She called me Dee! Did she? Yes she did. Not once, but twice. D to the mother facking EE. Ukiacha yoteee yoteee mwananke kukuita jina la mwanaume mwingine ujue kama ni mechi ashapewa point tatu zote wewe unakamilisha ratiba. Hili swala liliniumaa sanaaa.
Well sababu ziko wazi sio mnatoa mimacho ndugu wasomaji kwanza mi ndo nilizindua mzigoo ule ukiwa brand new. I wished she was the same little girl niliemfundisha mastyle. Nikifanya kitu anadataaa. Ananisikiliza mwalimu wake kwa umakini mkubwaa. I wished. I was her world. Akiniangalia her look was priceless. Jamani kama duniani ubampenda mtu mmoja basi mi nilimpenda huyu mwanamke.
Ila jana tu kilichonifanya niunawe mpira uwe penalty sio tu kuniita Dee. Yaani shakuwa fundiii tena kungwi kama sio nyakanga kabisaa. Anahimili mashambulizi tena yale technical kabisaa. Ofcpurse ingekuwa mwanamke mwingine ingekuwa plus plus. Ila not Sally aisee. Najua kabisaa kuna mishababi imemfundishaaa, ukute haikula kistaarabu wala nini kama mwenyewe nilivokuwa nakula, nakitunza kidumu. Nikiwa roho inaniuma badooo naitwa Dee juu. Nishakaa gerezani juu. Aisee it was too much.
Nikaona isiwe kesi kama vipi ninaweee tu, maana mambo ya kukomaa kula unaweza jikuta kwa hasira umemla mtu kibogaaa bureee. Aaaaaarrrrgggghhhh! Nikawa nime nawa, sasa katika kunibembeleza na nini si ndo akaniita Dee tena! Kmaninaaa kweli kweliii. Akanimaliza nguvuu kabisaaa. Nikaamua kama vipingoja nijikatae maana naweza kuongea ambavo sijavipanga buree.
Nikawasha gari ndo nikakumbuka sina pa kwendaa. Nikaenda kwa Msomali, sio makusidi ndigu msomajii mbeleni utanielewaaa kwa nini. Ila nilijua kwa furaha ya kwamba nimekuwa curved na kutimuliwa usiku usiku anaweza hata kunichinjia ngombe 7. Adui yako muombee njaa. Nimefika nikaongea na mlinzi akaenda kuongea nae. Wakawa wananiweka nikampigia simu. Yo man, i need a place to crush. Akakata simu. Mlinzi akaja kufungua geti.
Nikaingiaaa, msheziii hajibaniii. Nomaaa sanaaa! Sally anamrudia mda wowote ndo maana alimzalia mtoto aisee. Sio kwa maisha hayaaa! Nikaingia ndani na kuwakumkuta mwenyewe baadae akapita mkewe sijui nacho chombooo cha haja. Ila niliona hawana maelewano mazurii kabisaaa. Design mkewe alimind mi nani na kwanini nimekuja usiku pale! Wakawa wanavishana corridor.
Anamwambia hana shida huyu, basha wa Sally wa sahivi, she curved him, threw him out of the house at this time. He will crush here for the night, its gonna be okay. Mke analalmika i dont trust him at all, he looks suspicious, dad is gonna be mad! Super mad! You know its going down this week we cant afford distractions. Get him a hotel or something, where did he come from? I dont want him sleeping in our house. Wakakoroga visomali sio vya nchi hii.
Akaja kuniambia chumba kiko tayari. Akabichokoza tu, she curved you didnt she? Mmmmh! Nikaguna tu na kumpa expression acha tu. Nikaingia ndani, akaja msichana kugonga chakula. Nikase!a nishakula akase!a washaanda. Nikatoka na kwenda kula. Nikawakuta wote sasa na mkewe ndo nikamuona vizuri. Khalifaa! Mzuriiiii, ni mzuriiiii, afu anajijua kama mzuriii.
Basi mkewe mcheshi akaanza kunipiga interview isio rasmi. You met Sally recently? Nikamjibu No, i met her when she was 15, we dated twice actually. One time before i went somewhere, and another time. Msonali akasema nimekujuaaa, we ndo baunsaa ulifungwaga jelaaa! She told me about you zamani just didnt put the pieces together.
Ukapita ukimya! Mkewe akauliza tenaa, so you are back from Prison? Nikajibu tu technically! Akanichapa swali werent you mad she had a baby for another man? Msomali akaingilia kati na kuanza kuongea nae kisomaliii kwamba maswali ganii haya sasa. Nikajibu I am mad! Mkewe kinganganizi kama luba. Akauliza so you gonna leave her soon? Nikajibu tu i dont wanna talk about it.
