TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,763
- 1,834
Yani huyu mwanamke ni kiburi + bandidu si kwa kutupiga pipe ya akili sisi kiasi hiki. Dawa yako ipo na kwenye hili naomba back up ya team Dee wote...
Cc KANA
Cc KANA
Mie nakufahamu hivyo ukitoweka nitatoa taarifa, wala usijali.Hili jibu unalo mwenyewe. Mie bado napenda tufahamiane ujue. Staki zije zianze thread oooh wapi Samaritan sijui kibiti..mara mabwepande
Yani huyu mwanamke ni kiburi + bandidu si kwa kutupiga pipe ya akili sisi kiasi hiki. Dawa yako ipo na kwenye hili naomba back up ya team Dee wote...
Cc KANA
Ndiyo uncleShunie ndio ananiita uncle? Na wewe uncle kumbe? Nasafisha makubaz hapa
Naupendaje uncle, tuletee pleaseWewe haupendi ubuyu wa babu Issa? Itabidi nikuletee wewe ndio umgawie na nduguyo Shunie
Igweeeeeeeeeeee
Basi bwana ndugu wasomaji Kama mnavyojua tena alshababu hafungwi , siku ile B alivyovuruga mipango si mnakumbuka alitegua bomu? machale yalinicheza, nikasema sikamatwi kipuuzi, nikakodisha private jet nikamchukua huddah na Sally tukatokomea Dubenga, nilisha establish mabziness kibao huku kwahiyo mambo yakawa bwerere tu.
Baba mkwe alifungwa bila hata kufunguliwa kesi bahati nzuri hakunitaja kabisa, sisi watu wa kazi hatutajani, basi ikaenda ikaenda nikapata email ya winnie kuwa Dee amekondeana kwa ngwengwe, nilivyomuonesha Sally alisindikiza ile habari na matusi mazito mno Ndugu msomaji siwezi hata kuyaandika. Kwasasa namuona Sally anatapika tapika ovyo nadhani amembeba mdogo wake huddah, basi inshallah sisi maisha yetu huku mazuri japo nina kawasiwasi kidogo. MWISHO
TEH TEH TEHyaani timu msomali, lala akiisoma hii mtakaangwa na mlie
. Timu Dee thank me later!

Tumeshaunda tume, fanani akizingua tunaenda mahakamani kama Odinga!Yani huyu mwanamke ni kiburi + bandidu si kwa kutupiga pipe ya akili sisi kiasi hiki. Dawa yako ipo na kwenye hili naomba back up ya team Dee wote...
Cc KANA
Kwahiyo umesikia mimi ndio siupendi?
Naupendaje uncle, tuletee please
Sijashindwa kukamilisha mchakato, wewe ndio mzinguaji.
Ahsante sana uncleNtakutumia
Basi kamilisha zoezi la address. Sasa ukizubaa utaupata kwa Heaven Sent
Tumeshaunda tume, fanani akizingua tunaenda mahakamani kama Odinga!
- KANA -
B yupoo kuna episode moja bwana wa Sally alifungwa akabaki mpweke nadhani ndo akatokea dee uyo aliyefungwa bila shaka ndo B kama sijakoseaInakera character from nowhere ndo inakuja kupata mzigo, nikama watu wamekimbia Marathon 20 km af 19km anatokea kusikojulikana MTU Tu na kuchukua kombe, ngempa yule alirjitahidi japo.
Halafu nishaona Lara unamalizia story kulingana na teams n comments Ila rectify that kua na plan kabisa ya story itaishaje nomatter what, kuna feeling flani unapata main xter anaposhinda. Beautiful story ila sijaona ilipomtukuza mungu mana ulianza kwa kusema hivyo
Hiyo ni analysis yangu, mtizamo Tu.
Pamoja sana Lara 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi usijali, ukimfikia binti yangu ujue umenifikia mimi.Basi kamilisha zoezi la address. Sasa ukizubaa utaupata kwa Heaven Sent