searched heavens and earth for Maliq now you are turning him against me. Akasema wewe kunichukulia mwanangu uliona rahisi??? Inauma mpaka kwenye uchiii. Sasa nakwambiaje endelea kumchukua mwanagu nikuoneshe kazi.

Nikamuuliza Sally kwani Huda si mwanetu wote, damu yangu, i deserve to be in her life too. Akasema kwanza huo mjina wa Hudda niufuteee. Anaitwa Lorraine na atabatizwa mda si mrefu. Hilo swala la kubatizana sikuliafiki kabisaa ila huu haukuwa mda wake. Ni swala jepesi sanaa kwangu kulisolve. Nikaongea kuhusu Maliq. Akanijibu kiwepesi tu ni mtu mzima na anajua wewe ni kaka yakesiku akijisikia atakutafutaaa. Jamaniii.

Hakunitafuta mwezi mzimaaa. Nikawa najaribu kukutana nae, nikikutana nae haongeiii. Nikamfata mume wa Eva nae akashindwa sana sana akauliza hivi huyo mwanamke anawapaga nini. Maliq akaanza kuwa frequent club na sehemu zote na anaongea na watu wote kasoro mimi. Kama nilimfanyia sijui ubaya gani.

Nikamwambia Dee mfukuze kwako pale, akose pa kukaa anitafute kaka mtu. Dee anajisemesha its complicated. Nikamkomaliaaa akasema mambo ya kwangu niachie mwenyeweee. Wewe na mdogo wako msinigombanishe na mke wangu. Baba zima lile kama halitaki kuja kwako mna mambo yenu. Sisi tushamzoea pale kwanza anajua kupikaaa sanaa, afu alikuwa afanya hotel huko Rome, kuanzia kina dada, shamba boy, mpishi sahivi wanapata five star training, kama tupo hotelini.

Roho iliniuma saanaa kwamba wamemfanya house boy kule kwao. Sema nifanyaje Sasa. Nikamwambia dogo labda azungumze nae labda tamsikia akaambulia tu kuwa blocked. Yeye ni kuzunguka na Sally kumbebea mtoto na pochi la pampers . Dada akawa anapata off kibao Maliq si yupo dada namba 2.

Madini nikawa sipati sipatiii. Side akanimbia mwanamke ulie nae atakuwa hana nyota boss. Mi sikuamini sanaa hayo mambo ya kiswahili. Na stress walizonipa Dee, Sally na Maliq zilinitosha kidumu karne walau 3. Sally ana jambo moja hata kama hamuelewani humo ndabi mnapigana mpaka migumiii mkitoka njeee mahaba niue ya hatariii.

Kuna siku tulikuwa tunakula sehemu, basi atamfuta Dee mdomo na tissue mradi kila mtu ajue Dee ndo bwana wake. Dee nae atambeba mwanangu hawaobi hata haya wote waswahili toto somalii. Na Maliq ndo mshika pembe wao, na toto linampenda Maliq kama ndo baba yake. Nikakataa tamaaa kabisaa kwamba hawaachani wale leo wala kesho.

Kweli nikawa nasikia jumapili mwanao anabatizwaa, mwanangu mimi huyu huyu. Na sikualikwa like seriously.Atabatizwaje kwanza Sally na Dee hawajafunga ndoa. Wale wote wamepokea na nini ila ndoa hawana na sio wazazi halisi. Wanaleta janja janja mpaka kwa Mungu. Wakakodi ukumbi shere kubwaa wanataka kufanya.

Jumapili nikatimba kanisanii na kuleta utata mkubwaa sanaaa. Ilikuwa aibu ya mwakaaa msisikie ndugu wasomaji. Yake mapilau sijui waliyamwaga au walikula hivo hivo ila mtoto hakubatizwa wala nini ndugu msomajiii. Shenziii type. Uadui wake sasa ukawa mkubwa sanaaa, its like i committed social suicide. Alikataa mimba anasaidiwa kulea haridhiki.

Ulfat tukawa tunagombanaaa kila saaa. Si simpendlinina akaanza kunilazimisha nimuoeee. Tukawa tume tengana kwa mda. Nipo mwenyeweee. Yaani ndugu msomaji nilishindwa kuvumilia sindano za Dee na Sally Featuring Malliq. Mara ya mwisho nikaenda kwa Sally na Maliq alikuwepo japo hakunisemesha nikamwambia Sally na Maliq, mi nataka kuondoka tenaaa. Mtoto basi namuachia amlee yeye anavotakaaa. Naamini she is a mother atamlea vizurii. Maliq kama kuna kitu nilimkosea basi anisamehe i am sorry i failed him for not being the big brother he wanted. Mi naoba nitaondoka soon sijui naenda wapi ila nitaondokaaa. Mtaniagia na Dee mwambieni nashukuru for filling in for me in my fathers shoes.

