Weekend Story! DESPERATE!

Weekend Story! DESPERATE!

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mbona mariane!!
Asitutimue jamani maana tunavuta muda kusubiri episode nyingine, lasivyo tasinzia mie. Acha tujambe tu, tutafanyaje na ndio ashatukamata.


Atuvumilie tu teh
Mwanaume laghai yule kama politician vile

Hahah, kwa maneno tu, mna vikombe kadhaa wa kadhaa. [emoji2] [emoji28]
 
Lara leo kidogo nifukuzwe kazi [emoji17][emoji17]yaan boss ananiita wala sina habari nae kbc [emoji134]cjui ungekubali kunifagaa!??
 
Freddy nyokolost, yaani utamchukia badae utampenda bureee...
 
AF FREDDY HAZAI AU?
manake simsomi!
ILA ehehheheheheh HATA KAMA NI MIMI!
freddy ni box of all prizes bana!
 
ndo najiuliza !
ananipa mawazuuuuuu!
psyuuuuu ila linat...................mbaaaaaaaaaaaaa woooih!
Maybe na aina ya wanawake anaokuwa nao, ni wale wanawake wa mujini ambapo ukizaa umevuruga so inabidi wawe makini.
 
Hapo ndio atajua shetani yupo na anatenda kazi, mwanzo si aliamini Mungu yupo alipoambiwa alale apumzike!! Now ni wakati wa bwana mdogo kujidhihirisha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom