witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,747
Baba yeyoo hawara hapewi talaka utaona tuMama Yeyoo ulisema hawara hapewi talaka..unalolote la kusema kuhusu anayopitia Dee?
Baba yeyoo hawara hapewi talaka utaona tu
Basi msomali ajue yeye ni wa show tu sio wa familia. Naona anajisahau kutaka kujimilikisha wakati hana vigezo.Wakati mwingine nyie wanawake nako mnatuchanganya tu..unasaka pesa na kuweka kila kitu sawa, mwenzako anatafuta mpiga show! Msomali keshajua Sally pesa sio tatizo, anampa kitu adimu.
Hebu nieleze vizuri hiyo namna!!Ile story kuna namna...
Ole wako!!!Mama Yeyooo kuna uzi nimeuona nimeumia japo chinichini....jana KLM aligusia sikumfahamu uzuri, sasa leo naperuzi peruzi mara nakutana na kitu...ila mila yetu sie si tunachomeka mkuki mlangoni akija akiukuta anajua tu mhenga anafanya vitu vyake?
Leo tunamsifu Mungu tu.lara 1 mtumishi auaeibukia, leo dude linakujaje swahiba xxxxxxxx au ndondo cup? Ili waumini wako tufanye logistics mapema sio saa nane unashusha dude la watu wazima huku hakuna spacemen za kufanyia practical.
Sitakuangusha, day 1...day 2....day 39.
Basi msomali ajue yeye ni wa show tu sio wa familia. Naona anajisahau kutaka kujimilikisha wakati hana vigezo.
Ole wako!!!
Ahahhaha laraLeo weekend kuna msomalo hukuuuu, anataka kunipa zawadi ya nauli! Tuonane keshooo!
Na ukiyamudu hayo maeneo mawili vizuri basi kazi kwisha.Mwanaume inabidi hayo maeneo mawili uyamudu. Familia na show.
Nikikosa pesa hata show sowezi kabisaaaaa
Narudiatena "ole wako"!!!!Aunt!!!!
Whaaaaaaaat!!!Leo weekend kuna msomalo hukuuuu, anataka kunipa zawadi ya nauli! Tuonane keshooo!