Sally akauliza swali moja tu kwambaaa utaondokaaa lini labda? Nikasema soon. Akase!a usiache ku send a post card once in a while kwa mwanao you know. Tujue kama upo hai au vipi. Did she just say mwanao? Nikasema nisije kuharibuuu. Nikajibu tu soon. Nikaondoka hata Malliq kunikimbilia walau aniulize kaka unaenda wapi au kaka baki. Wakabakia wananisindikiza na. Macho tu. I never felt alone in this world kama siku hii. Hata kumleta mtoto aniage. Wakavu waleee.

Nikafika mpaka getini nikarudi na kumuomba Sally basi naomba nimuage hata mwanangu. Akaniambia pita chumba cha kushoto kalala. Dee asikukute mi sitaki maneno mchana sahizi nina stress zangu. Niakingia n kumtizama mwanangu nikampig vipicha viwili vi tatu nikaondoka mdogo mdogo nikajua mimi na Sally haikuandikwa mbinguniii. Kama iliandikwa basi kuna jitu limefutaaa na sio ufutio tu, limeingoa n kuichana chana hio page kabisaaa na kumalizia kuitia kiberiti. I made peace with my mind kwamba whatever it was it is over, finito, done for good. Tutabakia wazanadatsexNikakaa siku 2 nawaza niende wapi mieee nikafie mbelee. Dunia kubwa ila nilihisi innibanaaa. Sina hamu na chochoteee. Kila nakotaka kwenda roho inakataaa. Nikawaza kabla sijaondoka sijui nikatie kiberitiii ile nyumbaaa ya kina Dee. Inshort kupenda kulikula kwangu.

Siku ya tatu mida ya saa 4 usiku nikiwa nimelala nasoma soma insta. Mlinzi akapiga simu kuna mwanamke anaitwa Sally anataka kukuona, nikamwambia mwambie ingie, nikahisi kama mtoto hajafa sijuiii. Nikaanza kuharishaaa kabla sijaambiwaaa. Nikajisemea kama hajafa siendi popote ile kesi naianzisha upyaaa. This is a wake up call whatif ningekuwa nishaondokaaa.

Niimefungua mlango nimetaharuki, nae kaja kataharukii. Nikamuuliza mwanagu mzimaa kwanza? Akasema mzimaaa yupo na Maliq. Ndo nikapata kwanza nguvu za kumsikiliza. Mi nimekaa tu natizama bishaamua kwamba BAAAAASSS afu najua kama hajaja kunisuta labda Dee wameishiwa kaja kunikopa pesa it is going no where.

Tukaka kama dakiak 45 haongei na mimi siongei, nipo Instagram. Ndiwoooo. Baadae akajisemesha Hussein nina matatizooo mwenzio, nina matatizo sanaa. Fack it huyu mwanamke nampenda sanaaa basi tu. Kweli kupenda ni ujingaaa. Nikamsogelea very concerned kama sio alietaka kumbatiza mwanangu na anaishi na Malliq sijui kamjaza sumu gani.

Bikamuuliza matatizo gani Sally tell me, if it is about money sio issue wewe ni mama wa mwanangu mi nitakupa. Akaanza kulia kwa nguvu, mi niba matatizooo, nina matatizo makubwaa sanaaa. Bwana weee ndugu msomajiii bila kujua matatizo gani nikaanza kumbembelezaa kifuanii. Duuuuh kama shoti za umeme. Hanyamaziii.

Nikaanza kumla mate, fursa kama ile bisingeweza kuiachaaa kabisaa, kuku kaingia mwenyewe bandani namuacha vipi unadhani, kisu ninacho na maji ya kunyonyolea bafuni heater ipo. Analalamika what are you doing Hussein. Nambembelezaaa si i am calming you down making you relax,its me Hussein your Hussein you can trust me. Kama mtu alievurugwa vile.

Mimi hapo nishausoma mchezo siku nyingi, defence zote nishazipima an kujua nitazivuka vipi na goli naliona wazi wazi. Hata angekuja naniiii hapa hapa right here and then huyu mwanamke nambato live. Nikaanza kumshika nidooo maana sio chuchu tenaaa. Akaanza kulegeza macho just the way i remember her. Nikakaza kumpa mateee fasta fastaaa maana hii ilikuwa mechi ya fasta fastaaa.

Nikaenda kuzima taa kwanza, ibaniletea gozi gozi, huku napiga hesabu za kumhamishia chumbanii. Ni mtu na kilo zake ila nilimbeba juu si napiga chumaa. Asikwambie mtu nilijikakamua sio kidogo. Nikambwaga kitandani. Nikenda kufunga na funguo mlango wa mbele na wa chumbani just in case. Nikampigia simu mlinzi hata akija raisi wa nchi asiingie humu, na kuhakikisha simu haipigwi mkonga nikauweka pembeni. Nikazima simu yangu na simu yake.

