carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,579
- 285,646
HS acha kunichekesha...Sasa mnataka msomali afanyaje? Hela hana, na kiuno kimshinde pia jomoni? Teh kaamua apambane na hali yake
HS acha kunichekesha...Sasa mnataka msomali afanyaje? Hela hana, na kiuno kimshinde pia jomoni? Teh kaamua apambane na hali yake
MOTP alimpandia lara dau akampa mwisho mwema. Yaani ndio basi tena.Hahaa kuomba maanguko niliomba story iliyopita ila hayakufanya kazi
Na alituweza kweliMOTP alimpandia lara dau akampa mwisho mwema. Yaani ndio basi tena.
Muwacheni msomali wangu. Kila mtu apambane na hali yake. Daah kama namuona msomali aisee, six pack, height pale kati nini tehHS acha kunichekesha...
Naona mahaba yamekukolea kweli[emoji2][emoji2]naona na sally alisusa mwili mechi ya jana
Hahaa sixpack si baada ya kumuona Dee ila lara mbaya sana kanifanya niwaze msomali anavyofanya mazoezi[emoji85] [emoji85] [emoji85] team msomali mshindwe kunivutiaMuwacheni msomali wangu. Kila mtu apambane na hali yake. Daah kama namuona msomali aisee, six pack, height pale kati nini teh
Haha me nilitaka niombe na picha kabisa. Teh msomali anatoa silaha zote za maangamizi, shurti kusecure your territory. Yani hata sally akienda kwa Dee, atarudi tu kwa msomali, pale ndo panaitwa "Mtakuja"[emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]Hahaa sixpack si baada ya kumuona Dee ila lara mbaya sana kanifanya niwaze msomali anavyofanya mazoezi[emoji85] [emoji85] [emoji85] team msomali mshindwe kunivutia
Hahaa mwambie msomali tuache kutiana majaribuni,mazoezi gani unafanya na boxa?si kutiana majaribuni huku?na lara anavyojua kumpamba sasa [emoji2][emoji2][emoji2]acha kabisaHaha me nilitaka niombe na picha kabisa. Teh msomali anatoa silaha zote za maangamizi, shurti kusecure your territory. Yani hata sally akienda kwa Dee, atarudi tu kwa msomali, pale ndo panaitwa "Mtakuja"[emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]
Teh mtamanie tu
Ngoja nije nikuhonge jina langu lisitumike.Ndo naanza kuandika na speed ya 4g saa 6 kitu pwani! Ashukuriwe MAIN SPONSOR WETU MOTP kwa kujiongezaaa kunipa pesa ya biaaa.
MOTP AKA MANJI USHUKURIWE SANAAA.
Next story natumia majina ya members kaeni mkao wa kupata uhusika. Sasa unajikuta jina loko yuko msomali au MOTP afu anakukera hatari. Ndo utafurahi
Mwanzo nilikuwa sijaelewa kwanini mnasema hivyo, haki nimechekaaa!!![emoji23][emoji23][emoji23]espy anakua sally na wewe msomali[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani na kupika itabidi upikie kuni ili ukome vizuri[emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo atanipangia zamu ya kupiga deki
- KANA -
Haha mazoezi na boxer hayajawahi kumuacha mtu salama. Lara anaweza kuupamba ugali ukaonekana kekiHahaa mwambie msomali tuache kutiana majaribuni,mazoezi gani unafanya na boxa?si kutiana majaribuni huku?na lara anavyojua kumpamba sasa [emoji2][emoji2][emoji2]acha kabisa
[emoji23][emoji23]kubali kupewa script watazamaji tufurahiMwanzo nilikuwa sijaelewa kwanini mnasema hivyo, haki nimechekaaa!!!
Yaani na kupika itabidi upikie kuni ili ukome vizuri[emoji85] [emoji85] [emoji85]
We lara wewe mshenzi sana,ushatibua mashetani ya kikurya hapa,hakufanyiki kazi leo kwa kunyegeshana huku [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nakukubali mdada .
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kabisa lara hana mpinzani hapaHaha mazoezi na boxer hayajawahi kumuacha mtu salama. Lara anaweza kuupamba ugali ukaonekana keki
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Haha mazoezi na boxer hayajawahi kumuacha mtu salama. Lara anaweza kuupamba ugali ukaonekana keki
Hachelewi kunipa script iatakayonikera huyu!![emoji23][emoji23]kubali kupewa script watazamaji tufurahi
Wakubwa mnafaidi.[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Sie watu wazima tulipiga jana hiyohiyo usiku tukamaliza na practical kabisaaaa
Hahaa tena unakuwa mke wa MOTP na vyenyewe humpendi vile[emoji2][emoji2]Hachelewi kunipa script iatakayonikera huyu!!