Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

jaman waungwana,tangia juzi nakosa chakucomment humu ndani, maana nakutana na mambo ndivyo sivyo, yaan sipati mpapaso wa moyo hata kidogo,Dee nae nyoko tu maana anaanza kuwa na tabia kama za kina james delicious

Sent using Jamii Forums mobile app
Miii mwenyewe najikuta nakosa cha Ku comment kabisaa nkimaliza kusoma najikita nazima data tuu
 
Jamani leo episode either hakunaaa kabisaaa au usiku wa manane niko harusini mieee, shoga angu anaolewa kibiti hukuuu.
Kumbe ndoa ya Sally na Dee inafungiwa kibiti. Sina neno mie!

[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

- KANA -
 
[emoji27] nmeingia nkajua ntakuta Msomali kaenda kuomba radhi kwa Sally kumbe duh!
 
Back
Top Bottom