Anasema what i am doing, kama anajisemesha mwenyewe. Nambembeleza its me baby, your Hussein. Dont say you didnt miss me, cause i know umemiss hivi vitu adimu vya Full Picture. Nikaanza kumpa mate kwanza. I was taking my time. Sikutaka papara i waited for this time sio kidogo kidogo iwe never.

Akataka kunisimulia nikamwamvia shsssssss! Nakumtekenya miguu akadataaa. Alikuwa na nyege kibaoooo sikuelewa Dee namna ganiii, ila nitamsaidia kuzitoaaa zote you bet ndugu msomajii. Hapo nampa maneno lainiii I miss you so much baby.

Asante kwa kunizalia mtoto mzuuriiiiii kama Hudda na nilifanya kusudi hilo jinaa. Hakuleta ubishiii hapo shoti za umeme zinamtembea ana la kusemaa zaidi ya kusikizia utamuuu. Nambembelezaa i am sorry niliondokaa nilienda kutafuta maisha yetu, nilikosea kuto kuwasiliana bt you should have told me una mimba, ningeacha kila kitu nirudi. Navomwamvia mambo haya namchanganya kabisaaa. Ananiambia i wanted to but i couldnt. I just couldnt. Nambe!beleza shhhhhh! Its okay we are together now. Hapo nashuka na ulimi mpaka kitovuniii.

Sikuwahi kuzama chumvini sio kwa Sally wala nani ila siku hio nilijikaza kiumeee kushuka hivo hivo kikomavuuu. Alidataaa sio kidogooo. Nikampelekea passport size kwanza maana kitambo asije kuzimia buree,huenda Dee ni kibamia. Kalegeaaa ananiambia usinipe full picture baby Dee atajuaaa! Nawaza kumbe baada ya hapa kuna Dee nyoko kweli. Nikapeleka full picturee kamili.

Aliwewesekaaa vibayaa mnoo, inaonekana mambo haya alikuwa hayapatiii mda snaaa. Lege legeee just the way i wanted her to be nianze negotiations zangu sasa. Najua hapo hana ujanja wa kunibishia na jeuri yake mwisho wake ni hapo.

Nikamwambia unajua Huddat jina la mama yangu, na umenizalia mama yangu so unaonaje mtoto aitwe Huddat, huku namsugua taratibuu na kumpa matee na ulimi sikioniii. Anababaikaa sana jina halitakii raha zimemzidiaaa. Nambembelza please baby naombaaa. Sawa mke wangu naombaaa umpe mwanetu jina la mama yangu. Akasema sawa ill think about it. Namwambia niite baba Hudda! Ukiniita baba hudda nitasikia raha mpaka nakojoaaa baby. Akaniita baba hudda wangu rahajeee ndugu msomajiii.

Nikaanza kumbe!beleza sema you missed me? You did miss me didnt you? Ananiambia acha tuuu mpak kesho mda mwingine namuita Dee, Msomali au Hussein kwenye haya mambo mpaka kazoeaa sasa. Mi nampa mambo taratibuuuu.

Moyoni nawaza alichotaka kuniambiaaa ni kwamba wameathirika wote na Dee. Ina maana hio na mimi nakanyagia ringi wote tumeathirika tayari. Huku najipa moyo Sally hawezi kuniuaaa kwanza all the hatred cause she still loved me. Hata kama UKWIMWI nikiupata leo sina malalamiko kabisaaa juu ya lolote na nipo tayri kabisaaa kuishi kwa matumaini.

Nikamwambiia style inayofata ni kuukalia full picturee, anajua naipenda sanaa hio styleee. Analalamikaa mashine kubwaa sanaa kuihimi ishu mambo mengine ya vijana yeye ashakuwa mama sahivi. Nambembelezaa please babay mi na enjoy snaaa. Anase!a labda passport full picture nisije kuchana nyuzi zingine buree.

Nambe!beleza poleee baby wanguu umeteseka sanaa kuniletea Hudda, niruhusu nikuenziii. Usijali nitakufanya taratibuuu kama siku ile kwenye gariii mpaka Hudda akapatikanaa, utaenjoy. Hanaga ujanja kwangu. Kaanza passport kama kawaida yake, na nikamalizia full picture kama kawaida yanguu na ilimbabatiza kama kawaidaaa.

