Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Ahahah auntie lazima awe mkali kashakula mahari ya watu huyo baba yeyoo

Mwambie Aunt aondoe hofu. Siku hizi maisha yangu kuishi ni Kristo na kufa ni faida. Huyu huyu Komando kipensi kubwa la maadui mnamchukulia poa ndio kaniongoza sala ya toba.
 
Mwambie Aunt aondoe hofu. Siku hizi maisha yangu kuishi ni Kristo na kufa ni faida. Huyu huyu Komando kipensi kubwa la maadui mnamchukulia poa ndio kaniongoza sala ya toba.
Ahahhahahha
 
Itabidi tumuwezeshe japo bando, ukute mtumishi vifurushi vimekata...waumini wenyewe wa kutoa sadaka wako wapi? Ukizingatia ministry yenyewe bado changa..

Hapohapo kana na yeye anataka mgao eti!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sadaka baadae sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie bora ufurahie nifichwe tukionekana hovyo tunazushiwa kutongoza waume za watu huko pm woiii
Hahahaaa! Yule kavurugwa antie yangu, achana nae!!
 
Ingekuwa mihela ingekula kwako, nisingefikisha.

Na sirudishi mahari mimi. Utatafuta mwenyewe za kurudisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom