Haha naomba iwe kweli woyooooooYani huyu Sally kapigwa full picture tena, keshatundikwa mimba ya pili. Mimi kaniudhi! Atazalishwa kama paka shauri yake!
Hahahahaaaa, leo kwetu pazuriNmeamka usiku huu kuchungulia nakuta imoooooooo
Nashukuru kwa matusi yako!
- KANA -
Shoga angu mwenzio leo nina raha sana jamanMhmmhmhmhmh Wacha saivi nisubirie tu mwisho wake ! Though I hope sally atamsamehe tu baba huddat wake.. saivi sitaki nataka nyingi sana Samaritan carbamazepine moneytalk Msomali keshafanya yake hukuu
Mahondaw wa Smart911
kitu cha msomali leo kimekaa mahali pakeKunani teina shogaa?? wantamanisha kujuaa haha kitu Msomali on the house ama nene???!![]()
![]()
![]()
![]()
Mahondaw wa Smart911
Teh za j2 shunieHuyu Sally jaman ni nini hiki kakifanya
Jaman nzuri sana lovie sijui wewe yaan huyu Sally naona kanivuruga tu apaaTeh za j2 shunie
Poleeee. Sasa hivi tumewapatia kakiumeJaman nzuri sana lovie sijui wewe yaan huyu Sally naona kanivuruga tu apaa
Usiseme hivyo ujue tutakufwa jaman bora asiipate tuPoleeee. Sasa hivi tumewapatia kakiume
Eeeh hamtaki sally afyatue. Wapi Dee father of the year hahaUsiseme hivyo ujue tutakufwa jaman bora asiipate tu