Marriane!
Baada ya K kunikomoa na kunifilisi fiiiiiiiiiiiiii nikawa sina hamu kabisaa. Kikubwa kilichoniangusha ni just that i was sloppy. I got sloppy in my operations. Nawasimulia mpaka watoto wadogo kina Anna na Z what was i thinking? Ukiacha hilo la kuwasimulia pia nikawa nijiachiaaa sijibanii kabisaa, mpaka kuwa na nyumba ya kuzinia that was sloppy.
Kitendo cha K kunihujumu kiuchumi kwa kweli kilinisikitisha sanaaa. Ila pia kilinizundua kuwa Nimejibweteka sanaaa. Mtegemea cha ndugu hufa masikini ila mtegemea cha bwana Huzeeka na michupi na nguo tu. Imagine after 8 years of marriage 2 kids, bila haya mwanaume ananimbia ulikjua na fuko la chupiii tu na nguo na ndio haki yako, kama umechoka beba uondoke jamaniiii. Khaaaaaaaaaa. Kwa hio mimi miaka 8 nacheza mdako humu ndani. Ningekuwa nimeajiriwa si ningenikuwa na pension langu la maana. Nikaona kweli kujifanya hutafuti kazi una mume, sijui huteseki unalelewa ni ufala ni camaflouge tupu yaani ni ubwege wa mwisho kusema tuna maghorofa, tuna magari, hio TUNA huo wingi upo kichwani mwako, kumbe mwenzio anahesabu NINA. Mkorofishe kidogo mwanaume wa kibongo uone anavokutoa mpera mpera na chupi yako uliovaa tu. Hahahaaaa! Nimekomaaaa. Ama kweli KUZAA SIO KAZI, nikatafute kazi nifanye initoe kimaisha.
Ningekuwa na investment zangu si ningetunaa kama chatuuu, ningeleta ligi la mwakaaa. Sasa 100 sina nafanyaje zaidi ya kunyoosha mikono juu ku sarendaaa. Nishapenywa tayariiii. Not that i repented i was just buying time to re build myself. Jinsi tu alivonitenda it gave me a snick peak of how my future was darker. Nikamuomba msamaha wa uwongo. Kwenye couselling i spend hours telling lies and looking full of remorse, najifanya wa majutooo hatari.
Kiukwelinakumeea tu ndugu msomaji what made me cheat is i was not happy sexually in my marriage. I didnt know at first but now i do. Yaani bora usizijue haki zako kuliko uzijua afu ujue zimenyimwaa unadataaa. Sasa K bado ilimuumiza sanaa why did i cheat, so he figured out i was never gonna tell him, ndo maana akataka marriage councelling ili maybe ningemwambia yule mama. Thubutuuuuuuuu. Huyo Mama mwenyewe mume wake wameachana atanisaidia nini kwa mfanooo?
Kujiharakishia msamaha wa raisi, siku hio nikamkumbusha K mambo mazuri mazuri how we met, na jinsi gani i love him, na mambo ya kumtia tu nyege mjini hapa, kaingia kingi tukapiga mechi, nikajua hapa ugomvi umeishaa kabisaa. Na kweli ukaishaa. Yaani wanavosema uki cheat kwa mume, life will never be the same ni kweli kabisaaa kwa sisi ambao tuliokuwa na viherehere vya kuolewa kabla hatujasuuza marungu ya kutosha mjini hapa.
To be precise i found his game has hit a new low. Basi na mimi nikawa najibana niendane na kasi ya mechi yake ya kombe la mbuzi, mechi za mchanganii, sikutaka kuleta ufundi wa Bundensliga maana angejua tu ni spiral over za cheating. Nikawa na hamu nilete mambo ya Coppa Italia lakini sasa ingeishia vibaya. Kiukweli mambo ya Seria A niliyamisi sanaaa, mnoo mnooo. And then is when i realised i will never stop cheatting.
Humphrey bwana alinipa altimatum kwamba either yeye au K, ofcourse i chose K, only reaason is my investments were with K and they come with a package. Kinakuja kifurushi K na vitega uchumi, sasa nisingeweza kupata vitega uchumi bila K. Na alishindwa kuelewa mimi ni mama tena na watoto wa 2, sasa siwezi kuendeshwa na k, lazima niwaze future ya wanangu na what is best for the. Sawa Humphrey angewapenda kama wake, ila faact will always remain SIO WAKE, na watoto nao wangekomaa na baba yao, na he means the world to them. Mambo yangekuwa magumu tu. Nikawa sina jinsi.
