Freddy!
Nikiwa china na Anna, mambo yalikuwa hot sanaa. Maana kwanza yule boya Troy nilimuona kabisaaa anamtaka Anna, i am a man, he is a man so nikauona uchu wake wa fisi waziwazi japo kajivisha ngozi ya kondoo. Na wasiwasi wangu ni kuwa anataka kumtumia Anna kama bait baada ya mimi kumla Zai. Sasa na mimi i was not gonna let him win by any means.
Japo bado huyu demu alinitibuaaa na mambo yake ila wazo la kuwa Troy huku china atatumia huo mwanya kumaliza yote likanifanya nije tu huku bila mpango wala nini. Nilikurupuka tu kusema kweli. Uzuri mi nachukua Visa ya mwaka. Basi tumefika huku nikampeleka kweny hizo nguo, na nini, ila jioni namla kwa raha zangu sina stress.
Sasa Anna bado kuku wa kienyeji sanaa, maybe cause her parents died early, ila bata za dar kidogo kazimasta ila za over seas bado sanaaaa. Yani kuna mademu nimewahi kutoka nao wakishuaaa wakishua kweliii, kama hivi mmekuja Ghuanzhou anakutaji club za Taiwan na Hongkong anakwambia Ghuanzhou hakuna club za maana za yeye kujiachia. Lazima chupi ikubaneee. Hapo hajaagiza shots za kichina zile za $100 kwa shot, kuna wanawake wanakula bataa acheni kabisaa. But that is all there is to life, usipokula bata leo utakula kaburini.
Watu wanashangaa mbona Freddy huoi, Freddy lifeyst sanaa, unakula sanaa maisha, wenzio wanaoa na kuzaa. Jamaniii sio mashindano yale. It is all about getting all you ever wanted in life. Unaoa leo kesho mke umemchokaaa unaanza kuishi a lie kama K and you lie to your self that is love. Mi K alivokuwa anajitia anampenda Marriane that was a lie. If a man loves 2 women, he really loves the second because if he really loved the first he wouldnt have noticed the second. Na mimi hii ndo falsa yangu siku zote, niki mnotice tu mwanamke mwingine najua yule wa kwanza kishanukaa. Kama hakijanuka why namnotice huyu mpyaaa. Hamna kuteleza wala nini fact is there is no love anymore.
Ndo maana i dont give promises to anybody, not even Anna. Sababu i know i would not keep that. At least i am not a lier. Wanawake wanaweza kunituhumu mambo mengi sanaa ila lies is not one of them. Nikisema nitakufanyia kitu nakufanyia, nikisema sina uhakika sina uhakika, nikisema sifanyi basi sifanyii. I am always honest in almost everything.
I saw my pops before he died, he was full of regrets so many regrets. Alitumia mda mwingi sanaa kusaka pesaaa na kutengeneza maisha until he forgot about living at all. Na alioa na kuzaa mdogo and he grew tired of mom, sema ndo akawa anajitoa sadaka vile he has already made a mistake, and i was a result of the mistake. I could see him fantasizing, wishing he had taken a different path. Pops was working in industries, sasa he hated what he was doing, ila hakuwa na option manake ana mke na mtoto anafanyaje sasa, inabidi ndo ajitoe sadaka kiwandani kila siku to make ends meet.
Basi ananimbia i wished i could do this, do that, go here, go there, but he couldnt do shit mpaka kaja kuugua Tb sababu ya vumbi la viwandani, tumemuuguza sanaa, anakaribia kufa still fantasizing, i wanna go to watch the big ball, London, World Cup, na masehemu kibao. He didnt go anywhere, he didnt watch any ball, and sadly for him Time was already over. All he had left were regrets and wishes. Not such a good way to spend your youth. Mechi alizoiona ni za simba na yanga basiii.
Kabla siku moja hajafa, alipata nafuu sanaa and like alikuwa ananiaga he told me, come here boy! Sasa ukimsogelea lazima uvae mask si tb tena ileee. Basi nikachukua mask nikaenda kumsikiliza. "Boy you should grow up and become somebody, you should go places, you should see the world, you should live boy while you still can. You should enjoy yourself to the fullest, do what you love to make money, go out with all the women you wish, and drink your life away.
Dont get trapped by dogma boy, dont get trapped by life. Refuse to be hold down by life, one minute you see a girl you are not so sure you like, the next thing you have it going and before you know it you are a dad and full of responsibilities, sitting here dieying asking myself was it worth it? The answer is NO it isnt worth anything just my stupid self. Dont be like pops and get your self a life, live and not survive.
