Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Huwa inatokea mara nyingi sana yaani unakuta mahusiano yanayumba mnakoromeana ile mbaya siku mkikutana labda myaweke sawa mara oohh mimba hiyo.
 
Hahahahaaa! Haya mambo ya mtoto wa Pili kayaleta nani lakiniiii? Kati yangu mi na nyie nani fanani. Nununueni Diclopar kabisaaa Team Msomali mmetamba sanaa toka Dar mpaka Moro. Kutamba gani huko.

@Epsy usikose apocalypse ya Msomali.
 
Naona roho mbaya yako unayotaka kutukaanga team msomali. Hivi unadhani hatuumii jinsi Dee anavyotamba na binti yetu? Mara atutokee na kitaulo chake mtcheew
 
Hahahahaaa! Haya mambo ya mtoto wa Pili kayaleta nani lakiniiii? Kati yangu mi na nyie nani fanani. Nununueni Diclopar kabisaaa Team Msomali mmetamba sanaa toka Dar mpaka Moro. Kutamba gani huko.

@Epsy usikose apocalypse ya Msomali.
fanani usitubadilishie gia angani....hahahahahaha
 
Back
Top Bottom