Ya mwisho kifo cha mende, nikamwambia kabisaaa ukitaka nikojoeee niite baba Hudda amra nyingi sanaa bila hivo nilivo usongo na wewe K itawaka moto leo. Na ukiniita Dee hata kimakosaa naanza upya kwa hasira. Akaguna tu. Ananibembeleza baba Huddah wangu, msomali wangu mwenyewe, baba ake mwanangu, baba watoto wangu, sijawahi kumpenda mwanaume kama wewe. Nikaingilia kwa hio Dee humpendiii? Simpendiii hata kidogo. Hakuna kitu kinatia nyege kama mbaya wako kutukanwaaa maeneo haya. Sijui waligombana sijui vipi.

Sio mimi ndugu msomajii mwenyewe alianza Dee msengerytu, tena falaaa, kmamnina zakeee, kwanza hajui kufanya vizuriii wala nini, mashine kubwa kuitumia hajui. Hajui kama wewe baba huddah wangu, unanifanya mpaka nadataaa, unajuaaa kunifanyaaa jamaniii baba Hudda sitokaa nimpende mwanaume kama weweee. Wewe ndo kiboko yanguuu. Wewe ndo roho yangu. Kwanza ulivokuwa na yule bibi nilikuwa nakufaaa kindani ndani kwamba unampa hivi vitu vyangu adimuuu. Ulimpaa nakuuuliz? Nikase!a sijampaaa siwezi kumpa mtu yoyote utamu wako, huu ni wako peke yako Mama Huddah! Nikupe utamu zaidi au huu huu unakutoshaaa? Unatoshaa baba Huddah, unatoshaaa utaniuaaa. Mi hapo kama nimeambiwa ongezaa dose. Mpaka nakojoa tuko hoiiii.

Na sikuchomoa mwiko kwenye ugali, nikaucha huko hukooo. Niaanza kuona hali ya hewa nzuriiii. Siku hio ni siku nzuriii. Chumba kile kumbe kizuriii na!na hioo sikuwahi kugunduaa. Kuna paiting sikuwahi kuinotice nikaiona nzuriii sanaaa. Nampa mate tu mdogo mdogooo nategemea aniambie anaenda kumchukua Hudda wanarudi huku jumla jumlaaa. I was happy.

Nikamuuliza una matatizo gani mama Huddah! Akasema i found out Dee ana mwanamke bar maid. Nikajifanya kustukaaa na kuumia sanaa kama sijui. Nikamkumbatia kwa nguvuuu sanaa na kumwambia it is all over. Sahivi uko na mimi mwanaume wako naejua thamani yako niliishi na wew miaka mi2 na not even once i cheated on you. It is all over.

Nikawasha simu yangu, ikaingia simu ya Dee! Akastukaaa. Nikataka nisipokee akawa kashaiona kapanic. Nikapokea Hallo! Akase!a Hussein Sally hayupo huko? Nikamwambia Dee maswali gani hayo of all places Sally awe kwangu tulivo maaduiangeenda hata kwa kardinali ila sio kwangu. Akase a it makes sense. Nikamuuliza kwema lakini. Akasema kwemaaa, we had a little argument akapaniv kaondoka kazima simu, nimemtafuta kila mahali hayupo, tumemtafuta wote hatujampata, I am so stupid Hussien, ill be more stupid to loose her, i cant loose her. Akija kwako Hussein you will tell me right man? We are friends right? Nikamwa!bia Dee akija nitakwambiaaa but its me Hussein hawezi kuja miaka mia naneee. I hope you find her. Akasisitiza if she comes you will tell me Hussein? Nikamjibu tu yes i will. Nyoooo.

Huku bibi kakurupuka kutafuta nguo zake namzuiaaa. Hasikiii. Namwambia twende tukamchukue mtoto. I will never loose you again, never. Kama vipi wewe baki hapa mi nikamfate Hudda. Alichonijibu ndugu msomaji kilimaliza nguvu.

Kucheat kwa Dee hakukufutiii wewe Hussein dhambi zako. You wronged me and you wronged my daughter, you wronged my father. You treated me like trash. Hata Dee acheat mara 100 haikufutiii wewe makosa yako na dhambi zako dhidi yangu na ukoo wangu na kukufanya mweupe kama thelujiii. Dee ana makosa yake na wewe makosa yako pale pale. Two wrongs dont make a right. Dee nae ana mambo yake mema mengiii tu ambayo hayafutwi na one night of spectacular sex. I am going home to my husband and daughter and family. I hope you understand it was just sex tonight. It could have been us but you left and Dee stayed. Goodnight.

Lile giza iikuwa maishani mwangu lilizidi. Na safari hii sio tu kwamba umeme ulikatika ila gridi ya taifa ya umeme ilipigwa mabomu na alshababu kuanzia vyanzo vya mto ruvu mapaka majenereta yote dukani.

ITAENDELEA KESHO.
 
Back
Top Bottom