Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Bwanaaaa Apewe Sifaaaaa!
Kwanza kabisaaa katika jitihada zangu zoote za kuokokaaaa sijawahi kumuandika Mungu story ya kumtukuzaaaa. Imeniumaaaa sanaaaa hii issue.

Kwanza naomba mdisregard thread zangu zooote za nyumaaa! That is not the way to go in life. Whatever i preached that was not me! Nilikuwa na mambo yasiyo ya kawaida yananizungukaaa. Nashukuru nimefanyiwa maombi na mtumishi wa Mungu (ukihitaji namba yake nicheki Pm nakupatia ni mmama) na nimefungukaaa, hata ule mguu niliokuwa naumwa since 2013 nimeenda mpaka nje mguu usiopona umeponaaa.

Mguu ule ndo ulikuwa mlango sasa wa mambo ya ajabu ajabu. Sasa kama ulikuwa unakubaliana na mafunzo yangu ujue something is wrong with you too. Sio mimi yule (Technically ni mimi ila sio mimi angalia degree of perfection of evil ndo utajua sikuwa mimi)

Nawaombea Mungu awafungue kama alivonifungua mimi kwenye vifungo vyanguuu. Haleluyah!

Leo nawaletea weekend story ya Kumtukuza Mungu tu. Sio kwamba story hii mpyaaa, wala ya kitambo sema ilikuwa haiendani na old me! Ila kwa uweza wa Mungu aliye juu nimeweza kuiandika kumrudisha Mungu sifa na utukufuu. Halleluyah!

Panapo majaliwa ya Mungu, tukutane SAA 4 KAMILI USIKU


IMEENDELEA PAGE YA 14 POST YA 278
IMEENDELEA PAGE YA 15 POST YA 292
IMEENDELEA PAGE YA 16 POST YA 308
IMEENDELEA PAGE YA 25 POST YA 428
IMEENDELEA PAGE YA 30 POST YA 599
IMEENDELEA PAGE YA 38 POST YA 746
IMEENDELEA PAGE YA 50 POST YA 998
IMEENDELEA PAGE YA 60 POST YA 1207
IMEENDELEA PAGE YA 61 POST YA 1339
IMEENDELEA PAGE YA 82 POST YA 1624
IMEENDELEA PAGE YA 85 POST YA 1698
IMEENDELEA PAGE YA 86 POST YA 1718
IMEENDELEA PAGE YA 90 POST YA 1794
IMEENDELEA PAGE YA 95 POST YA 1899
IMEENDELEA PAGE YA 99 POST YA 1979
IMEENDELEA PAGE YA 104 POST YA 2071
IMEENDELEA PAGE YA 107 POST YA 2138
IMEENDELEA PAGE YA 110 POST YA 2182
IMEENDELEA PAGE YA 115 POST YA 2298
IMEENDELEA PAGE YA 119 POST YA 2361
IMEENDELEA PAGE YA 124 POST YA 2471
IMEENDELEA PAGE YA125 POST YA 2494
IMEENDELEA PAGE YA 126 POST YA 2511
IMEENDELEA PAGE YA 128 POST YA 2560

STORY ZILIZOPITA
JE UMESHASOMA ZOTE HIZI? LIST YA STORY ZILIZOPITA!
Weekend Story! The Grass is always greener on the other side part 2
Weekend Story! DESPERATE!
Weekend story: Bad wives
Weekend Story! The Workaholics Silence
Weekend Story: You Can't Handle The Truth
Weekend Story: The Art of Staying Married! (The grass is always greener on the other side) part 1
Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!
Weekend Story: YANGA! (Naipenda yanga shabiki wa damu)
The Working Class, Savages in Suits
Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games
Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games
THE DIASPORA! Life is a gamble; win some, lose some
The Forbidden Romance With The Priest! (Huba la padri lilivonoga) READER BE AWARE!
THE NIGHT WALKER! MMU LADY COLLECTOR OF ORGASMS! "I slept with them all and i don't regret it!"
The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!
Weekend Story! The Man of the People love triangle!


Bwana asifiwe mtumishi.
 
Kuna maeneo nimepita nimeona Shunie akisakama mtu nikatoka kimyakimya bila comment. Ndio nikajua kumbe espy ndio kocha wake. Wote wapo team roho mbaya
kumbe ulipita nilikua na carba kuna boya tulikua tunaliuliza maswali kumbe tumemuuzi akaja na i'd yake ya pili eti nimemtapeli hela ya nauli akaweka na picha zake ndio shunie mimi mpaka uzi umefungwa
 
Hii roho mbaya umeitoa wapi? Uhamiaji itabidi waanze kupeleleza uraia wako. Watanzania hatuna roho kutu namba hiii...
Hahahaaaa!! Kwahiyo waliompiga risasi Lisu sio watanzania?
 
Sally tena wakati ana ndoa sijui nne ukiachilia mbali ile ya Pendo! Ni kweli kaombewa ila msongo wa mawazo utampeleka Milembe. Ujue Sally alitoa msaada mkubwa sana kwa Dee. Sasa ameondoka unafikiri Dee atakaa sawa?
Kwa Mungu hakuna hayo mambo bwana we, msongo wa mawazo wa nini na tayari anae Yesu mwokozi wa maisha yake. Ni kumtumikia tu.
Saly msaada alotoa ni haki yake maana pesa za vyungu alizitumbua sana tu.
 
Kama Mungu ameweza kumuokoa kutoka mikononi mwa Jini MAKATA, basi hashindwi kumuinua tena Dee Pablo Escobar!

Al-shabab is dead and gone. Dead men tell no tales!

- KANA -
Tena kifo cha kizembe kweli!!!
 
Uzuri wote tumemkosa Sally, ugomvi wetu ulikua hapo. Sawa tumetangulia mbele za haki ila Sally atamkumbuka Hussein daima kila akimtazama Huddah.

Bado nahisi hili goma limefanyiwa ufundi design, limeisha kinyaturu sana.

Sally akijua B ndio alimuua Msomali hapatatosha. Ataona bora angeishi na Dee tu..

lara 1 popote ulipo, jua tu uko wanted kama John Wick
Sally atamtafuta dee tu, msomali ye aliwe na mchwa tu na jehanam inamngoja.
 
Kuna maeneo nimepita nimeona Shunie akisakama mtu nikatoka kimyakimya bila comment. Ndio nikajua kumbe espy ndio kocha wake. Wote wapo team roho mbaya
We ulivyokuwa unamuombea dee mabaya ulikuwa na roho nzuri? We mwenyewe team roho mbaya tena team wauaji.
 
kumbe ulipita nilikua na carba kuna boya tulikua tunaliuliza maswali kumbe tumemuuzi akaja na i'd yake ya pili eti nimemtapeli hela ya nauli akaweka na picha zake ndio shunie mimi mpaka uzi umefungwa
Antie ubuyu mzito hivyo hata kuniita!!!
 
Antie ubuyu mzito hivyo hata kuniita!!!
Auntie najuaga hupendi hizo mambo za umbea bora hata ndugu yake msomali huwa namuona ona Heaven Sent ilikuwa balaa aisee eti nimemtapeli hela ya nauli nikamwambia nilikutapeli ndotoni mana pm nina mwaka situmii nikamwambia weka uthibitisho wa muamala na pm chatting anaweka picha zake za ndugu yake wa kijijini muoneni shunie jaman woiiii watu wanatumia I'd mbili na zote za jinsia yako ukipigwa ban moja unakuja na nyingine wengine ndio kama hivyo huku ana ya kike na kiume jinsia yake haieleweki ukimuuliza anakujia na I'd ya jinsia nyingine kukutukana
 
Back
Top Bottom