Haha msomali is the real thing, watch this space.....Doomsday ya msomali imefika.
He had everyone on his side, back in the days!
Lakini sasa hivi hakuna anaemuelewa ukiachana na shangazi yake Heaven sent!
Hiko kitoto kinamtosha.
Sema machale yananicheza, Tonny is the next big thing!
- KANA -
Ndio mumewe we ujasoma mwanzoDuh
Betina akimrudia Mike ataniuziiiiiiiiiii
Mkuu, umesubiri mechi inaisha ndo unachagua team!Me nipo kwa tonny naisi tunataifisha mama na mtoto wake atutaki ujinga
Nimekusoma mkuuMkuu usiquote pos ndefu namna hii, ni shida kwa tunaotumia simu!
- KANA -

Ole wako nikukute na kimarioo!!!! Narudia tena "ole wako". Hivyo vipaji muachie Heaven SentNdio tatizo la kulea marioo vikipata havikukumbuki kabisa yaan msomali ndio mana toka mwanzo nilikua namchukia
Na hivyo lara anampend!! Hapigwi laana ng'oooo!!!Haha Mungu sio shunie wala aunt yako espy, msomali ataomba msamaha na macho yatawatokaa
Haha hivi ni wanaume wangapi wamefugwa before kutoka?Ole wako nikukute na kimarioo!!!! Narudia tena "ole wako". Hivyo vipaji muachie Heaven Sent
Haha ulitaka ampendelee Dee?Na hivyo lara anampend!! Hapigwi laana ng'oooo!!!
Na walipotoka!!!!?????????Haha hivi ni wanaume wangapi wamefugwa before kutoka?
Ndio, au tony, ila sio msomali.Haha ulitaka ampendelee Dee?
Em kuwa na moyo wa kupondeka weweNa walipotoka!!!!?????????
Roho mbaya haijengiNdio, au tony, ila sio msomali.
Yaani hapo ndio umepondeka hadi mwisho.Em kuwa na moyo wa kupondeka wewe
Roho mbaya haijengi
Ole wako nikukute na kimarioo!!!! Narudia tena "ole wako". Hivyo vipaji muachie Heaven Sent


auntie nimecheka sana si kwa msisitizo huo ujue me nafata nyayo zako za kupenda mpesaHaleluyaa, Bwana apewe sifa.auntie nimecheka sana si kwa msisitizo huo ujue me nafata nyayo zako za kupenda mpesa