Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] jamaan kwa nini lakini nimekosea niniAaaaah! Hata sikukadirii. Nimekuvulia kofia ujue.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] jamaan kwa nini lakini nimekosea niniAaaaah! Hata sikukadirii. Nimekuvulia kofia ujue.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] jamaan kwa nini lakini nimekosea nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa nini haujanitoa lakini
Ila kumshabikia msomali roho ilikuwa kubwa eti!!
Basi tufanye hivii, niletee ubuyu ndoo nzima then tutamaliza tofauti zetu.Kuna kitu unanitafuta sio bure. Uadui gani huo hauishi?
Mweeeeeeeeeeh[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Mie kubishana siwezi, sasa wewe na kikosi chako sio tu kwamba mliweza kubishana, ile ilikua mipasho na micha nini sijui mnajua wenyewe, mtu mwenyewe sasa, mzaramo na mndigo sijui mndengereko ....cuzoooo hahahahaaa
Basi utakuwa team MOTP tu wewe!!!Msomali hiyo si changamsha genge tu rafiki. Mpira na siasa ni msisha halisi, na kweli sina team kabisaaaa.
Eti umesema KANA ndo Espy?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnanifurahisha sana na auntie yanguKuna kitu unanitafuta sio bure. Uadui gani huo hauishi?
Hiyo ilikuwa jioni haukuepo bada ya ile michambo kuanza mzonga wewe ni jinsia ipiii akasema msiniharibie interview yangu bada ya mda kaja na i'd ya kiume huyu anayetumia jina la shunie kanitapeli hela ya nauli nilimtumia bada ya kumtongoza naweka ushahidi nikamwambia wekaaa na kila kitu akaweka picha huyu ndio shunie jaman kanitapeli hela ya nauli hizo picha sasa nikamwambia hivi umeamua kunifannanisha na vitu vya kijinga kwa nini ebu nitake radhi jaman ilikua balaaSikuwepo nafikiri,
Ahahhaha nimeshapoa auntie yanguHahahaaaaa!! Pole sana antie yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzaramo alituchamba yule tulienda nae sambamba akaamua kumaliza na i'd yake ya kiumeMie kubishana siwezi, sasa wewe na kikosi chako sio tu kwamba mliweza kubishana, ile ilikua mipasho na micha nini sijui mnajua wenyewe, mtu mwenyewe sasa, mzaramo na mndigo sijui mndengereko ....cuzoooo hahahahaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana aiseee nakuwaje me jaman nimeumbwa ke au nikuje huko unioneNakutoaje sasa, hadi nikaanza kuwa na wasiwasi au kweli wewe ni me?
[emoji134] [emoji134] [emoji134] naanzaje mie kuomba nauli humu jf kila sehemu kutakua na bango kuhusu shunie mm ni kapole sema wananichokoza wenyewe ujueEti umesema KANA ndo Espy?
[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21]
Ila huyo Shunie mkorofi kinoma, kuna vichochoro hua namkuta. Hata huyo Auntie yake na yeye namuonaga sehemu sehemu!
Sasa Shunie, unatumiwa nauli alaf unaingia mitini wakati mtu ashakula vumbi la Congo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tugawane bas
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
- KANA -
Haha msamehe tu bure, itakuwa mlimkomalia sana so akaona bora akusingizie na wewe. Dooh kumbe ni dume?Hiyo ilikuwa jioni haukuepo bada ya ile michambo kuanza mzonga wewe ni jinsia ipiii akasema msiniharibie interview yangu bada ya mda kaja na i'd ya kiume huyu anayetumia jina la shunie kanitapeli hela ya nauli nilimtumia bada ya kumtongoza naweka ushahidi nikamwambia wekaaa na kila kitu akaweka picha huyu ndio shunie jaman kanitapeli hela ya nauli hizo picha sasa nikamwambia hivi umeamua kunifannanisha na vitu vya kijinga kwa nini ebu nitake radhi jaman ilikua balaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kanisingizia nimemtapeli linamo anamwambia ungefanya uchunguzi kwanza kuhusu shunie halaf ndio ungekuja kuongea utumbo wako kakutapeli wapi na uweke hapa muamala text na chat za pm hatuondokiiii kabaki kutuma picha za kijijini za ndg zake wanaume wanamwambia umetumaje nauli kwa demu wa hivyo basi we sio mzima sio mwanamke wa kutuma nauli huyoHaha msamehe tu bure, itakuwa mlimkomalia sana so akaona bora akusingizie na wewe. Dooh kumbe ni dume?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti umesema KANA ndo Espy?
[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21]
Ila huyo Shunie mkorofi kinoma, kuna vichochoro hua namkuta. Hata huyo Auntie yake na yeye namuonaga sehemu sehemu!
Sasa Shunie, unatumiwa nauli alaf unaingia mitini wakati mtu ashakula vumbi la Congo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tugawane bas
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
- KANA -
Hahhaa hizo picha hukuzisave, maana sizipatii picha kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kanisingizia nimemtapeli linamo anamwambia ungefanya uchunguzi kwanza kuhusu shunie halaf ndio ungekuja kuongea utumbo wako kakutapeli wapi na uweke hapa muamala text na chat za pm hatuondokiiii kabaki kutuma picha za kijijini za ndg zake wanaume wanamwambia umetumaje nauli kwa demu wa hivyo basi we sio mzima sio mwanamke wa kutuma nauli huyo
Yaani antie hata kunitumia hata buku 50 tu na mimi ukaona nitafaidi sana!!!Hiyo ilikuwa jioni haukuepo bada ya ile michambo kuanza mzonga wewe ni jinsia ipiii akasema msiniharibie interview yangu bada ya mda kaja na i'd ya kiume huyu anayetumia jina la shunie kanitapeli hela ya nauli nilimtumia bada ya kumtongoza naweka ushahidi nikamwambia wekaaa na kila kitu akaweka picha huyu ndio shunie jaman kanitapeli hela ya nauli hizo picha sasa nikamwambia hivi umeamua kunifannanisha na vitu vya kijinga kwa nini ebu nitake radhi jaman ilikua balaa
Hhahahahahaahhahahahaahahhaahahaahaahahahhahahhahaaha. Hivi hiyo ni lipstick?[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]![]()