Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

MSOMALI KANIUMA SANA!
amenyanyasika sana toka mwanzo maskin only to kuja kuhusishwa na alshabab hata maskin kushika bastola hajui!
ona kauliwa kifalaaaa!
bora hata wangezichapa!
AH SALLY ***** ZAKE!
yeye na LARA WAKE!
mxxxiou!
 
ila meumia kikweli!

Tukimaliza msiba itabaki kazi moja tu, angamiza lara 1 team Dee watamtengeneza kwa vyungu na ushirikina wakati team Msomali tunamuandama angani, ardhini, majini, gizani , kwenye mwanga n.k inaitwa wanted dead or live
 
ngoja nilie kwanza tujipange!
SIO KWA MSOKOMEZO HUU!
kaaaaah lara 1 alitaka tuoge KY na kuichoma kwwa drip ili asitutigo hivi!?
 
OH MSOMALI!
ila mi nilijua tu!
LARA MSOMALI ALIKUKOSEA NINI LAKINI!
HE WAS SUCH A NICE GUY!
kweli UKAAMUA Akutwe amekufa akiwa hana nguo?
ILI WATU WAJUE ADUI ALIKULA RUJO AU?
DAH!
IMENIUMA!
ACHA NIWEKE MATANGA!
SIKU TATU SIIINGII JF!
A nice guy alshabab!!!!
Kweli mapenzi upofu.
 
Tukimaliza msiba itabaki kazi moja tu, angamiza lara 1 team Dee watamtengeneza kwa vyungu na ushirikina wakati team Msomali tunamuandama angani, ardhini, majini, gizani , kwenye mwanga n.k inaitwa wanted dead or live
Hahahaaaa! Afadhali kidogo this time nimefurahi japo kafa kijinga nilitamani ateseke kidogo.
 
Back
Top Bottom