lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,190
- Thread starter
- #281
The Bad Wife!
Sally kwanini hujaolewa mpaka leo? Ndo kusema umekosaaa kabisaaa kabisaaaa boya yoyote tule to put a ring on it? Sitaki kuaminiiii! Japo tu utoe nuksiiiii! Ionekane alioleea akateswaaa na mwanaumeee haikuwa riziki. Fanya bwanaaa uvae lile gauni jeupeeeee. Siku hii nilimpania kweli Sally! Not that i dont like her or something, sema nilitaka kumuweka mahala pake!
Sally was too smart, sasa mpaka anakuwa mjingaaaa. Unajua akili zikizidi zibaleta ujingaaaaa. Mi ndo nakwambiaaaa. Since she could do anything she wanted basi karidhikaaaa hatari na kuona hayo ndo maishaaaa. Shenziiii wahidiiii. And the bad part is kuna wadada kibao wanaingia mkumbo kufata ideology za Sally, wakati wana roho ndogooo.
I envied Sallys ideologies and cied her from time to time especially in business. She was next to none. Lakini linapokuja swala la keeping men, she was total failure. Big Ego ndo inayo mcost sanaaaa! Haombagi msamahaaaa huyu binti, mwanamke mwenzie tu hakuombi sembuse mwanaume.
But she surpassed my expectations so many times mpaka nikafikia hitimisho Sally ana logaa sanaa au ana sali sanaaa. Sikujua which is which. Kila kitu kwake ni very simpleeee! Anaweza kukwambia mambo makubwaa makubwaa phiysically and chemically impossible ila yeye akayafanya just like that.
Hata kupata mabwana kwake rahisiii ndo maana hawekezi nguvu kukeep a man cause anajua akienda out akirudi na ana new edition. Kwanza anatushangaa sisi why do we keep men, why do we go to extremes to keep men.
Like most of us we are all victims of time, and she might be a little special but not to time factor. Umri ushaanza kumtupa mkonooo. She was 29. Soon she will hit the dirty 3s and sooner than she expect she will be in low 40s. Fine it is non of my business but i just wanted her married.
So i can be better than her! I am better than every body kwenye jamii yetu except Sally,and the only reason Sally is moving faster than me is because she has freedom advantage. Anaweza kukaa Dubai hata mwakaaa hakuna anemdai. Anaweza kukaaa Hongkong miaka hata mi 3 hakuna wa kumbanaaa! With me nina mume, watoto and freedom is vocubulary now days. Kwenye ndoa kuna mambo ya umama sanaa ukifikiria unweza kuamua kama Sally uishi msejaaa mpaka mwisho. Heheheee.
All in all katika wote walioolewaaa i married the best! People may think it is luck but i know for certain it is hardwork. And kuolewa kulikuwa diliii tena dili babu kubwaaaa, ukiwa umeolewa wewe ndo mamba yaoooo, utawapeleka peleka madogoooo hata ukiwaambia walambe mavi wanalambaaa! Not until Sally happened in our lives. Yaaani yaani ameshusha hadhi ya kuolewa to negative maana sio 0.
Maana zamani unawaambia watu, mkitaka maisha mazuri tafuteni wanaume wa maana wawaoe, wawape maishaaa. Na wanakusikiliza, sikuhizi utasikia I wanna be Sally, hana mwanaume na ana maisha yake ya maana tu! Zama za kujipendekeza kwa wanaume, lujivua utu uchukue jinaume mradi jianaumeee zi epitwa na wakati. Kituuuu Sally! Yeye ndo anachagua anataka mwanaume wa aina gani, anamtongozaaa na anamuweka mahala pakeee. Mwanaume hasumbui sumbuiii. Hapo hata akisema ana miliki mwanaume kweli. Ila wengine !namilikiwa na wanaume tusichoshaneee. Kutwaaa kuchoma mishumaaa myeusiii. Aiiii.
Sally katuharibiaaaa kishenziiii. Sisi tulioolewa wenye familia zetu tunaonekana kawaidaaaa sanaaaa. Tena kawaidaaaa kweli kweli. Aiseeee! Good old days za kuwa admired ndo zimeishaaaa. Yani ligi ilikuwa walio olewa na wasio olewa lakini sasa imebadilika imekuwa walio tulio olewa vs walio olewa wenzetuuu na wasio olewa nao wana ligi yaooo ambayo inbambaaaa mbayaaaaa.
Mimi kama mimi binafsiii sikufurahishwa kabisaaa. I had to bring back the good old days. If we cant fight Sally we make her join us. Nimejitolea kumtafutianmume kokote alipo na kokote atakako patikanaaa. Sababu najua akitoka kwenye ligi ya ma single hii ligi yetu ya ma maza house she wont last a minuteee. Na tabiaa zake chafu chafuuu soon atajikuta yupo ligi ya walio achikaaaa, na tuta msahau kabisaaa. She might be smart but not smarter than me. Niakendelea kumpelemba!
Sister Lidya, mi sio kwamba sijapata mtu wa kunioaaa ama vipi ili niwafurahishe nyieeee mkose la kusemaa, i just dont wanna lie to myself most of all. The biggest lies are the ones you tell your self. Mi niwe muwazi bado sijapata mtu wa uhakikaaaa. Na harusi hamna leo wala kesho.
Nikamsikilizaaa nikaona kazi itakuwa ngumu kuliko nilivo expect. Sikukata tamaaaa. Sikia Sally what is wrong this guy you are dating Hussein. The boy loves you and adores you. He worships you! Kwanini udikubali akuoe. Maisha mnaanza tu Mungu anajalia huko mbele. Plus mtoto mtamuuu yule balaaaa! Sijuiunaviokotaga wapiiii hivi vitoto ila vinanitoa udendaaa sio mdogoooo. Tkacheka wote.
Hussein is kind of on the mean time boyfriend. Sio mtu wa kufunga nae ndoa. Hussein namjua mimi, hana !bele wala nyuma, hana analojali, yupo kama hayupooo. Sema tu Mungu kamsitiri na uzuri wa sura na mvutooo, kanipata mimi mama la mama Sally namuweka tu kwenye ramani on the mean time. Cause i dont want to be alone and he wants to be with me, why not? Ila sio upuuzi wa kuita watu kuwadanganya nataka kuishi na Hussein mpaka kifo kitutenganishe huo uongoooo tena uongo mkubwaaaa.
Jibu hilo la Sally halikunistushaaa kabisaaaa! Namjua akili zake anazijua mwenyeweeee. Nikampandia dau. How about i hook you up na wakaka wa maana wa ofisini kwetu, you might like one or 2. Usikatae basi kabla hujawaonaaaa.
Sister Lidya, mimi sio kwamba nakukosea heshima ila wewe binafsi kama wewe inawezekana you are lucky, umeambulia chochote kitukwenye ndoa, mumeo umemuweka kwanye chupa, unamkamua kama ngombe, wanao wanasoma shule za 15m Heaven of Peace huko, wote wa 2, unaishi nyumba ya ya $3000 kwa mwezi. Mi vaccations and everybody in the hood envies you, i am seriously happy for you, ila niache na mimi niishi navojisikiaaaa. Mbona mi sikuingilii ndoa yako? Plus acha unafiki unapo ongelea ndoa ukumbuke na watu ulio watumbukiza shimoni akiwepo Winny, Jolline, Atu, and never ending list ambao sahivi wana sifgocate huko, vitu vimejambaaaa! Heheheee! Acknowledge kwamba ulichangia kuharibu maisha yao kama ambavo unafanya majaribio ya kuniharibia na mimi maishaaaa.
Kama nilivowaambia ndugu wasomaji Sally ni mdogo wa umri kwangu ila ni mzitooo! Ona sasa anavonitia ubauaaa mimi maskini ya Mungu. Mimi ndo niliwatuma waolewe na wanaume wajinga wajinga sijui wasiokuwa na bahati au combination of both mimi kweliiii? Hahahaaaa! Maybe alittle bit. Ila sio kosa langu wameishia hapo walipoishiaaaa. Nikakwepa mshaleee wake alionitupia kiutu uzimaaa. Niliwaamviajee wasomaji? Mimi Sally nammudu!
Sikia Sally wahenga hawakusema Ndoa ndoano for nothing! Ndoa kweli ndoanooo. And i am not lucky or svitual kupata maisha hayaaa! Like i said its all hardwork. I have worked so so hard kwenye maisha yangu kiasikwamba mume anaona hasara kuniachaaaa! Ampate nani sasa kama mimi. I worked so hard to differentiate myself. People choose to see the success and ignore the struggle.
Mume wangu ni baba bora, best hubby ever, ila sikumkuta hivooo! I made him who is he now. Trust me without me he wpuld have amounted to nothing in this life. Mi nakutana nae hakuwa na tofauti na mume wa Winni, lazy ass mathafacker, amefanya kazi 10 years all he has to show for it ni mi boxer tu aliovaaaa. Anashea nyumba na wenzieee wa 2. Hana gari. Ameajiriwa wizarani.
Sasa mimi nilishaamua mwaka huo iwe isowe naolewaaa! Ulikuwa ni ujinga wa aina yake, but i wanted to marry young. Miaka yangu 24 nikabeba mimbaaa. Na sikuolewaa wala nini. Vwana alikuwa anataka mtoto wa kiume mpaka kufuru. Nikazaa wa kike. Bado tunakaa pale pale na wale wake wenzangu na waume zao ni uswahili mtupuuuu.
Sina kazi wala kibaruaaa. Nikamsemaaa akakubali tukahamia uswahili pengine nyumba ya vyumba 2 na sebule. Ila tunashea compund na watu wengine wengi tu. Bado sijaolewaaa. Nikimwambia mambo ya harusi haskii wala haoniii. Nikampa altimatum. Usipo nioa mpaka December mi mwakani narudi nyumbani na mtoto naanza maisha mengine. Maana unaleta mazoea miaka mi 2 unanilaa buree, unawachukulia poa wazazi wangu. Kama hutaki basi bwanaaa. Sikulazimishi.
November bado sina kazi, mtoto mdogoo hata mwaka hanaa, nikamwambia baba mi narudiii. Kule kumekuwa sio riziki. Akasema sawa njoo. Nikaanza kufungashaaa. Mwezi mzimaaa nafungashaaa. Imefika tarehe 31 Nov. Baba angu na mama yangu wamekuja kunifataaa. Na unajua watu wa chini hawana magari wala nini,wamenifata kwa mguuu. Na ilikuwa weekend alikuwepo. Baba akaenda kukodi kirikuuuu! Nikachukua bag zangu, kitanda cha mtoto, na vitu vyangu. Hakuaminiiiii.
Nikarudi zangu nyumbaniii. Nilikondaaa! Ikapita wiki kama 2 akawa anatuma sms rudiii, rudiiii. Namtimuaaa nirudi wapiii. Akaja kuongea na mzee, mzee akamwambia safari hii hatoki bila kufata taratibu zote. Na huyu mjukuu kwanza nataka nimkomboe nichinje mbuzi awe ukoo wetu, namnunua. Akaendeleza kelel zake, nika mblock!
Siku hio mama anatoka kanisani mbio anasema nimesikia ndoa yako na kubwa la maadui imetangazwaaa. Nikastukaaa! Wewe hata huniambiii naikuta kanisani mtoto mbona kama mchawi mda mwingine. Nikatoa mijicho. Nika mu unblock! Ndo sms zikaanza kuingia mpaka ya mwisho nimeenda kuandikisha ndoa kanisani. Na ingine pamoja na kuendelea kuuchuna ikifika siku ya ndoa nitaenda kanisani usipokuja basi. Ndo nikampigia sasa.
Harusi ikapita salamaaa. Nikarudi pale pale uswaziii safari kama Mrs Craig sio mtu wa mchezo mchezooo. Akanitafutia yeye kazi bank, Standard Chattered , Procurement Officer. Kuingia na kuingiaa nimemaliz probation nikarnda HR, napata mkopo bei gani? Wakasema hamnaa hamnaa 15m. Nikahaza form.
Sijamwambia wala nini. Umetokaaa! Ndo nikamwambia. Akanikopa million 5 alikopeleka sijuiii. 10 million nikalipia frame 2 moja Ubungo stand na ingine Tegeta stand. Frame nilipa 6m. Ma freezer yalicoat 2m. Nikabakia na 2. Nikaagiza samakiSato, saninia, kwa shoga zangu mwanza. Nikajaza mzigo na kuvunja bei.
Nikalikaba hili jibaba likanipa 5m yangu nikajaza mzigo wa kuku nilifataKibaha kwenye mashamba, firgisi buguruni, na ngombe vingunguti. Nikaweka meneja na camera saa 24. Maombi huku na huku. Bei nimevunja. Wakiuza nyama 6000 mi nauza 5000. Bei ya mtaa mi naivunjaaaa! Watu wanajaa nyomiii nyominooo. Saa 5 ma friji meupeee. Nalaza faida laki 3 au 4. Siku kuu tunalaza mpaka 2m.
Ugomvi nyumbaniii pesaa mwanaume anataka kuionaaa. Nilimtoa baruuuu. Nikamwamvia ukitaka twende sawa fanya investment zako nininisapoti sio kitaka kuniingilia mambo yangu. Pesa hapa inayopatikana nampeleka Jolline UK. Jolline kuishia alipoishia kunaniumaa sanaa Sally nimetia jasho na damuuu! Nyie mnaumia ila mimi ndugu yake wa damu naumia mara 100. Kuhangaika koteeee kumepeleka Jolline UK, ninelipa pounds kwa pounds za mahelaa kaishia kumfugaaa bwana wa kipembaaa. Maisha asipateee wala nini. Ila mimi nilitimiza wajibu wa dada kubwaaa.
Jioni kazi yangu ikawa kumsimangaaa na kazi yake ya wizarani. Mpaka akawa anachelewa kurudiiii. Nilijito ufahamuuu mimi kutembeaa na vyetiii na makabrashaa ya mume utasemaa nini. Nisikutane na boss au supplier akija ofisini lazima niwape bahadha ya mumeee. Anatafuta kazi. Watu walichekaaaa! Wakasema tuna njaa sijui nini. Sikujaliii.
Hamad siku wakaja wazungu wa database, nikawapa ile bahasha wakamuita interview. Ananiambia sijui nani kanipeleka nikamwambia mimi ndo ninewapa. Kidogo asiende kwenye hio interview. Mpaka saa 3 kalala wakati interview saa 4. Nikamrudia nyumbani. Chambana chambanaa haswaa. Hoja yangu mbona yeye kanitafutia mimi kazi nimemshukuru iweje mi kumtafutia yeye iwe kama kosa la mauaji. Akaamua kwenda ila moyoni najua anaenda kujifelishaaaa tu huko kama sipobana bar akasema kaenda.
Akaja kupewa hio kazi, hakuniambia, nina tabia ya kupekua pekuavitu vyaje nikakuta contract ya kazi atalipwa $3000 kwa mwezi, comission. Na yeye ndo agent wa Tanzania. Ajisimamie mwenyewe. Niakenda kusoma misa ya shukraniii, alivosikia akajua ninejuaaa. Tukachekaaa tu.
Akaanza kuleta story za kuacha kazi wizarani, nikamwambia huachiii kituuuu! Utafanya kote kote. Analalamika haweziiii kufanya kote, atachokaaa, nilimtimuaaa! Untaka uwagi kurudi, umuwahi housegirl utembee nae au? Mwenyewe narudi saa 4 usiku mkeo we urudi saa 10 unawahi nini. Acha kujiendekezaaa. Serikalini kuna ma dili yale ya IT ile mibomuuu apitishe nani. Usintanieeee.
Pesa ikapatikanaaaa. Mwanangu kuanza viduuu nikaenda IST nikachukua form nikamtupiaaa hapo aligombaaa aligombaaa anaongea mambo ya St Joseph. Woooyyy! Mambo ya 800,000. Nikasema sasa nitakufurahishaaaa! Tukabaki tunavuruganaaa. Nikapiga dili kazini na wahindiii wakanipa million 10 cha juu. Nikaongeza na za buchanii nikamlipa akaanza shule. Simuulizi chochote. Na niliipa ya mwaka mzima. Wanaume unaenda nao ki dictator.
Watu wakanza kupagawa mtaani, ndugu zake, toto likiongea linatemaa yaiiiii bichiiii kabisaaaa. Lazima waulizee shule gani? Ada shingi ngapi. Ada sikufichi ilinichanaa msambaaaaa ikaniunguzaaa na vuzi zoteeee. Acha gharama zingine za nje ya ada. Mkopo ndo uko nusu. Biashara inatosha kumlipia tu Jolline ada na kumpa allowance za kuishi Uk na yule mdogo wangu wa Italy.
Nikaongia saccoss. Huku na huku wakanipa million 15 tena. Nikapiga dili nikaenda china na hii 15m nikarudi na vifaa vyote vya saloon. Nikalipa kodi na kufungua ile saloon yangu. Wasichana wananisumbua hatari. Nikamwambia mzee baba nipe hela niendr Nairobi kusoma make up na hair dressing. Akatoa pesaa. Nikaenda kozi ya siku 14. Nikanunua make up zote OG.
Huku nikamkabidhi salary slip mikopo mshahara napokesa 130,0000. Asimamie show ya kutunza familia yake. Baba nundaa lile likasema litatoa 500,000 tu. Jamaniii. Nakubali tarehe 10 namwambia imeishaaa. Akibisha naondokaa naenda kukaa nyumbanii anabaki na mwanae inabidi atoe. Nguo nachukia nawaamvia wakamdai. Mwanzo alikuwa mkali hatariiii. Mwisho akaanza kunipa support ya kifa mtu sikujua kwanini. Mpaka ananinunulia mwenyeweee.
Mpenzi moto motoooo. Bar hakukaliki jioni anakuja kushindaa buchani au saloon tunarudiii wote. Kuendekeza mapenzi nikabeba mimba ingine. Siku ya siku akasesam rafiki yake Dr. Ali ndo alimfumbua macho kuwa mimi ni bongeee la mwanamke. Kwanza asifanye masiharaa kabisaa kunipotezaaaa. Ooohhhh! Wao wake zao bureee kabisaa tena mizigooo. Bila mimi yeye mzee baba asingeenda popote angeishia kama wao. They envy us. Nani mtoto wake anasoma IST? Nani wanaishi kwenye appartment? Naniiii. Ndo kigundua ananifuja fujaaaa.
Nikazaa mtoto mwingine wa kike tenaaa. Nikamwambia kabisaa mimi leba bye bye. Siendi tenaa. Obama mwenyewe ana watoto wawili wa kike karidhikaaa, yeye nani asiridhijee. Kama atataka kujaribu pengine nampa go ahead.
Na alijaribuuu! Mlidhaniii angeachia hio chance . Na alivo na mkosiii akapata wakike tenaaa! Hamu ya majaribio ikamuishaaa kabisaaaa. Heheheee! Sicheki kwamba mazuriiii. Na mi nilivojua majaribio yake nikamwambia tu nakuombea upate wa kiume roho yako iridhikeee.
Akaleta mambo ya kutaka kumchukia nimlee mimi bijamwamvia biashara hio sifanyiiiii! Kuzaa mzae kwa raha zenu mzigo mnibebeshe mie, haiswiii hio. Kila mtu abebe zigo lake. Mwenyewe mayai ninayo sijazaa nifanye maisha mengine. Yule Robert alivofiwa na wazazi wake nikamchukia nimleee akanijaribu tenaa tumchukue na jaribio lake, nikasema sitakiiiii kabisaa kusikiaaa.
Mda huo anahangaika na majaribio mi nikaenda Nairobi kujifunza kupamba mashereheee maana maharusi nawapamba saluni kwangu wananiambia niwatafutie mpambaji, nikaona nizuie mimi hio tendaaa. Nikajifunza kupamba na kupika keki.
Mikopo ikaja kuisha kwa mkupuo, biashara nikabaki nazo,madogo wakamaliza shule zao, pesa sasa nikawa naionaa maana nina income sources za kutoshaaa. Hata iweje kote hakuwezi kujambaaa. Nataka chuo wasome nje, kama nimeweza kuwasomesha wadogo zangu wanangu hawanishindi. Nashinda kwenye business na wanangu. Nawazoesha tangia wadogo, kufanya kazi ndo mpangooo. Pesa ni ngumuuu, wateja ndo wafalme wetu. Wafanyakazi ni sehemu ya biashara na familia. Haiwezekani waje wawe wakubwaaa hizi values ziwatoke kichwani.
Kama wahindiii wanavowashi disha watoto dukani kuanzia primary wanajua nini ni nini na mimi hivo hivo. Wanajua hii blush, hii concealer, hii foundation, interest lazima nizi influence mapemaaa. Achia kuwakumbushaa huku ndo ada inakopatikanaaa.
So mimi its all my efforts Sally! Ndoa kama ndoa haiajanisadia chochote wala kunipunguzia chochote. Hao uliowataja wana wenge zao binafsiii. Jolline ndugu yangu wadamu ngoja nisimseme maana mkimsema wote atavumilia ila kusikia mimi dada yake nimemsema vitaanza kumpanda vya kumpanda.
Lets talk Winny! Mi si nilimwambia wabondei sio wanaume? Wana wivu hatariiii afu wavivuuuu. Akasema ooh mi sipendi mtu aolewe sababu Jolline hajaolewaaa. Nikasema kua uyaoneeee. Mwanaume mvivuuu hatariiiiakitoka akzibi saa 11 unamkuta marrybrown na mtoto, au dukani anamngoja Winni atoke. Heheheeee! Nikasema Winni kapatikana. Kwa maisha ganiii.
