Mwadunda
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,058
- 1,776
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]auntie nisamehe tu jaman kwa kukucheka
Inavo onekana atamrudia tuu maana anauvumilivu usio weza kutamkika....... Anaweza kuvumilia maumivu mpaka kayazoeaDuh
Betina akimrudia Mike ataniuziiiiiiiiiii
Mie zena bwana!Hujambo Betina?
Em njoo tuzipige kidogoMie zena bwana!
Si nitakuvunja vunja mama!Em njoo tuzipige kidogo
Antie sikusamehe kwakweli, hebu tuma kampesa kwanza.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]auntie nisamehe tu jaman kwa kukucheka
Umeona mabanzi alotoa Betina kwa kina Mike?Si nitakuvunja vunja mama!
Nmekuja sweetheart, japo kwa kuchelewa.Cc:espy
Heaven Sent
Shunie
-KANA-
Binti kiziwi
Tarime one
Samaritan
Au mnyakyusa[emoji125] [emoji125]Huyu mwanamke anaepiga mwanaume na hawara yake atakua mtu wa kwa kina Tarime one!
- KANA -
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Au mnyakyusa[emoji125] [emoji125]
Haha hatari kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Makifumania Mwakipigo
- KANA -
Ujue sijasoma!![emoji85] [emoji85] [emoji134] [emoji134]Umeona mabanzi alotoa Betina kwa kina Mike?
Unacho kipaji iko?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Makifumania Mwakipigo
- KANA -
Au mnyakyusa[emoji125] [emoji125]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]MNA utani na wanyaki eeeh😀😀
Teh me mwenyewe ni mmoja wao, nipo fit zaidi ya betina[emoji125] [emoji125] [emoji125]MNA utani na wanyaki eeeh😀😀