Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Huyu msomali kweli napeperusha flag lake lakini kwanini anatumia akili nyingi sana kwenye kumfurahisha Sally kwenye mechi lakini sioni akipanga maisha? Anafikiria ana mzigo peke yake?
Hapo tu ndipo hata mimi simuelewi na siwezi kumuunga mkono. Alafu alivyo mjinga na mimba anataka abebewe mfyuuuu!!!
 
Owkeiiii,

Hatumuhitaji Sheikh Yahya kujua kinachofuatia. Msomali karuka ruka sasa naona anelekea kibla. Hapa kwenye mtoto ndipo kaburi lake lilipo!

Sema nmefurahi kujua msomali anacopy swaggs za Dee!

Hii inaonyesha we're a couple of miles ahead of him!

Sasa jiandaeni kwa msiba!

Alaf naona kila mtu anajiunga upande wa msomali. Hehee

IT'S DEE AGAINST THE WORLD!

- KANA -
Namuombea msomali fumanizi na jolliemana jollie si kwakukodolea macho vile kwenye boxa...
 
Huyu msomali kweli napeperusha flag lake lakini kwanini anatumia akili nyingi sana kwenye kumfurahisha Sally kwenye mechi lakini sioni akipanga maisha? Anafikiria ana mzigo peke yake?
akili ya kupanga maisha aitoe wapi?
Anatumia mtaji alionao vizuri et
Mwache akazane kumzalisha sally mana ndio anafikiri ata secure penzi la sally
 
Hapo tu ndipo hata mimi simuelewi na siwezi kumuunga mkono. Alafu alivyo mjinga na mimba anataka abebewe mfyuuuu!!!
Hajiamini hiyo ndio shida yake,anafikiri kumzalisha sally ndo kutamfanya ampende na asiende kwa wapanda dau
 
Wewe ndio unafaidi sana, unasoma mfululizo wote kwa utulivuuuu

Hamna rafiki ni kwakua nimechelewa so siwezi kwenda sambamba imeenda mbali sana. kuchangia episode kwa episode ndo fresheeee soinaona nyie mpo mnasubiria next episode na kukoment huko mi nakoment vya nyuma kabisa. Ntawakuta tu Leo silali

Mahondaw wa Smart911
 
Tunasubiria dude kutoka kwa mtumishi...uzuri xxxxx rated anarusha usiku, kwa sie team popo inakua swadakta. Wwle wanaosoma mchana kazini ndio imekula kwao. Wanamtamani Msomali, wampate wapi kazini mchana?
 
Kutokujiamini kubaya sana aisee!!
Tukiwaambia pesa lazima wanachukia, wakati ndio ukweli huo!!
Nae kapata kitonga badala kujiongeza ili ajiwekeze!!! Hovyooo kweli.

Wakati mwingine nyie wanawake nako mnatuchanganya tu..unasaka pesa na kuweka kila kitu sawa, mwenzako anatafuta mpiga show! Msomali keshajua Sally pesa sio tatizo, anampa kitu adimu.
 
Tunasubiria dude kutoka kwa mtumishi...uzuri xxxxx rated anarusha usiku, kwa sie team popo inakua swadakta. Wwle wanaosoma mchana kazini ndio imekula kwao. Wanamtamani Msomali, wampate wapi kazini mchana?

Tena umenikumbusha rafiki.. You didn't tag me that's why nipo nyuma... Uwe unaniita jamaniii haya madudw si ya kupitwa

Mahondaw wa Smart911
 
Back
Top Bottom