Akabadili topic, What crimes did they nail you on! Nikamjibu tu Narcotics, Armed robbery. Akatabasamu Bad Boy! Sally always like them bad! Nikashangaaa sanaa nikaamua kumkaanga nae. Nikamtest kwanza Hussein here is a mamas boy! Akajibu to Really! Tell me about it? Ile ya dhihaka tu! Nikadakia who is Dee she called me Dee today!
Mkewe akatabasamu, maybe Hussein should answer that. Hussein who is Dee? Hussein aka punch kiutu uzima akasema He will find out on his own. Ukapita ukimyaaaa. Mkewe akachomekea Dee is not a bad boy! Maybe! Hussein akamsemesha kisomali afu kwa ukali sasa. Na story zikaishia hapo.
Nikajipumzishaa chumbani ikawa saa 12, nikapiga simu ya Sally haikupokelewaa. Nikapitiwa mpaka saa 4 ndo nikastukaa. Nikakuta Hussein ashatoka. Nikamwambia dada niagie bi mkubwa nataka kuondoka. Akasema alisema usubiri. Nikawa nimekaa. Nikaambiwa kasema uende uani kwenye pool.
Namkuta bibie kavaa thong sio thong ni Gstring maana mzigo nauona wazi wazii. Kakaaa katanua miguu. Mmmmmhhh! Jana alikuwa kavaaa mashungi na ma abaya. Nikaona amjaribuuu makubwaa! Nywele ziko mgongonii. Toto zuriii jamaniii. Nikaka jiranii serious!
Basi ananiambia you can look usijibanee. Zuri afu linajijua zuriii. Noma snaaa hioo ndugu msomajii. Namwambia nashukuru mi ndo naondokaaa. Ananiambia ujue Sally na Hussein hawajaachana! They are fooling us. Trust me! Nikamuuliza why? Ananiambia mi ndo nakwambia, can you imagine Hussein kakubali tuwe na open realationship? I can sleep with anyone i want so can he? Sikushangaa sanaa kwa nje kawaida sanaa. Na design ananipa invitation to treaty. Ila sikumwamini ukute anasema hivo ukigusaa unashangaa unapakwa KY na kuliwa ndogo. Mke wa mtu sumuuu.
Nilijikaza kiume nikaaga na kuondoka. Basi ananiambia uwe unakuja kunisalimia from time to time maybe take me out for a drink or dinner. Nikaaga na kurudi nyumbani. Funguo ninazo nishajitengenezea copy. Nikaongia ndani na kujipumzisha kwanza.
Jioni nikamfata Sally kazini kwa miguu. Anatoka na msurprise, akashangaa ila bado kanunaa. Njiani najisemesha jana nimelala kwa msomali, i know its stupid and i am sorry about it. Akagunaa tu na kusema bado kesho utalala kwa Dee. Hivi kwanini wanaume naotembea nanyi mimi you are so united in brother hood! Au mi ndo mbayaa? Niko Nooo! And please Dee ndo aliosababisha yotehaya usitaje tena hilo jinaaa. Akasema DEEE, DEEE, DEEEE, DEEEE ,DEEEE! Mpaka nikafanya jambo la kipumbavuuu kufunga break ghaflaaa, kidogo tuingie mtaroni, i meant business.
Safari ikawa ya kimya kimyaa.
Tumefika nimepikaaa chakulaa, hatukugombana tenaa. Mpaka nikamchomekea, i was thinking maybe you can put words for me to get a job kwa Msomali. Maji yalimpaliaaa. As who? Nikamwambia tour guide, driver, anything. He has companies etc.
Anaiambia kwa upolr na unyenyekevu B dear if its about money sio lazima ufanye kazi kwa msomali. Naweza kukupa mtaji ufungue bucha, au bar whatever you want ila sio kufanya kazi kwa msomali. Please! Namwambia i dont want yourmoney! Natafuta maisha mimi kama mimi. Akauliza kwa nyodo hayo maisha ndo kwa kufanya kazi kwa msomali au? Aliniuziii.
Namwambia the nigger gotta start somewhere, msomali una mu under estimate kampuni yake ya utalii ni among the best in East Africa pia Mogadishu germs nayo iko vizuri. Just put words forme baby! Analalamika haweziii. Mbona nakuwa na akili ndogo hivoo. Sijui nini. Maneno ya shombo sio za nchi hii.
Nikaona isiwe kesi, nikamfat msomali mwenyewe na kumuomba kibaruaa. Namwambia man unajua nina historia za gerezani na nini, so siwezi kupata kazi bongo nipe kazi mwanaume mwenzio naaibika. Anauliza una experience ya nini? Nikamwambia mimi USA nilikuwa security karibia miaka 8! Akatafakariii! Akasema bwana tutagombana na Sally. Malizana nae akikubali kazi nakupa. Namkomalia hii man to man kazi nafanya mimi yeye? Nipe kazi hioooo nifanyeee. Mi nawajua nyie wasomali sitokufa njaaa!
Akauliza unamaanisha nini? Namwambia i have been to prison remember! Nawajua watu wa network, watu wa ma dili, watu wa connection watu wa kazi kubwa kubwaa. Honestly man i am looking for something big! You know if its in you its in you, i need a connection. I need to make shit happen fast! Unaelewa mi nilikuwa mtu wa kazi. I am good with guns, with cars, naweza kwenda front, ku drive kufanya lolote. Afu nina uzoefu wa mda mrefu. You know Sally she is small time, i wanna go big time, big money, big horizons.
Akajitia my business are all clean! Nothing under radar. Mimi msomali wa tofautii. Nikamkazia your wife said something is going down soon! It sounded big! Give me a shot man! I can carry staff, carry the mchines, move weight, manage, whatever! Kama imeshindikana kabisaa nipe hata referal kwa wasomali wenzio. If you want me to beg, i will beg. Nikampigia magoti. Akatafakariii. Akasema enough, you made your point nitafikiria.
Nika kaa wiki 3 mpaka kina Hudda wakarudi, Hussein hajanipa feedback yoyote. Na mimi ndo na hamu ya kazi ni balaa. Nipate pesa nikae kwenye ramani. Maana Sally kazini mambo yashaanza kuyumba, boss anakomaa wabadili mkataba, asiwe anamlipa 20% na yeye ndo anakomaa anataka ku resign. Namwambia usi resign kwanza, mi sina kazi bado, ndo nasikizia kwa msomali. Lawama kwani hamna sehemu ingine utapata kazi? Namuuliza wapi? Au umesahau nilifungwaa jela nani atamuajiri exconvict?
Kazi kwa msomali ikawa ngumuuu sanaa. Nikamfata tenaaa, akaniambia serious my daughter calls you uncle, Sally loves you, if anything happens how will i look at them? Siweziiii! Nikamwamvia basi usinipe kazi zetu, we nipe kazi hata ya ulinziiii tu ila usiwe wa kwako. Akauliza kwanini? Mke wangu ashaanza kuku Ali kiba nini? Nikazuga no man, namaanisha tutagombana sana na Sally but he dag my point.
Akaja kunikubalia na kuniajiri head of security wa kampuni yake ya Utalii. Sally alimwambia mbele yangu, huyu ni jambazi sasa mkabidhi security system yako, umemkabidhi fisi bucha, akikupiga ma million ya pesa akapoyea usijekunitaja Sallu. Sihusikiii kabisaa. Sijakwambia majungua nasema mbele zake. Mimi na msomali tukabakia tu kimya.
Hii kazi mpya ikaniweka even in worser position na Sally! But i loved my job either way. Namshauri msomali anunua systems za security mpya duniani, vifaa, gprs, radio calls, mpaka watalii wakakubali. Ili tu boost sanaa. Kutokana na kazi mda mwingi nikawa nakaa Arusha ndo ofisi zilipo. Japo kwa mwezi nina off 8 ambazo zote nakuja kugombana na Sally. Watalii wakaongezeka baada ya hizi investment mpya kwenye security na safety. Nikawa head of security Mogadishu germs pia. I was not making any serious money! Subira yavuta heri.
Mwezi wa 3 akaja huyo baba mkwe wake, zee lenyewe la kisomali linalokaa Mogadishu miaka yote. Ni nadra sanaa kwa zee hilo kutoka Mogadishu sababu linalinahusishwa moja kwa moja na mambo ya Alshababu. Ndo katika wale wafadhiliii wenyewe OG wa Alshabab nalo limo. Inavosemekana hizo biashara za madini vitalu vya kuwindia zote za huyu mzee, Hussein ni decoy tu, Errand boy.