Basi haya maneno niliyashikaa kama dini. Wanawake nikawa nawaona kama kitanzi kikikukaba lazima ufe ndo maana nikajifunza kuwa control kabla hawajani control. Baada ya mzee kutangulia mbele za haki nikaenda London kwa dada ake nikajua kweli tulikuwa tuna survive, nikajua what is living and having surplus, nikajua kweli mzee alitangulia kabla hajafaidi. Nikasema mimi sitokaa kuja kuishi vile.
Na kweli nime hustle, maana baada ya shule Aunty aligoma nisirudi bongo, nikafanya kazi nje, nika save, kiukweli nje ni kwenda kutumiaaa tu, fursa za hela zipo Bongo, basi nikarudi nikatusuaaa. Ila ndo nishakuwa lifeyst tayari, nakula maishaa sijibani maana udogoni sikula kabisaaa. Nikawa nafidia.
Wanawake wengi wamejaribu kunizalia ila wameshindwaa, maana mi mjanjaa sanaa, kwanza mpaka nikanyagie ringi kwa demu sio rahisi at least tuwe na mahusiano. Kwa Anna tu siku ile nilikanyagia kimakosa, na nikamuwekea pills after kwenye juice kuhakikisha no good news comming anytime soon. Na baada ya kumzoea nikawa najaua kalenda yake inavoeenda, sichezi kwenye risk kabisaa kasoro ile siku alionifumaniaa.
Yaani kiukweli sikuwa na nia ya kumfanyia vile, ila yule demu nilimlaga zamani sanaa, sasa she kept in touch alishaolewa huko marekani, ila ananisifia hatarii kwamba bado hajaona kama mimi, kazunguka dunia nzima. Ananiita marekani nikamle siendiii. Sasa ndo akanitania nikija bongo will you do me, nikamjibu yes nikajua haji, si akaja na mimi i am a man of my word, nikaenda kutimiza kauli yangu. Kama mkosi anna na zai wakawa pale mda ule.
Sikumwambia kitu cause kwanza mwenyewe nilistukaaa, pili i didnt promise her she will be my only woman, au tulikuwa na agano au vipi, sasa kwanini aumie, kunikomoa angeeda kulala na mwanaume mwingine heheeeeee, lucky for me hakuwaza hivooo. Ila akawa kahuzunika sanaa. Nilimuona kwenye sendoff kafifia kwa stress hata nuru hanaaa, and the i knew she couldnt handle that.
Nikaenda kwake, sikuwa na lengo la ku appologise, appologise for what sasa maana ningeanzia wapi? Sorry for what? Cheatting on her or that she caught me? Aaaaaaaahhhhh! Honesty is my thing, nimeenda pale nimefanya siasa za hatariii, kufosisha kwake, maana namjua yule ananipenda sanaa, asingeweza kunitoa mdimaaa. And i was honesty anipende hivo hivo na ufirauni wangu. Na nilikanyagia ringi afu ilikuwa danger date. Maana akiniambia tu niko mwezini na mark tarehe nakuwa nafatilia calendar, siku akitaka kunipa yeye nachunguza calendar kwanza isijekuwa anataka kujinasisha, nikiona siku nzuri ndo nakubali. Na hana hakuwahi kunitegea ndo maana nikamuamini. Na siku hio ya danger tuliobanjuka asubuhi akanituma pills after, ndo nikajua huyu demu anajielewa.
Kati hapo alinitibuaa, but anyway tuko China wacha tule maishaa. Kama kawaida yangu napenda kuwapa wanawake best times ever za maisha yao, wakiwa na mimi ili wajue kweli maisha ndo niliowapa mimi. So kama kawaida najua ni kuku wa kienyeji. Nikaanza kumpeleka downtown Guanzhou kwenye club za maana, aone night life kwa level za dunia ni nini sio Maisha basement na vi lounge vya bongo unaona umemaliza kila kitu, maisha umeyapatiaa hatari, level 8, Akemi, High spirit lounge unaona kama uko ulaya. Ni kamuoneshaaa what is life and what is night life. Alidataaaaa. Namuonjesha shots most popular and expensive in the world standards sio kibongo bongo Moet tu inawajambisha mpaka mipichaa kibao ya Moet. Wabongo siwatukani ila night life bado sanaa, mtu anafika bar anaagiza Shots? Hahaaaa! Shots zile ni kama umekunywaa sanaa, after a night of drinking and partying ukiona unaelemewa ndo unajishtua na shits 2 au 3 ili uweze kuendelea kugida maji ya dhahabu kama inaku boost na kukurudisha level.
