Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

hizi ndo zereu nilizoziona mapema kabisa !yani niliina hiii fitna mapema kabisa Samaritan

Team Dee wasikushughulishe hao, bado network hazijakaa sawa. Si afadhali aliwe na mchwa kwa sababu wote njia yetu moja. Dee hawezi kuwa sawa tena yule.. yale mabadiliko ya maisha ya ghafla yatamfanya awe chizi wa kuokota makopo kabisaaaa!!!
 
Hakustahili kifo cha haraka hivyo, alshabab inabidi unamuweka mahali kila siku unamdonoa na sindano kidogo kidogo hadi afe.

Hii roho mbaya umeitoa wapi? Uhamiaji itabidi waanze kupeleleza uraia wako. Watanzania hatuna roho kutu namba hiii...
 
Lakini hamfikii yule alieleta vyungu ndani.
Kwakweli hamfikii maana alshabab wauaji, wanaua alot of innocent souls.
Bora mbeba vyungu yuko na Mungu now, mwisho wake umekuwa mzuri, na hivyo Mungu wetu ukimtegemea ni mwaminifu, basi soon dee anakuwa the next Gwajima. Mambo ya private jets na nini! Kama namuona saly atavyorudi kujikomba.
 
Sally tena wakati ana ndoa sijui nne ukiachilia mbali ile ya Pendo! Ni kweli kaombewa ila msongo wa mawazo utampeleka Milembe. Ujue Sally alitoa msaada mkubwa sana kwa Dee. Sasa ameondoka unafikiri Dee atakaa sawa?
 
Team Dee wasikushughulishe hao, bado network hazijakaa sawa. Si afadhali aliwe na mchwa kwa sababu wote njia yetu moja. Dee hawezi kuwa sawa tena yule.. yale mabadiliko ya maisha ya ghafla yatamfanya awe chizi wa kuokota makopo kabisaaaa!!!
jinni makata linamsubiri salenda!
 
Team Dee wasikushughulishe hao, bado network hazijakaa sawa. Si afadhali aliwe na mchwa kwa sababu wote njia yetu moja. Dee hawezi kuwa sawa tena yule.. yale mabadiliko ya maisha ya ghafla yatamfanya awe chizi wa kuokota makopo kabisaaaa!!!
Kama Mungu ameweza kumuokoa kutoka mikononi mwa Jini MAKATA, basi hashindwi kumuinua tena Dee Pablo Escobar!

Al-shabab is dead and gone. Dead men tell no tales!

- KANA -
 
Uzuri wote tumemkosa Sally, ugomvi wetu ulikua hapo. Sawa tumetangulia mbele za haki ila Sally atamkumbuka Hussein daima kila akimtazama Huddah.

Bado nahisi hili goma limefanyiwa ufundi design, limeisha kinyaturu sana.

Sally akijua B ndio alimuua Msomali hapatatosha. Ataona bora angeishi na Dee tu..

lara 1 popote ulipo, jua tu uko wanted kama John Wick
 
salama yake atuwekee Season II
something is telling me HUDDAH ATAMUUA B!!
 
Achana na season 2, kuna story jipyaaa linaitwa SINNERS siku yoyote nikifurahi nalianzisha
We mmama umeadimika kama hela ya magu kisa nini au umekabika wasapu na wewe
 
Back
Top Bottom