Na ilivo mdogo wa Hussein kaolewa na kaka wa Nasra, hivo ikawa lazima Hussein amuoe Nasra, na Maleeq atamuoa mdogo wake Nasra taka asitake. Si unajua hawagawi ukoo wale. Aliniambia mwenyewe Hussein na kunio!ba kwa!ba ananitegemeaaa na mwenyewe nijiongeze Mzee akiwa impressed natinga ndani ya Mogadishu, kwenye biggest money eveeeer! Ndani ya Alshabaab money. Ananiambia Baunsa Alshabab wana pesaaa ndefuuu sanaaa. Usisikie. Meli moja wakiteka unadhani wanalipwa shingi ngapi? Achaaa! Baba anakuja na ulinzi wake ila wewe pia utupe jicho wewe uko advanced, yule ulinzi wake ni wasomali hawajaenda shule kabisaa. Nakutegemea wewe zaidi japo usi wa under estimate. Wako tayari kufa kwa ajili yake. Pia Somalia huko huko kuna wasomali wanataka kumuua mambo ya kisiasa, visasi so ulinzi ni lazima.
The kingdom was near! I could smell it! Whooooo! Nikapanga timu yangu ya hawa form 4 leaver. Nikawajazaaaa wakajaaa! Nikatest mitambo yote. Mzee alikuwa anaenda kuwindaa, afu atakaa Arusha siku 3 na kusepaa! Ilikuwa mishe sio ya kitoto uso kwa uso na Alshabab! Nikasema au ninaweee! Tamaa zangu zitaniponzaa mjue. Nikachukua zile off zangu.
Cha mtu mavi, na boss wamegeuka maadui wakubwaa! Ananstress hamna mfanoo. Siku hio saa 4 karudi isivo kawaida! Namuuliza vipi? Anasema nimeresign 24hrs nimechokaaa! Namwambia umeacha haki zako siungeacha wakufukuze. Akawa kavurugwaa sio kidogo.Mkali anafokaa fokaaaa kila mdaaa! Kina dada cha moto walikionaa.
Anabamiza milango, anatukanaaa! Mmmmh! Nikamuita Sally njoo! Nini? Namwambia kaa hapo basi. Amekaa kavimba kama kobra! Nikafunga mlango na funguo anauliza unataka kunifanya nini? Nikamwambia nataka nikufundishe tution! Akachekaaa tu! Ananiambia kina dada watajua ujue. Mi namwamvia wakijua wao hawafanyagi kwani?
Nikamvaa na mateee moto moto! Anaanza kuongeaa, nikamwambia hukawii kuniita Dee na mimi ukiniita Dee lazima nisusee. Sasa hii ni mechi ya kimya kimya! Kwanza kina dada watasikia. Sawa mama! Tunaenda... Akaniwahi na ulimi kwamba kaelewa somo ni mwendo wa kimyaaa kimyaaaa.
Basi hapo inaitwa acha nafsi ziongeee! Mechi ya kimya kimya nayo inanogaa mjue. Maana mnaongea kwa macho, mikono na mwili tu. Niseme tu ujweli jpo siku ile nilisusa mimi ila roho iliniumaa sanaa! Sasa leo nilitaka kwanza nisuuze rungu walau mara moja ndo nilete mbwembwe zingineee.
Sikumkawizaa kabisaaa, mate, mate tumeangukia kitandani, yeye juu mimi chini, kavaa skirt ya kazani bado nikaipandisha juu tu, nakusogeza chupi pembenii na kuchomeka mashineee! Mwanaumee mashineeeeee! Anaulizia condom mashine iko ndani. Anajieleza ooh mimba sijui nini hajahesabu mashine ishaanza kazi. Namwambiia baby usijali namwaga nje. Navosema hivo mwenyewe kama dereva nishafeli sina control na gari, gari ishakata break siku nyingi sanaa.
Mwenyewe hajiweziiii, badala ya kuona break zimefeli ashike usukani, ndo kwanza mambo yamemnogea ananiletea miuno feniii, kaukalia full pictureee sijui nani kamfubdisha michezooo hii hatari. Kilichotokea ni ajali ya mimi kumwaga ndani zigo loote. Nilizidiwa inshort. Namwagaje nje, yeye yupo juu na anajipimiaaa.
Daaaaaahhhhh! Mambo kuliko nilivokuwa nayakumbukaa. Nikajikuta tu nalia machozi kabisaaa,akajua nimekumbuka mambo ya zamani ya jela labda! Ananibe!belezaaa! Nikatamani nipate nguvu niondokeee ila moyo haupelekwi kwa engine. Nikajikuta nakaa tu pale pale.
Safari moja huanzisha ingine. Tukavua nguo kabisaa sasa kwamtanange full! Mwendo ule ule wa mechi ya kimyaaa! Inaonekana alikuwa na kikoko cha mda mrefu na mimi ndo nimejipanga kukimalizaa kabisaa. Nilitaka nimpe mashineee ya wasi wasi sababu ya mambo yangu yaliokuwa yananiuma roho ila mwili na roho vinajikita vinaenda viceversa na mimi. Nikatoa show show show ya kibabeeee! Mtu wa mwisho kumpiga show hio Sally mwenyewe kabla hajaenda China.
Ukisikia mwanaumeeee mashineeee, ndo hio siku sasa. Nimesimamilia pedaliii msaaa! Jasho linatutoka mwili mzimaaa, nakomaaa tu! Mwanaume mashineeee! Namgeuza geuza ma style tu! Jicho jekunduu jicho nyanya! Nauhakika show kama ile hajawahi kupigwaa! Nampiga mipira ya kiufuniii pembe kwa pembe, nyuzi 360. Mpaka akasahau ni mechi ya kimya kimyaa akaanza kuliaa, na jina langu alilijua siku hioo! Akaliita kwa usahihi mkibwaa! Mwanaumeee mashineeee! Mechi imeisha sikumbuki goli ngapi. Yeye alipata nguvu za kutoka maana mtoto alirudi shule. Mi nililala usingizi. Show kama hizi inafika stageunakojoa upepoo tu. Ilinivurugaaa sanaa hii show.
Usiku mtoto kaja tenaaa! Kamtoroka mtoto anataka show! B unaenda Arusha kesho kitwa tuu, mi sitoweza kukaa mwenyewe! Ushanianzishia hii michezoo! Kiukweli nguvu sikuwa nazo! Tukalala nimemkumbatiaaa tu! Asubuhi kamuandaa mtoto shule, karudiii chumbaniii. Ndo ikawa michezo yetu hio, kushinda tuna tunafanyaaanaaa mda wote! Tulimisianaaa!
Tukizimaaa moto, tunawasha moto. Hata kwenda kununua chakula hakunaaa! Anatumwa dadaa na mpishi. Huku tuna kazi ya kuwasha moto tu. Kujifungia chumbani kufanyanaaa mwanzo mwishoo. Kama mwanaume mashinee basi iliisha oil! Sikujua nina uwezo wa kufanya hivo mfululizo siku 5. Mtoto akienda shule tu, tunampungia, tukirudi ni kujifungia chumbanii kuvua nguo na kuingia kazini kazi yenyewe kupigana miti. Sichokiiii, sikinaiii. Na Sally hii michezo nilimzoesha mwenyeweeee tangia mwazo. Na hizi over dose akawa mtejaaa kamili.
Kama stress za kuacha kazi nilimmaliza zote. Aka fall sasa deeply in love! Yaani ananipenda mpaka anachanganyikiwaaa! Usifanye mchezo mwanamke gaidi kama Sally ananiuliza utanioaaa eeh! Hahahaaa! Nitakuzalia mtoto wa kiume mdogo wake Huddah! Anajimalizaaa sio kidogo. Si alikuwa anjifanya hataki mwanaume ana pesa? Mwanaumeee mashineeee! Chezea mlinzi kupendwa mwanaume mashineeeeee!
Namwambia Sally sina kitu, i cant give you this life, or the life Hussein can give you. Anajimalizaaa sitakiii chochote nakutakaaa wewe. Namuuliza una uhakiak? Unaweza kukaa uswagilini wewe? Anajimalizaa uswahilini si ndo tulipokilia au? Ulipo wewe nipo! Hapa kwako sibandukii. Wala sifanyi mistake, hapa nimefikaaa!
Akamwambia Hudda aniite Daddy! Nilifurahi na kusikitika! Kama ku fall alikuwa ana fall mzima mzimaaa! Hudda alifurahi i have 2 dadies. Maskini. Anamwambia kila mtu i have 2 dadies. Siku ambayo kesho yake naondokaa show zilikuwa za masaa 24. Ukizima moto tunawasha moto! Yaani mapenzi mabayaaa! Mwanamke kangangania kifuaniii, hataki nini wala nini.
