Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Kila mara nakuja kuchungulia apa ili ni isindikize sikukuu vyema
Nkikuta hola nanyong'onyeaaa na hivi nkiwaza Msomali ndo kabisaaaaaa
Ucwaze Sana Wng kua na subra msomali niko solama!
 
Zaidi ya mara 1,000 natikisa kichwa Lara 1 hawezi kumaliza story kwa namna hii.
labda niseme wazi kabsaa mimi ni team Dee na kwa uelewa wangu finyu na kidooogo kwa liserch niliyoifanya kwa reference ya story za Lara 1 huyu huyo warembo wengi huwa wanajisikia salama kwa mwanaume bandidu mfano wa Dee .
Hata vitabu vitakatifu tunasoma samsoni na delira .
Sasa mkali wangu wa muda wote (author ) Lara 1 kwa mwisho Huo unafanya kichwa changu kuzidi kuuma mbaya zaidi umetupitisha kwenye magumu mpaka Congo huko afu utamu wa story umebaki nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom