Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Ahahaha kama ulikuepoNipe tu mimi nitamfikishia.
Ahahaha kama ulikuepoNipe tu mimi nitamfikishia.
Mpe baba yeyoo auntie yangu huyo kwahiyo si kitakuwa kiroba cha ubuyu baba yeyooMama Yeyoo akiridhia ntafanya hivyo.
Tatizo lako ni hilo tu Swahiba, haujajua hata kusoma mistari ya Biblia vizuri unalilia mgao, ukijua kuimba kwaya si utataka fungu la hamsini?
Lara 1 umekuwa yesu na ama yule ester wa kwenye biblia. Maana hii ngoja na Hili dude Mara nyingi linasababisha homa sasa shida usome mchana afu mbele za watu na hapo dude linoge na homa ipandee uso huo sijui utaficha wapiMsiwazeeee! Hata saa 4 nisipotokea msikate tamaa nitatokea tuu!
lara sa 4 ndio hii jaman
mpaka sa hii baba yoyooKasema msubirie tu. Tunamalizia maombi kwanza. Vuteni subira waungwana!
mpaka sa hii baba yoyoo
Asharidhia.Mama Yeyoo akiridhia ntafanya hivyo.
Ahahhaha mpe auntie yangu espy aniletee
Am good darling, unafichwa sana!!!Nipo auntie am good and u
Alisema hata asipotokea tuvumilie tu!!!Mh! Hii sasa naona kuna mutu imechomeka mukuki kwa mulango yake...shieee!
Alisema hata asipotokea tuvumilie tu!!!
Hahahaaa!! Hachelewi huyu, anavyopenda fursa sasa!!!Ukute na yeye amepeleka mzigo Congo...
Ahahhaha mpe auntie yangu espy aniletee
Am good darling, unafichwa sana!!!




auntie bora ufurahie nifichwe tukionekana hovyo tunazushiwa kutongoza waume za watu huko pm woiii
Baba yeyoo ukuje hapaAsharidhia.
Na kweli tumevumiliaAlisema hata asipotokea tuvumilie tu!!!