moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 8,040
- 16,870
hahahaaa usinitende hivyo bana msomali wangu, najua upepo wa leo kuanzia asubuhi ulikuwa mbaya kwakoSina namna
- KANA -
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaaa usinitende hivyo bana msomali wangu, najua upepo wa leo kuanzia asubuhi ulikuwa mbaya kwakoSina namna
- KANA -
Umeniita msomali? Kwaherihahahaaa usinitende hivyo bana msomali wangu, najua upepo wa leo kuanzia asubuhi ulikuwa mbaya kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa niaba ya wanajukwaa, ningependa kukushukuru kwa hujuma unazozifanya!
- KANA -
Ptuuu ulimi hauna mfupa, am xor Dee wanguUmeniita msomali? Kwaheri
- KANA -
Umempa gonjwa D ili afe kibudu ww cyo MTU mzuri
Mi kumdhamin masai no siitaji kuachiwa shuka,Lara moko utavyoamua poa tu mkuu!Aaah sasa lara mbona unaanza kuleta mambo ya huruma tena. Wewe endelea tu kama ulivyokuwa umepanga teh
anhaaaa!Mie team alshabaab Msomali mwanzo mwisho WA dahari na kombe tunanyanyua iwe kwa faulo ushindi wa fitna halali ama juju.
anhaaaa!
kumbe chama moja!
manake mi ile siku ya kutoa full picture msomali alinivurugaaa!
yani naona kabisa kuna tigo imekwanguliwa vocha wallahi!Team moja ila leo ndio roho mkononi patashika nguo kuchanika. Najua tu hatma ya Msomali itatoka leo....
Dee keshakaangwa ila naona kabisaaaa mbele kuna mwanga mzuri kwake, sio kwa maombi yale. Kama ugonjwa kapona hapo kuna nini tena? Nilishashona sare ya kwenda mazikoni na kupigilia msibani. Hahahahaaa
Ungemwita tena kana Msomali kwa mara nyingine...kama vile Sally alivyokua anajichanganya kumuita B Dee.
angejinyonga maana anahasira sanawamezipata mama popote walipoHaha msomali alichambwa ni gaidi, haya Dee kumbe anamiliki hadi vyungu. Nawasalimia team Dee
sasa na wewe umeanza uteam, Ooooh mama mchungaji unakoelekea siko, badilisha uelekeo fastaTonny alikuwa katulia
Ila haumshukuru Mungu kwa nguvu ya maombi Dee kaanza kupona? Sie team Msomali hatima yetu bado haijulikani ndugu msomaji. Naona B anataka kuja kuweka mambo hadharani kwamba Baba Huddah guantanamo inamhusu..unafikiri itakuaje? Kwa mbaaali naona kabisaaa kismas cha Dee na Sally sio cha nchi hii.
Looh! Siku ya Jana humu ndani palikua pachungu asee!
Acha nione leo kama ntakatiza salama!
Sio lile chuma mboga LA kungwi
- KANA -
Ripota wenu wa ripoti ya MAKANIKIA ndo naingia mitamboniii! Naona wanachi mna hasiraaaa sana na mimi! Hahaaaa! Mmekuja na vilainishi lakini maana shughuli si nyepesi!
