Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

So far so good!

In a short run, al-shabab anazo point tatu. Ladies are throwing themselves to him.

In a long run, ni advantage kwa team Dee. Maana al-shabab ataumbuka sababu hawa wanawake hata hawana siri.

For the mean time, we gon hunt him in the shadows. You just can't confront him this time when everybody seems to be on his side!

Team msomali, enjoy them ladies while you still can!

- KANA -
 
Hii kupapatikiwa sana na wanawake sio dalili nzuri kwa swahiba wetu Shababi, itabidi team tukae kikao cha dharura...gia inaweza kubadilishwa mamvo yakayeyuka kama Noah za makinikia
Team msomali naona wamemnogesha Lara... Na wasi wasi.. Mwokovu mpya kapewa Uhakika wa sadaka za Jumapili zote mpaka story ziishe..
Refer the story is dedicated to glorify God...
Sasa naona Team msomali wanasimamia sadaka..
Ngoja tuone..
 
So far so good!

In a short run, al-shabab anazo point tatu. Ladies are throwing themselves to him.

In a long run, ni advantage kwa team Dee. Maana al-shabab ataumbuka sababu hawa wanawake hata hawana siri.

For the mean time, we gon hunt him in the shadows. You just can't confront him this time when everybody seems to be on his side!

Team msomali, enjoy them ladies while you still can!

- KANA -
Nyc guess.. Lakini Lara ni kama mpiga ramli..
Anavuma kama upepo..
Labda wokovu utasaidia this time around.
 
So far so good!

In a short run, al-shabab anazo point tatu. Ladies are throwing themselves to him.

In a long run, ni advantage kwa team Dee. Maana al-shabab ataumbuka sababu hawa wanawake hata hawana siri.

For the mean time, we gon hunt him in the shadows. You just can't confront him this time when everybody seems to be on his side!

Team msomali, enjoy them ladies while you still can!

- KANA -

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli sio kazi nyepesi.
....Neema ya Mungu, iwaokoao watu wote, imefunuliwa duniani kote, Neema hiyo inatufundisha kujitenga na uovu na kukaa mbali na dhambi. Neema hiyo imemgusa lara 1 na wengine wengi tu nikiwamo na mimi pia. Ni maombi yangu Neema hiyo iwaguse kana , Tarime one , Mams Yeyoo Shunie , binti kiziwi , MUDUKU na wengine pia.

Mchungaji mpya Lara kasema hii hi story ya kwanza ameiandika kwa ajili ya kumtukuza Mungu jamani ndugu wasomaji. Pia ametusihi tusiendelee kuamini au kuhusudu story zilizopita kwani zilijaa kazi za ibilisi na maisha yasiyokua na ushuhuda mzuri.

Hapa nimeshika kurunzi, karabai, taa ya dolar na kibatari kutafuta kwenye hii story kitu kilichosababisha hii title...hadi sasa hivi bado sijaona tofauti sana na zile za old lara 1 , tuendelee kuwa wavumilivu..
 
Hebu acha tupate burudani jamani. Kazi na dawa.
 
Hivi wewe mtu mzima mwenzangu una nini lakini? HIVI UNDER OLD ME STORY YA BOYA KAMA MSOMALI INGEANDIKWA KWELIIII??? HATA MNISHIKIE KISUUUU. HIII STORY YA KITAMBOOO SANAAAA.

ILA ASHUKURIWE MUNGU MKUUU AMBAE KWAKWE BINADAMU WOTE NI SAWA, MTUMISHI WAKE MSOMALI KAPATA KUTAMBA JUKWAA MOJA NA MALEGENDARY, MEN WHO WORK HARD, MEN WHO PUSH LIMITS, MEN WHO MAKE IT HAPPEN KAMA KUBWA LA MAADUI MOTP, GODFATHER, CHRISS, KLM, FATHER, ETC.

GLORY BE TO GOD. ALIEWAPA WOOTE NDO KAMNYIMA MSOMALI NA NGOMBE MKUBWA KATIKA SEKTA ILA NDEVU KANYIMWA KAPEWA MBUZI.

TUKUTANE JIONI KWA XXXXXXXX EPISODE
 
Back
Top Bottom