Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Eeeh hamtaki sally afyatue. Wapi Dee father of the year haha
nitarudi
Eeeh hamtaki sally afyatue. Wapi Dee father of the year haha
nitarudiHebu mniache mie.Halooooooo wapi KANA jaman, mwenzio nakumiss huku kama yale ya msomali na sally
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan ntafurahi àkibeba mimba nyingine hahahahahah dee ni mshika mapembe tuuuYani huyu Sally kapigwa full picture tena, keshatundikwa mimba ya pili. Mimi kaniudhi! Atazalishwa kama paka shauri yake!
Hajafanya kitu kwani kuna kosa mtu kukutana na baba hudda wakeHuyu Sally jaman ni nini hiki kakifanya
Hahahahaha jiandae kulea mimba ingine hahahaha chezea msomali weyeeHebu mniache mie.
Lara 1 ndo ashaamua niishi kwa masimango. Acha nipite kimya kimya!
- KANA -
Hahahahaha jiandae kulea mimba ingine hahahaha chezea msomali weyee
[HASHTAG]#BABA[/HASHTAG] HUDDA
Dont be sad msomali wangu,pengine leo inaweza kuwa zamu yakoHebu mniache mie.
Lara 1 ndo ashaamua niishi kwa masimango. Acha nipite kimya kimya!
- KANA -
NimekumissHebu mniache mie.
Lara 1 ndo ashaamua niishi kwa masimango. Acha nipite kimya kimya!
- KANA -
Eeeh hamtaki sally afyatue. Wapi Dee father of the year haha
Haha huyo ndo msomali a.k.a baba Hudda, a.k.a baba kijachoAlafu wewe na huyo bazazi msomali wako,,,
Haha huyo ndo msomali a.k.a baba Hudda, a.k.a baba kijacho
Aaah sisi hatukujua kama mna mimba bana, mbona tungerudi fasta. Afu kosa lishatokea, he is back for his darlin daughterNakumindi kinoma noma bibie unanitia hasira tuu. Mnakimbia mimba mnataka mtoto.
Aaah sisi hatukujua kama mna mimba bana, mbona tungerudi fasta. Afu kosa lishatokea, he is back for his darlin daughter
Haha hivi unajua maumivu atakayokuwa nayo Dee? ,Weeee si unambegu zaaa sisi tutaflashi na kukulelea watoto wako,bila "stateless" itakuhusu safari hii
Haha hivi unajua maumivu atakayokuwa nayo Dee? ,