Nikamwambia hajuja kama ni wewe, tuendelee kimya kimya, akagomaaa, madai he wants me all for himself. Mmmmhhhh! Nikamkatalia. Sasa baada ya kumkatalia akawa yupo bado anafanya kazi kwa K kampuni ingine, na mimi ni mfanyakazi wa K vile vile kampuni yake ingine. Akiniona na K na wanetu roho inamchomokaa, hata mimi i was uncomfortable ila sasa nifanyaje? Kama siku ya birthday ya K, akawa yuko kampuni ya Humphrey nikaenda na watoto mchana na keki vinywaji just my normal motherly dutiesss na wife duties, tukamuimbiaaa pale, tukalaaaa. Aliumiaa sanaaa. Akanitumia sms "I will always love you". Nikaidelete fastaaa.
Basi kesho hakwenda kazini, na kesho kutwa, mpaka leo hii kaacha kazi kimya kimya. K hajui, analalamika kweli mambo yake mengi yanakwama Humphrey hayupo. Kamtafuta mpaka kachoka, kupenda kumekula kwake, hata Dar kaiona chungu sijui alienda wapi masikini. Msione kauzu najilaumu kishkaji kwamba nilimuharibia future yake yule kijana basi tu. Daaah!
Baada ya Humphrey kupotea, pale kazini nikawa napaona kama kuna mzimu wake sijui, yaani pakabadilika kabisaaaa. Nahisi namuona muona, na nafsi kunisuta ikawa imezidiii. Nikahisi au K kamuua nini, maana K simuamini kabisaa. Nikaenda kwako kumuulizia tu kama yupo hai au vipi, wakanitimua, kumbe aliwaambia kila kitu, daaah. Nikawa sijui kama kafa au yupo hai sijui. Ila nikawa sitaki kabisaa kwenda ofisini. Kuna siku akanitumia sms "Usinitafute matatizo ulionisababishia yanatosha" Nikajua kumbe yupo hai. Nikaacha kabisaa kumsaka.
Nikachukua vyeti vyangu na uzee wangu nikaenda Bank, kutafuta kazi. Kazi ya mume sio kazi. Na uzee huu, o experience, nani angeniajiri. Nikawa nimeongea na shosti wangu wa Bank moja akaniambia njoo uongee na meneja. Nikaenda pale, Meneja chotara chotara, mtoto mdogoooo, mbichii kabisaa, tena ana pete kaoa, nikasema watu wanafaidi. Nikamsimulia tu jinsi nilivohujumiwa kiuchumi, na nina shida ya kazi, hata kufagia nafagiaaa. Nikamuachia vyeti, nikarudi home. Niko njiani napigiwa kesho nikachukue form kazi nimepata. Kila mtu Mariane umetoa uchi uchi wapi bahati yangu tu.
Kazini nimeajiriwa relationship manager, nilete wateja wale wakubwa waje wakope. Wateja naowajua ni K na Freddy basi. Hahahaaaa! Ila hao wakopaji wazuri sana kwa namna yao. Napewa target sijui nini. Nikawa sijamwambia K kama kazi kwake nimeacha na nimepata ingine. Akajua nimechoka tu nitaendelea. Nilivokuja kumwambia akaweka ngumu, na mimi nikamchana natafuta vyangu, ulichonifanya juzi kimenizindua usingizini. Na fight mimi kama mimi. Sababu ya ufirauni alionifanyia akakubali niende kwenye hio kazi na cause ilikuwa bank akajua nimepata kihaki.
Nimeenda kazini mtu mzima mimi, na hivi sikuwahi kuajiriwa wee balaaa. Ukapita mwezi nachoka kuamka asubuhi ila nakomaaa. Mwezi umeisha sijapata hata mteja, K kagoma kukopa, na Freddy kakatazwa na K. Nikawa chupi inanibana. K haishi kuja kuja ofisini ili watu wajue mimi ni mkewe sijui alikuwa ananikera hatariii. Swala la mteja lina ni stress namsimulia K, ananishushua bora mke wangu ukose wateja wakufukuzeee kazi urudi kunisimamia business yangu. Hahahaaaaaaa. What a supporting husband.
Siku hio meneja kaniita, akaniuliza ushapata mteja nikasema bado, kwa wogaaa maana yeye ndo alinifanyia mpango niingie pale, akaniambia chukua huyu hapa mteja. Mteja mwenyewe Mchina, anafungu account na million 300. Anasema na ana zingine atakuwa analeta kila wiki, daaah. Nikamshukuru hatari. Wiki hio hio akanipa wengine wa 3. Nika zidi targe maana target ilikuwa wa 2. Nadi ya miezi 2 nikawa confirmed maana wateja 8 wa uhakika. Yule kaka ana roho nzuri nyie acheniii. Basi kumwambia K akanza kuona nahujumu biashara zake, na simsapoti, kaniajiri miaka 8 sijafanya la maana, bank kuwa confirmed 2 month sio kitu cha mchezo mchezooo. Weee. Ananichimba wateja unapata wapi? Namwambia natafuta.
