- kANA -
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 4,088
- 10,552
Fanya ivo kungiLeo tunaendele na days of our lives
[HASHTAG]#kutoka[/HASHTAG] ughaibuni
- KANA -
Fanya ivo kungiLeo tunaendele na days of our lives
tunasubiri fanani wetu..!!Leo tunaendele na days of our lives
Tulishaelimika hatupigani mkuuHuyu mwanamke anaepiga mwanaume na hawara yake atakua mtu wa kwa kina Tarime one!
- KANA -
Huyu ndio auntie yangu mie kweli nimfahamuAntie sikusamehe kwakweli, hebu tuma kampesa kwanza.
Big sis i miss youuTeh me mwenyewe ni mmoja wao, nipo fit zaidi ya betina![]()
![]()
![]()

Tonny imekula kwake avumilie tu alee mtoto wa kisomali.
usiku mwema jamani.Miss you too my lil angel, how have you been? Em niambie ni team nani humu?Big sis i miss youu![]()
Miss you too my lil angel, how have you been? Em niambie ni team nani humu?

nisha-declare team msomali najilipua kama alshababu
Hehe wozaaaa #TeamMsomali#nisha-declare team msomali najilipua kama alshababu
![]()
![]()
![]()
im gooood dear sister Mungu mwema kwa kweli
Tupo bado tunavumulia sijui ni mguu wa punda huu maana daaahHehehe wapi team Dee? ??
Shimo limetema,Somalia woyooooh!Nikiwa marekani bado sijasahauuuu, hata american dream sikuionaaa. Nimekaaa miezi 6, sijasahauuuu. Sally mimi nilijitunza mwenzioooo. Nilijitunza sanaaaa, roho iliniumaa mnoooo. Nikasema ina maana kujitunzaa koteee huko haihesabikiiii! Jamaniii hata wewe Yehova Jire, Yehova Sharma hujanionaaa, kutiii kote maandiko, ili niapate mume mwema? Jitu nimelipa bikra yanguuu, limekwapua na kusepaaa. Kina Romana wanajiuzaaa mlimani city day and night ndo wakupata bahati za kupendwa na the man of my life. Maisha ni mafaaan kabisaaaa. Kila nikijitahidi kusamehe siweziii, ndugu msomaji, siweziiii.
Siku ikaanza email toka kwa Michael, mama upo? Bush mzimaaa? Nasema mzimaaa. Sisi bongo tupooo. Namwambia na sisi huku tupo. Akani beep unarudi lini? Nikamuuliza nirudi nimesahau nini changu? Anazuga hata mimi hunikumbuki. Nikamwambia aaaah wewe matawi ya juu ya mkaratusi mimi tembele nakomalia chini chini nitakuwezea wapi, nimewaachia kina Romana. Fupa limenishinda fisi je mwenzangu chiwawa ataliwezaaa?
Anaanza oooh hayo usiyaongeleee, achana nayo kabisaaa, yatakuumiza kichwa. Heheheee! Imekuwa hivo jioni hii. Nikamwambia mimi huko sirudiiii Michael. Mmeninyanyasaaa sanaaa na Joan na Romana, mlitaka kuniua na stress. Sirudiiii. Mimi mbayaaa, mimi Betina, mimi marekani sijawahi kufika, mimi sina kishunduuuu nimekaukiana mti mkavu. Baaaas yatoshaaa.
Anakomaaa hayo achana nayo kabisaaa ni mapito ya duniaaaa. Kama kumpenda mwanamke nilikipenda wewe na bado nakupenda. Naenda kote narudiiii. Blah blah blah! Nikamwambia nakujia vizuriii, utanirudisha mbio mbio nije nishihudie harusi yako, sijiiii.
Miezi na miezi anakomaa rudiii, nakupendaaa, rudiiii. Nikikaaa kidogo tudola 500 kafanye shopping mke wangu, nae ngoja kukuoa. Usiporudi wewe jua mimi huku sioi milele, nitazeeka mseja. Nikikaa kidogo tudola mia 3, mama watoto wangu usikose nauli ya kuzunguka zunguka kwa Bush. Nikikaa kidogo tudola mia tano tena. Sio kwamba hizi hela zilikuwa nyingi sanaa zikanichanganya, no, ni sababu najua mshahara wake nje ndani, na najua majukumu alio nayo kwao. So yeye kutuma hizi pesa alikuwa anjinyimaaa sanaaa, sanaaa.
Nikaja kiambiwaaa na friend wetu, msamehe Mike, anakuhonga umrudie mpaka kauza Discovery kanunua Subaru nayo inamshinda mafutaaa. Akipata vihela anakimbia bureau de change, na western union kukutumiaa, hata kama kuombwa msamaha huko kwako kumezidi. Nikamwambia we unamjua Mike, one time he is so sweet and all, the next he is savage as.s monster, he is not stable at all. Mi ndo namjuaaa. Siwezi kutema bigi ggg kwa karanga za kuonjeshwaaa.
