Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Washapoteana honey!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

- KANA -
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawaona wakiongozwa nw Heaven Sent wanamuhama msomali taratibuuu
 
Kuna episode la usiku lajaaaaa! Wale team popo! Baba la baba Dee atakubali aoleweeee? Watch this space
Hakulaliki sasa, mpaka kieleweke.
Sema natamani Dee achomoe!

Sally ain't loyal. Dee has won his respect back inatosha, so bora andelee na maisha yake bana.

Mtu mpaka kashonwa!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Hebu apite kule

- KANA -
 
Hakulaliki sasa, mpaka kieleweke.
Sema natamani Dee achomoe!

Sally ain't loyal. Dee has won his respect back inatosha, so bora andelee na maisha yake bana.

Mtu mpaka kashonwa!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Hebu apite kule

- KANA -
Sizitaki mbichi hizi
 
Hahahahaaa! Haya mambo ya mtoto wa Pili kayaleta nani lakiniiii? Kati yangu mi na nyie nani fanani. Nununueni Diclopar kabisaaa Team Msomali mmetamba sanaa toka Dar mpaka Moro. Kutamba gani huko.

@Epsy usikose apocalypse ya Msomali.
Dada mkubwa tuhurumie jomonii tupe tuu uyo mtoto wa pili alafu tutaacha kutamba
 
Sizitaki mbichi hizi
No way!
Huoni Sally kaamua kufos ndoa kwa kudanganya eti msomali anataka kumuoa?

Alaf kitambo tu Dee alishasema hamfeel Sally like he used to do back in the days!

Kifupi tu, Sally needs Dee more than how Dee needs her!

[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

- KANA -
 
Back
Top Bottom