Nikaamua kumuuliza nilivokuwa gerezani ulikuwa hunikumbukiii hata kidogooo hata kusogeaa tu? Anajitetea tetea tu! Namchomekea hata mara ya 2? I gave you money kutimiza ndoto zako za kibiashara! Namwambia nilikupenda snaaa sanaa ujue. Ana panic kwani sahivi hunipendi? Namuuliza after everything kati yako na Hussein unaweza kumpenda Hussein kama zamani? Ana panic na kupoteza confidence! Nampooza nakupeenda sanaa! Nampiga kimojaaa anapata nguvu sasa! Anaomba msamahaa sio wa nchi hii.
Siku naondoka nililia kwa mengi, na yeye alilia! Kama watoto! Soul mates. Namhakikishia narudiii naenda kuacha kazi tufanyw biashara. Njia nzima simuuu. Baby, mume wangu. Anajua kupenda mwanamke yule basi tu aahanitibuaga kitambo.
Nimerudi after 2 days kaja huyo Baba Mkwe! Khalis! Mfalme! Acha kabisaaa! Na mimi nilijipanga vilivo. Ulinzi wakw sio wa kitoto. Silaha nzito nzito sijui walipita nazo wapi. Akiwa anaenda kuwinda akawa anapanda gari sasa. Nikastopisha! Wakanijia juua gari zishakaguliwa! Nikasema lazima nikague tena. Wakaja juu huyu nani kwanza sio msomali. Hussein akasema zikaguliwe upya.
Bikaleta vifaaa! Nikagundua hio gari ya Khalis ina bomu lilitegwa! Nikaliteguaaa! Wakawa wanyongeee! Safari ikaahirishwa akaomba aondoke ndege ya usiku huo huo. Akanishukuru sanaa sanaa. Akasema wanipe pesa, nikasema hapana mimi na Hussein ni maswahiba. Akaondoka!
Hussein akaja kuniambia mzee anataka ufanye mchakato uende Mogadishu uka mconsult security tema yakeimekuwa butu sanaa pia anataka vifaa vyote vya kisasa. Sasa itabidi uende kule ukamsaidie ku redesign na kupanga timu uupyaaa! Niakmwambia sawa boss.
Kuanzia hapo bikawa nashirikishwa ma deal yao ya shehena za tembo wanazo safirisha, mafutaaa, silaha! Big big money! Msomali ana pesa ila nyingi chafuu. Ndo nikashangaa how can you be legit and flithy rich! I was happy and not happy!
I was happy kazi yangu nakaribia kuimaliza! Naomba ninitambulishe kwenu, mnanijua kwa jina la Baunsa! Jina langu halisi ni Detective J. Rollings, Interpol Police, special unit ya terrorism. Na Bongo nilikuja special kumpeleleza Msomali sababu ndo alikuwa lead connection kwa Khalis. Na wote mafaili yao tunayo. Tume wa track anzia shemeji yao wa Minesota, wako na mtandao mpaka London na Duabi anakoenda sana kutafuta watejaaa kote ni ugaidi mtupu.
Mi nilishangaa kuwa assigned hii kesi, na sikuelewaaa mpaka nilivokuj kujua kumbe Hussein mwanamke aliezaa nae ni Sally na natumika kama chambo kwasababu Huseein angeniamini mimi tu sababu Sally ananijua way back when!
Mimi Sally nishakubali hanipendiii, baada ya kupata makash kash mara 2 sababu yake, mjomba alinipa somo refu sanaa nikalielewa afu nikawa nimejitambuaa na kujua tu pale mimi ndo nilipendaa sikupendwa kabisaa. Nikakubaliii japo kwa roho nzitooo nikaendelea na maisha mengine. Napata tu taarifa kwa baba yake, tunaelewana sanaa, kajifunguaaa, anaishi na Dee, anaishi na Hussein, karudi nyumbani, karudi kwa Dee. Nikakubali sikupendwaaa
Sasa haya ya kesi ya ugaidi na msomali, sikutegemea tungefanyaaa na tungeishiaaa tulipoishiaaa. Nilitegemeaaa nitajikazaa niondoke zangu. Sasa ndugu wasomaji mama ndo ka fall in lovee, mwenye i always love her mpaka eternity so siku fall ila nilitimizaa tu mapenzii ya moyo wangu. I did fall in love with the daughter sanaaa! Sema ndo hivo soon ill be taking her biological father to jail for a long time! Makosa ya Ugaidi sio madogo, hio ni Guantanamo moja kwa moja. Mzazi mwenzie na Sally huyu tunamzungumzia and i was not sure Sally will be happy about it.
THE END (STORY HAIJAISHA ILA TUKIFANYA MASIHARA HAIISHI! TUFANYE IMEISHIA HAPA)