Sasa kujua kwamba anakunya kunya kupata pesa anitumieee, it meleted my heart. Nikapunguzaa kuwa savage katika email, nikaanza kuwa considerate. Nilimfungia viooo sio kidogo. Nikamshushia vioo kidogo anichungulieeee. Tukawa tunaongea ongeaaa na kuanza kunitongoza upyaaaa. Natuliaaa tuliii. Ananitongoza tena kwa mara ya pili.
Katika kutongozana akanitumia tiket nije bongo mara moja. Sasa nikaaga pale kwa baba mdogo sababu tiketi ni yangu na mimi mtu mzimaaa wakajiongeza tu. Njiani nikawaambia flight iko delayed, nitafika kesjo kutwaaa, tumekwama Dubai. Kumbe niko mjini, nimeenda kwa Michael, na ndo usiku huo huo mimba ikaingiaaa ya first born wetu.
Anajishtukiaaa hatariiiii, oooh nikuvalishe pete, nikamwambia sivalishwi pete bila mahari. Ndo wakaemda kulipa mahari, na harusi ikafungwa na mimba kubwaaa sanaaa. Nikajifungua mtoto wetu wa kwanza. Ya mungu mengi dogo ana mwaka mimba ikaingia ingine na hii ya tatu. Nimebananisha bananishaaa watoto mpaka basiiii.
Tunachangamoto zingine za maishaaa ila namshukuru Mungu we are happy! Hata wewe Sally ukimuamini Mungu atakufanyiaaa mambo yako. Ukimtegemea Mungu hutoaibika milele. Hatoacha uaibikeee. Mi ndo nakwambia whatever you want itakuwa na zaidiiii, mpaka utatetemeka.
Kiukweli ndugu msomaji nilifarijikaaa kiasi flani sio kwamba mzigo wangu utakuwa mwepesi ila kilio cha wengi harusiiii. Roho ilikuwa inaniumaa kweli kuzania shoga angu ana bahatiiii ya mtende kuota jangwani kumbe ndoa kaisoteaaa kuliko hata mimi. Haya yangu kumbe madogo sanaaa. Hata kufumania sijawahiiii. Loooh. Tukaagana aganaa pale.
Kesho asubuhi kati kati ya wiki nikaenda misa ya saa 12 alfajiri kuwasiliana kidogo na sr God himself. I used to love going to church when i was young. Baba alikuwa ananipeleka hata kama ni Ramadhan. Na kanzu yake ananingoja nitoke misa ya jioni tukafuturu. Kaka zangu aliwakataza kwenda kanisani ila mimi mpaka mwisho ananisisitiza nishike dini niliochagua. Maisha maisha nikatingwa na ya dunia.
Kanisani nikasema tu mimi ni mkosefuuu ila naombeni mnifanyie wepesi kidogooo huu mzigo wangu. Mimba baba kapoteaaa, huenda hata asiwe baba. Nimeshonwa papa, sina rahaaa, mpaka nawaza kabisaa jamanii si kuna kipimo cha mtu kistesekaaa. Nifanyieni wepesi kidogo mie mja wenuuu. Kidogo tu. Mbona sidhulumu wala kumnyanganya mtu kitu.
Basi Betina akawa shoga angu sio kidogooo. Mpaka akazoea kile kikundi chetu cha majunguuu. Kila mtu alimpendaaa mcheshi sanaa Betinaaa. Ananiambiaaa mtafute msomaliii, mwambie una mimba atarudiii. Namwambia mimba hii ni yangu na huyu mtoto nampa jina la baba yangu mzazi, kiteseka kote huku nimpe falasi yoyote mtoto nimerogwaaa au nimerukwa akili? Thubutuuuuuu!
Anani councel sasa haitakiwi hivooo, mwanamke uwe sweet, uwe mkarimuuuu. Muoneshe you need him back cause you do despite hio mask ya kujitia KLM kwa watu. Be humble. Weeeeeeeee! Mi Sally mnanijuaaa. Nikamwambia bora nikubali kuolewa na Tonny kumkomesha tu msomali. Ila sababu hajarudi mimi nikishusha tu, natafuta bwana mpyaaaa. Sifugi maradhi, sawa msomali nitamuomba atarudi mwaka labda akiondoka tena nitashtukaaa? Mficha uchi hazai na mficha ukweli bwana hakupendi ndo kama hivi kukimbiwa na bwana lunaniumbuaaa.
Tonny stepped up his game as if alipata bonge moja ya coach! Mara anailete mauaa, just because i miss you. Mara vi chocolate. Clinic akaanza kujifosi tu kwenda na mimi, nilishamkatalia ila huyo coach aliempata ni kocha wa dunia. Akawa na ma confidence balaaa. Kidogo alianza kunishawishiii. Afterall msomali hayupooo najibana nini, and it was good having a man around. Ila i was more interested kujua huyo anaemjaza upepo ni nani? Kama mwanafunzi ana major improvement hiviii, je mwalimu?
