The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,060
mahondaw , espy , Shunie , kana , Tarime one , PSNO , carbamazepine huku mambo leo ni jaza ujazwe...xxxxxx la jana limemchanganya director na yeye ana practise ndugu wasomaji..tuwe wapole.
Kama naona ushindi wa mezani hivi kwa team msomaliWhaaaaaaaat!!!
Nawe ushatekwa na msomali nini!!!
Narudiatena "ole wako"!!!!
Whaaaaaaaat!!!
Nawe ushatekwa na msomali nini!!!


kweli kakutana na msomali laramahondaw , espy , Shunie , kana , Tarime one , PSNO , carbamazepine huku mambo leo ni jaza ujazwe...xxxxxx la jana lomemchanganya director na yeye ana practise ndugu wasomaji..tuwe wapole.
kweli kakutana na msomali lara
Msomali konyo kweli.Kama naona ushindi wa mezani hivi kwa team msomali
Yo not trusted. So ole wako!!!Aunt mbona hauniamini nikisema nimerudi kundini na kuzaliwa mara ya pili? No longer old me Aunt! Usimtishe Mama Yeyoo
Ngoja akapewe akili,akirudi mwepesiii atushushie vitu vya maana.kweli kakutana na msomali lara
Kwani mnajadili nini jamaan baba yeyooAunt mbona hauniamini nikisema nimerudi kundini na kuzaliwa mara ya pili? No longer old me Aunt! Usimtishe Mama Yeyoo
Inanibidi tu nikalalemahondaw , espy , Shunie , kana , Tarime one , PSNO , carbamazepine huku mambo leo ni jaza ujazwe...xxxxxx la jana limemchanganya director na yeye ana practise ndugu wasomaji..tuwe wapole.
Msomali sio wa mchezo mchezo lara huko usije ukaulizwa na wewe mambo ya kuzaaMsomali konyo kweli.
Msomali haachi mtu salama!
Kesho sasa itakuwaNgoja akapewe akili,akirudi mwepesiii atushushie vitu vya maana.
Afadhali mana itakua weekendKesho XX Mchana
Kwani mnajadili nini jamaan baba yeyoo
Sasa akirudi na mimba si ndio basi tenaMsomali sio wa mchezo mchezo lara huko usije ukaulizwa na wewe mambo ya kuzaa

Mbona sijaona ulichoropoka ngoja nirudi nyuma niangalie usikute baba yeyoo umeniua sana aiseeNilijikuta nimewaza kwa sauti kuhusu ule uzi umeanzishiwa nikaropoka vile mtima umetumbukia nyongo japo sisemi. Ndio Aunt kunikemea kwa majina yote..
Afadhali mana itakua weekend
Kwahiyo unapo pa kutumika!!Afadhali mana itakua weekend