Winni nae ana wivuuuu, anapendaa mwanaume ambanieee hapaaa kwapaniii. Mapenzi ya kihindiiii. Kitu kidogo baba wa 3. Ndo kamgeuza ndondocha sasa hana anchofanya zaidi ya kukaaa wanatizamanaaaa.
Hiiiii hiiiii yaaani mimi siku mume hana kaziii, ataenda sokoni kubeba maguniaaaaa. Hali ugali wangu wa bureeee. Haliiiii. Sifugiii ujingaaa kabisaaaa. Mnanijuaaaa! Sitakiii ujinga kabisaaaa. Kazi ya ofisini hujapata basi kibaruaaa kafanyeee si ndo unachotakaaa.
Kuna kipindi mume alinitishia kuacha kazi kwa wazungu nikamwambia napunguza kijana mmoja buchani utakuwa unakata nyama na samaki wewe. Akachekaa kimasihara. Kesho kaenda buchani kakuta yuko kijana mmoja. Alitetemekaa mpaka utumboo. Akamuuliza mwenzie Ally anaumwa, akaambiwa kasimamishwa kazi, mama kasema utakuja wewe tusaidiane. Alitkanaaa matusi makubwa makubwaa. Mwanamke Iddi Amini huyuuu. Mwanamke Ghadafi hiliii nawaambiaaa. Hahaaaaa! Niliona ishu yote kwenye cctv Camera.
Winni akijilegeza pale mbona badoooo! Atabakia hana hata miaaa. Siku hio ananiambia kamnyima uchi head wa legal bank kwaooo. Alimwambia ampe uchi amlipie million 10 za ada. Si ujingaa huo. Uchi huo huo mume anaula bureeee free of xharge kila siku, kila akijisikiaaa najipimia tuuu. Mwingine ana 10m ananyimwaaa. Ujinga si ndo huooo.
Mi yule Chriss hear wa commercial Tigo, siku kajipendekeza anga zangu twende uturuki ananipa mtaji wa nguo za turkey. Nikamwambia kata tiketiii. Haina kujifikiria. Nimeenda Turkey nimeuza mechiii wiki 2 nimemkamua miliion 18 za mzigooo. Nimekuja lipa frame tu.
Hata useme ujamwambie wewe mume wangu, ushahidi mpaka uufate uturuki leoooo? Mi nakataa hamna kitu kama hiko na Chriss anakataa hamna kitu kama hiko sana sana mume wangu atahisi labda unamtakaaa ubashindwa kumwambiaaa. Maana Chriss alivo best yake sasa. Kikulacho ki nguoni mwako.
Nafungua duka la nguo za uturuki Winni alipanikiiii sio kidogooo. Kidogo azaeee kabla ya sikuuu. Ananipeleleza mtaji umepata wapi? Nikamwambia Vijoba angejua vicoba vya papa hahahaaa! Aliumiaaaaa! Yeye duka hilo hilo halikui wala halizaiii. Miaka nenda miaka rudiii. Yeye si abakibanaaaa!
Juzi wanangu nao katili wale sijui watapata mume wa design gani, wakawa wanasema Aunty Winnys kid speak bad English! We cant get what they are saying. Mbele ya Winni nikasema nitawababuaaa kina Fiona mnanijuaa lakiniii. Winny akasema ni kweli hii shule mpya sio nzuri machozi yanamlengaaa. Mmmmhhhh!
Ila ka Winny kana roho mbaya kaleeee! Nasikia akawa anafurahia mimi sina mtoto wa kiumeee. Yeye anao wa 2. Si bora mi nina wa kike, wana mtaji wao wa kuzaliwa nao, yeye wakiume afu hana maisha ya kuwapa sitaki hata kuwaza watapoishiaaa. Maisha hayaaa! Usimcheke mtu kakosa kituuuu.
So Sally bwana lets work together to get you that ring! Utoe nuksiiii tuuuu! Hata kama ukikaa siku 3 ukaghairiiii. Akawa ananiangaliaaa tu. But she didnt say no! And i knew i was making progress. In what again? Can anyone of you readers remind me why am i doing all this again?
ITENDELEA KESHO SAA 4 USIKU