Anna ndo akawa anatoa tu macho, yuko na papito Fredinyo mzee wa night life. Ana woga hangover sijui nini, wabahatishaji wa kula bata utawajua tu, what hangover? Namwambia kunywa hiki na hiki hupati hangover yoyote, nae anakubali.Na kweli kesho anaamka kama mpya kabisaa. Na pombe mwenzie ngono, mkishapiga stimu za kutoshaaa mkifika room sasa mambo yanakuwaje level. Aibu zote kwishaaa.
Demu anaomba kabisaa nifanyaie hivii, na hivii na mi ndo ugonjwa wanguuuu, mwana ke aniombe nimfanyie kituu kunako 6 by 6 aaah napata mshawasha sanaa. Au pombe zile ana respond genuinee kabisaa tofauti akiwa sobber mda mwingine wanakuwa wanachakachua. Anaweza jiliza ukajua kafika kumbe hamna kituuuu. Empty set. Ila kama Anna akinywa pombe zinakimbilia chini, basi anakuwa nyege hatariii, ndo maana nikawa sitaki aje na Troy maana sina ubakia kama ni akiwa na mimi tu ndo anaiachia uwanjaaa nijisevie au kila mtu. And i was not gonna take that risk.
Siku nikamuita Troy kwenye bata letu refuuu, kumuonesha tu kwangu wewe mtoto mdogo tena kasuke vuzi hizo zikue ndo uje ugombanie na mimi demu, Alienjoy ila cha moto alikipataa, maana kwanza alikuta na Anna tushaanza kunywa kitamboo, afu Anna pombe haziweziii, nyege zimemshika hatariii, full kunikumbatiaa, kunipapasa, afu yeye yuko alone. Alikomaa. Nikaona hajakoma vizuriii, Na yeye badala ajikaze anatuangaliaaa like he cant help himself, badala hata azuge kushika simu yake anafaidi show.
Sasa mimi na Anna tuna mambo yetu machafu machafu tunayajua wenyewe. Kavaa kimini ananipapsa na miguu, tumekaa benet kwenye meza, kalewa hatari, akanihamasisha, akachukua mkono wangu akauweka mapajani kwake, ananiangalia usoni, nikasema hanijui huyu. Nikaanza kupiga gitaaa, nikaona haitoshi nikampelekea finger kwa bibi, Akastukaaa anatoa kilio cha nyege haaaaaaaa! Basi Troy akaona kama namyanyasa na m disrespect hatariii, kumbe hajajua tu wanawake hawa wanapenda mambo machafuuu kama nini low key, hawakwambii ila ikiwafanyia mambo ya gomoroha kama haya ndo wanakuona wewe kidumeee kweli. Nikamwambia Troy tunakuja sasa hivi. Nikamchukua chini ya hio club kuna hotel. Nikachukua chumbaa nikampiga cha fasta fastaaa cha nguo hivo hivo. Tukarudi kwa Troy, nikampa shots 2 akastukaa sasa akakaa vizuriii. Troy hakuamini aliona nafaidi mnyamweziii. Kesho siku nzima ananitumia sms kunisalimu si ili nimualike, na mimi nikamzimaaa.
Siku ya kurudi bongo nika mu upgrade yule bibie kwenye business class, sipendi ku fly economy kabisaaa. Basi kadataaa, kadataaa, hata chakula cha kwenye ndege anapokea yeye kwanza ndo aniandalie, jamani mwanaume uf you can afford you wont need an empire to be a king, kama mfalme ananiulizaa nahitaji nini. Simu napokelwa nawekewa sikioni Mfalme Freddy. Hahaaaaa!
Tumetua bongo anajua anakuja kwangu, nikamwambia itabidi uende kwako, Kwangu kuna ugeniii, my familly is comming, my mom, my son, ...... hata sikumalizia anaanza kuuliza "Why didnt you tell me you have a family?" Na mimi ujinga sipendagi nikamuuliza was i supposed to tell you? When did i tell you i dont have a family? Akaona stress tupu, akaita tax huyooo akaondokaaa.
ITAENDELEA KESHO SAA 5 ASUBUHI