Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Ukistaajabu ya Team Dee, kumpa ofa kuntuuu ya kumnunulia Msomali KY, utayaona ya Team Msomali kusherekea hasimu wao Dee kukutwa na Tunguli.

What i dont get is why Samaritan ndo anatupiwa lawama zote za ufisadii?????????? WHY KWANINI. Nyie ngojeni nisha ahidi HII STORY ISIPOKULA TIGO LAZIMA IKUPIGE CHUMA MBOGA. MPAKA TEAM B MTAFURAHIA SHOW.

Woyoooo
That means story haiishi leo wala kesho
 
Mmmh sasa we utajua mwenyewe sasa bhana kama umesema hadi The B Himself haponi daaah hadi tumbo la period gafla limenishika ..fanani mambo yakingese hayoo
 
Samaritan ndio aloapeal story iendelee, na anajulikana kwa kukuhonga. Kwahiyo tunasubiri tu tuone natuthibitishe.

Mie mtoto wa mkulima wa kutoka sijui kigonsera malampaka ntakua na ubavu wa kuhonga? Mtu mwenyewe wa kuhongwa na mie nani, KLM? Hahahaaa rudi shule ukamalizie kozi uliyobakisha
 
Back
Top Bottom