Nikahisi huenda shoga angu Betina. Akaja kunichana tu yeye anabelieve in romance, mimi Tonny sijampendaaa na analijua hilo, furaha yake nirudiane na msomaliii. So hawezi kupoteza mda kumjaza upepo tonny. He wishes Tonny aoe tu mtu mwingine ambae ata mu appreciate for who he is, where he wont need coaching or stepping his game up. Ambae he could just be himself and make the lady happy. Nikajua sio Betina. Nilipeleleza sanaa sikujuaga ni nani.
Ila Tonny alikuwa na major improvements kama mwanafunzi ningempa outstanding performance. It started small, zamani nikimfokea tu ana back off, baada ya kukutana na kocha, akawa nundaaa. Anase,a najua hunipendiii, can we get past that fact. So nakuja clinic na wewe. Hata kama hunipendi i am here, he is not. Jamani jitu kama hili unalichukiajeee.
Kazi ya kinikanda miguu ilikiwa ya Feisal, ila sasa ujana mwingi, mara anikande anaangalia mechi, hamna hata anachokanda cha kuelewekaa. Tonny akaanza ile kazi, anaifanya kwa moyo hatariii. He is a busy man ila appointment ya siku za kunikanda miguu he never miss.
Kazi nyingine kubwa na nzitooo kweli kweli ilijitokeza hapo kati hata Feisal nilishindwa kumpa akawa anaifanya mama yangu mzaziii. Ikabidi aje akae na mimi. Sasa na yeye mdogo wake, ambae ndo roho yake akawa anaumwa Arusha, maneno maneno wifi yake hamuangaliii vizuriii, mke wa mjomba sasa, dada mtu ndo kuniambia ngoja nikacheki upepo narudiii. Nikasema tobaaaaa.
Kazi yenyewe ni kwamba nilikuwa siwezi kuflash choo. Nikiflash natapikaaaa mpaka basi. Ile sauti na maji navoyaona nachefukwaaa. Nikawa nikojoe au ni pupu siwezi kuflash, naita mamaaaaa! Basi mda mwingine ananinyanyasa na mimi nina mama yangu bwana. Au ananiulizia sebleni kubwa au ndogo nijiandae kabisaaa. Hahahaaa! Nikiflash na kutapika ananihurumiaaa. Anamtukana msomali sio kidogooo, kakimbia makimba yake huku kututia nuksiii wenzieee. Mara jana ulikula nini kama umeoza tumboni. Hahahaaaa.
Mama kuondoka, Feisal kijana siwezi kumpa ile kazi, baba pia siweziii. Nikasema basi nitajikazaaa. Nitamdekea nani. Akaja Tonny akaniambia mama kaniambia tatizo lako. Mmmmmmh! We ukifanya yako niite nije ni flush. At this point nikawa naomba tu Mungu awe mtoto wake si kwa ma care hayaaa. Tonny kaifanya ile kazi mwezi mzimaaa. Hakuwahiii kutoa neno. Mama karudi kukuta Tonny anaifanya kajikausha kimyaaa kwake. Sasa na Tonny tukawa tumezoeana kupita mipaka, maana mpaka pupu zangu kashazionaa za kutoshaaa.
Nakaribia kwenda kuzaa, nikakumbuka sijanyoa, nikawaza mineno ya mama nikamwambia Tonny aninyoe. Si alishakula mara moja. Definately atakula tenaa, si kwa kuflash pupu zote zile nitampoza kishkaji. Akaninyoaaa hivo hivo japo ndo dushe lilisimama wimaaa. Nikazidi kuomba mtoto awe wake, manake nisha makeup my mind ill date him definately na naweza kuishi nae. Kufanyana nitamielekeza tu.
Nimeshikwa uchungu usiku, alinipeleka feisal hospitali, nikamwambia usimwambie Tonny kwanza kuna mambo ya kiufundi nataka niyaweke sawa, nikiyaweka sawa dogo lake nitakwambia au nitamwambia mwenyewe nakutegemea. Kutokana na matatizo ikawa operation moja kwa moja hawakutaka ku risk. Natoka Tonny yupo. Nilikondaaa. Nikamwambia Dr. Aingie mama tu.
Mama kuingia, kumuona mtoto tu akasema masikini Sally! Nimeomba mimk, nimefungaaa, nasali dini zote zote ya baba yako alio nisilimisha uzeeni, na yangu ya ujana kwa mpigooo naona moja kama haikolei vizuriii labda Mungu hajanielewa, nahamia ingine, kikombe hiki ukiepukeee. Jamaniiii Tonny! Ila si atatuelewa tu kwamba hukupanga iwe hivo imetokea tu si eti.
Mmmmmh! Nikamwambia mama huyu ni mwanangu, damu yangu, wangu mimi, nitamlea mwenyewe haina shidaaa. Maadamu Mungu kanipa wa kike, na mimi mwanamke atakua, na atakua mtu. Mama kachokaa kama yeye ndo katoka kuzaa. Ananiuliza sasa Tonny tunamuangalia vipi? Nikageuka nikalala kwanza nipate nguvu maana kuzaa si kazi kazi kulea.
ITAENDELEA KESHO