Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,414
- 176,346
Uwiiiiiii!! Yaani bora hata niwe housegirl wake kuliko kuwa mkeweHahaa tena unakuwa mke wa MOTP na vyenyewe humpendi vile![]()

Uwiiiiiii!! Yaani bora hata niwe housegirl wake kuliko kuwa mkeweHahaa tena unakuwa mke wa MOTP na vyenyewe humpendi vile![]()

Wakubwa mnafaidi.![]()
![]()
![]()
![]()
Haya bwana.Uzuri ilikua uwanja wa nyumbani...
Kwakweli hizi zawadi za watoto sio kabisaaa!!!Baba yeyoo asante ahahha nimecheka sana msomali jaman na mambo yake ya kumuiga Dee halaf sally anapotezea swala la kuzaa kitoto cha kisomalichezea wanawake wa mjini
Ila lara wewe mambo gani hayo ya kuchezana huko chini jaman acha nilale aisee tutaonana kesho
Ahahhah watoto bila ndoa au bila kupanga ila sally kanifurahisha sana anavyofanya kupotezeaKwakweli hizi zawadi za watoto sio kabisaaa!!!
WordTatizo msomali marioo yy hafikirii kutafuta anafikiria kumfurahisha Sally tu ili aendelee kulelewa [HASHTAG]#teamDee[/HASHTAG]
Sent using Jamii Forums mobile app
Najuta kusoma hii episode ofisini... Lara utanifanya nianze kumsaka msomali wangu na mimi saa hizi. Hivi hili dude ulishalirate 18+??

Well, kama umesahau acha nikukumbushe!Haha me nilitaka niombe na picha kabisa. Teh msomali anatoa silaha zote za maangamizi, shurti kusecure your territory. Yani hata sally akienda kwa Dee, atarudi tu kwa msomali, pale ndo panaitwa "Mtakuja"![]()
![]()
![]()
Teh mtamanie tu
Mwanzo nilikuwa sijaelewa kwanini mnasema hivyo, haki nimechekaaa!!!
Yaani na kupika itabidi upikie kuni ili ukome vizuri![]()
![]()
![]()
Sasa kama baba mwenyewe ndio hivyo akili fupi hata hawazi mbali mtoto wa nini? Huyo aishie kumkuna tuAhahhah watoto bila ndoa au bila kupanga ila sally kanifurahisha sana anavyofanya kupotezea
Umeanza ukorofi eeh!! Ban ya nini tena!!Back From A Ban. Loads Of Catch Up To Do!
Wacha weeee!!Well, kama umesahau acha nikukumbushe!
Dee ndio role model wa al-shabab
- KANA -
Na hakuna kumhonga lara ili abadili gia angani.Owkeiiii,
Hatumuhitaji Sheikh Yahya kujua kinachofuatia. Msomali karuka ruka sasa naona anelekea kibla. Hapa kwenye mtoto ndipo kaburi lake lilipo!
Sema nmefurahi kujua msomali anacopy swaggs za Dee!
Hii inaonyesha we're a couple of miles ahead of him!
Sasa jiandaeni kwa msiba!
Alaf naona kila mtu anajiunga upande wa msomali. Hehee
IT'S DEE AGAINST THE WORLD!
- KANA -
Na hakuna kumhonga lara ili abadili gia angani.