Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Si mpaka uwe na msomali pembeni anaejua mambo na kuelewa kabisaaa kwamba ana jukumu moja tu? Kutoa stress. Vinginevyo itakua majanga..siku hizi purukushani nyingi mabango yamepungua nasikia vumbi la Congo!
Hahaa acha nikamtafute msomali wangu mapemaaa nimwandae kwa kesho
 
Mama Yeyooo kuna uzi nimeuona nimeumia japo chinichini....jana KLM aligusia sikumfahamu uzuri, sasa leo naperuzi peruzi mara nakutana na kitu...ila mila yetu sie si tunachomeka mkuki mlangoni akija akiukuta anajua tu mhenga anafanya vitu vyake?
Baba yeyoo jamaan
 
Wahusika wote wa masikini kwa KLM hawajahi kubaki salama mwisho wa msomali ni maumivu ila afe kipa Afe beki nabaki team msomaliano.
 
na story ndio inaishia hapo lara ujue unawakilisha taifa letu usituangushe huko kabisa

Mechi international kakabidhiwa bendera, asifanye masikhara..ila Msomali kama na yeye kajaliwa itatusababishia story kuchelewa...manaake KLM atataka kujidai mjuvi anauweza mzigo alete mandingo yake kama hawajamuwekea PoP ya kiuno.
 
Tunamtegemea lara asituangushe tu
 
Mechi international kakabidhiwa bendera, asifanye masikhara..ila Msomali kama na yeye kajaliwa itatusababishia story kuchelewa...manaake KLM atataka kujidai mjuvi anauweza mzigo alete mandingo yake kama hawajamuwekea PoP ya kiuno.
Umesema mechi international umenikumbusha yule dada boss wa UN
 
Back
Top Bottom