Weekend Story! Glory Be To God!


Sio 100% kama ulivyoandika, but me ni mmoja wa waliobarikiwa na mzazi wa aina hiyo. Suala ni kuprovide na kumake sure unatenga muda wa kuspend na familia yako. Sio lazima mtoke every weekend au kumfuata mke kila siku siku +kudrop watoto shule kila siku etc. Ila at least unapata muda unacheza na watoto, unawasaidia na home works zao +kujua what's happening in their school's lives, mnanyoosha miguu pamoja, kama nyumbani mnakaa mnaangalia TV pamoja, you eat together, you pray together, you play together mfano unamwagia maua au unafix gari the kids are there etc. And yes my father knew all of schedules hadi nikiwa chuo (ananitumia card ya best wishes or texts kwa chuo) and birthdays anaweza Kumbuka siku 2 later ila atakuwish na kahela ka soda, above all home works zangu zote nilisaidiwa na mzee (primary) na nikiwa likizo kidogo, graduations ilikuwa inategemea tu yupo wapi ila akiwa around hawezi kumiss no matter what. So it's very possible, japo ni kwa wachache as I said
 
Hv sasa ni saa 22: 34

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hapa tunaongelea familia ndugu, na tafsiri ya kujali inabaki kuwa moja tu, uprovide na uwepo kwa familia yako. Haya ya kuanza kutafuta justifications za tafsiri ndio yanayopelekea mambo yanakuwa tafrani kweli kweli.

Kujali ndio pamoja na uwepo wako, kuwa baba ni zaidi ya kutoa pesa.

Preach Sis, Preach! Timu roho mbaya tupo hapa kukuunga mkono, najua HS hakosi na Samaritan.
 
wow, i love the new Lara 1,God is good
 
Preach Sis, Preach! Timu roho mbaya tupo hapa kukuunga mkono, najua HS hakosi na Samaritan.

Nipo rafiki, tena nimenunua Biblia mpyaaaaaa nakula mistari tu sambamba na weekend story, huyu kungwi sijajua anachotutafuta anakijua mwenyewe ila ujio wake sio wa kawaida...kwani mzee wa kuliamsha dude anasfaafu?
 
Maisha hayajawahi kuwa fair namna hiyo, kubalance shughuli za kukuingizia kipato na social life la familia mpaka all members of the family wawe na furaha. Haijawahi kutokea
Inatokea, inategemea tu na mtu husika anaitafsiri vipi kujali, na familia kwake ina uzito kiasi gani. Kama kwako kujali ni kutoa pesa tu basi hapo lazima useme haijawahi kutokea.
 
Sio lazima iwe 100% but you have to try yo best. Usiweke ugumu moja kwa moja maana ukishafanya hivyo tayari unayo sababu itakayo kufanya usione umuhimu wa kufanya hivyo nafasi inapopatikana. Maana kuna wengine hata huo ubusy wa hivyo hawana ila ndicho kisingizio chao.
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…