Basi sijui roho kunisuta au wanawake tulivoumbwa kupewa feva kidogoo na meneja basi sijiaminii, yaani najishuku maybe i am not doing enough for him, or i am not being nice enough kwake. Ama kweli mwanamke mtendee mema atavua chupi mwenyewe mi nawaambia kaka zangu wasomaji. Nikimuona namchekea mpaka basi. Mara nimkorogee chai bila kuniomba, na kitafunwa juu yangu kila siku. Kma tumefika wote nampokea laptop. Yaani nikawa secretary wa kujipaaa. Kaka wa watu hana neno. Low key nilikuwa nishamtamaniii yuel kaka mwenzenu. Na hivi nishaanza kuzeeka Anti aging ilikuwa inahitajika.
Sasa yule boss akawa anachelewa kutoka ofisini mda mwingine saa 3 bado yupo tunamuacha. Nikajua kazi, baadae nikahisi ndoa inajamba huko, so ana buy time kushinda pale. Nikaanza kumchimba mbona unachelewa kuondoka, akaniambia tu kazi nyingi. Meneja ana kazi gani ya kumuweka mpaka saa 4. Baadae akaanza kuniita ananisimulia kuniomba ushauri kwamba yeye mama yake anamuheshimu sanaa, sanaa, na alimuomba amtafutie mke. Ikabidi akubali kwa navomuheshimu na kumpenda mzazi wake. Maana yeye hana baba na hakuta kumdisapoint mama, na aliona akioa mke anaemtaka mama yake itakuwa hamna mivutano ya mkwe na mwali. Mama yake akamletea mke toka Tanga, binti mdogooo kamaliza fomr 4 amefeli. Nae shombe shombe kama yeye, kashika dini kama yeye.
Sasa tatizo binti hana akili kabisaa, ana wivuuu, ana mcontrol kila kitu chao anamwambia mama yake na wakwe zake, yani hana rahaa kabisaa wala haifurahii hio ndoa kabisaaa. Binti uelewa wake mdogo na mswahili hatariii. Vyakula ndani anagawa gawa kwa majiraniii. Nguoa anafujaaa. Kamfungulia miradi si chini ya 10 yote imemshinda kusimamia anaifujaaa inakufa. Anachopenda huyo binti ni kuzurura, umbeaa, majunguuu na uswahili mwingine. Kila siku ndugu zake wana shida. Sasa yuko frustrated, anawaza mwanae ataishije ikiwa hayupo siku. Mwanamke hopeless kabisaaa.
Basi mi ndo namshauri mpeleke shule akasomee Certificate mentality itabadilika kidogo. Na kama swala la kupenda umbea mfungulie saluni, wambea wenzie wakjia anaingiza hesabu na atasimamia kwa moyo si kujiwe cha umbeaaa tenaaa. Akishinda saluni jioni atakuwa kachoka mda wa kugombana hautokuwepo. Basi akawa kafanya hivo kweli mambo yakawa atleast.
Basi tukawaje ma best na meneja, hatari, mi napewa wateja tu. Kuna mtu akacha kazi wateja wake akanipa mimi wale best. Nikawa career stable. Ule ukaribu na meneja, na ukarimu wangu na nini akawa kanielewa na akaanza kama anashindwa wapi aanzie, ila mzigo anautaka leo keshooo. Na mimi pia namtamani sio kidogo ila nikawa sina uhakika navowaza ndivooo? Basi ananitumia sms usiku kabisa kila mtu yupo kwenye machungu ya ndoa yake.
Siku ilikuwa birthday ya mwanagu Lorraine nikawa nampelekea Keki, na vitu vya party shule, akanisindikiza. Basi his company pale ilinitia nyege hatari na hivi huku naendeleza kombe la mbuziii ligi za mchangani daaah basi. Siku akajikaza akanitumia sms "Nakupenda sana sijui kwanini, japo ni dhambi wewe una mume" Nikaona mambo ooyaaaa oyaaaa yamejiseti level. Nikamjibu na mimi nakupenda na wewe sina una mke" Hakujibu. Mmmh! Nikasema huyu simuachiii. Nikamuhadaaa "Lets do what our hearts wants, we live only once, hatojua mtu, we mtu mzima na mimi mtu mzima tuyajenge. Basi akwa anasita sita si mzinzi wa mara ya kwanza hajiamini kabisaa katika uzinifuuu wake.
Aliponikosha ikaja semina ya bodi ya CPA, na mi mwenyewe CPA (T) na yeye CPA(T) akanilipia ada ya suhiriki wa semina, nikasema oyaaa oyaaaa. Mi nikachukua hotel USA river sipendagi majungu maana mjini kulijaa hatariiii semina ya CPA. Yeye akachukua mjini. Mda wa kutoka nikamwambia nisindikize USA urudi, moyoni nawaza kama utakuwa na jeuri hio. Kaingia chumbani, mi navua nguoo mbele yake, huyu sikuwazaa sanaa maana nikajua kama malapa hata mkewe nyumbani ana milapa yake ya kutoshaaa kabisaaa, kama michirizi tena ngozi nyeupe sipati pichaaa.
Nimerudi na kanga moja eti ananiaga naondoka, uende wapi mwarabu koko tuliaaa hapa nikupe mambo. Nikaanza kumvua shati, mapenzi ya kiutu uzima lazima uwe shababiiii na jike shupa kweli kweli. Mwanaume mwanaume tu mwenyewe kaingia kwnye mechi mzimaaa. Aaaaah! Tuukafanya yetu kwa raha zetu. Mtoto mtundu hatariii na mama kubwa nakomaakwenda kimwendo kasiiii. Hoiiiiii, hoiiii.
Tukaoga tukajilazaa, mtoto nimemdatishaaa, si kazoea mke alimuoa bikra yule hajui mambo, na humphrey alipa darasa la kutosha. Uzuri vijana ukiwaelekeza hutumii nguvu sana ni kama kumsukuma mlevi. Baada ya kupumzika nikamwambia lets do marriage honors kulinda ndoa zetu, mpigie mke, na mimi nampigia mme. Be extra nice tonight kama kuna kitu ulimkatalia mkubalie kumfuta kabbisaa fikra unauza mechi leo.
Nimempigia K, akaniwahi nilikuwa nangoja usipige nihalalishe umeuza mechi, kwanza umelala hoteli gani? Nikamdanganya ndoro, mjini kumejaa sanaa. Aaaahah! Nikawaulizia watoto nikaongea nao, nikamwambia nakupenda sanaa mmme wangu. Mi na K hatuna mengi ya kuongea siku hizi ndoa yenyewe ingekuwa mtoto anakaribia kuota nywele za chini, ishajichokeaaa. Feisal mwarabu koko basi anaongea na mkewe kwa upendo hatariii, anamwambia ile laki 5 ulioniomba nitakutumia kesho, nakupenda mke wangu za kutosha. Wanawake na sisi mda mwingine tunakuwa aive we hela ulinyimwa ghafla unapewa hujiongeziii kama unalipwa fidia ya kitu? Hahaaaaaa! Tumemaliza kama kawaidaaa tuaendeleza mechi kali kati ya mwarabu wa kariakoo na mama 2. Siku zote za semina nimelala na Feisal na kuuza mechi siku zoteeee
Siku hio tumerudi na Dar express, wote hatukuja kupokelwa nikamwambia tuingie MIC hotel tupeane one for the road. Kama kawaida tukafanya cha fasta fasta. Naingia kwangu najua K hakumbuki wala hajui narudi lini, namkuta chumbani uchiii. Tobaaaaaaaaa. Anadai nilikuwa nimekumissiii naona hufikiiii. Siku hizi sicheat so hamu inanishika vibaya. Kaniwahi ananidaka juu juu anataka mzigooo hapo hapo, na mzigo nimetoka kutoa MIC hotel mda si mda. Tobaaaaaaaa. Nikamwambia naharishaaa. yuko harisha ukimaliza njoo utete ndoa hapa, nilikuoa uwe dada angu nina dada wa 4 usiniletee ujinga. Akili ikawa inanizunguka hatari. Kumwambia niko mwezini haiwezekani cause anajua nilitoka mwezini ndo nikasafiri mume yule. Basi nika act nafurahaa ajabu, nikamwambia ngoja nioge fastaaa nikupe mambo hujawahi pewaaa.
Niakenda jikoni nikachukua ndimu, si inarudishaa ile kama umeliwaaa. Nikakamulia ndimu, na kungoja ifanye kazi. niliificha kwenye nyonyo hakuona naingia nayo chooni, mda huo akajua naharisha, basi napiga sssssssssssssss, anajua tumbo la kuhara kumbe uhuni tu mjini. Nikavua na kuoga kabisaaa. Na mashaka kam ndimu imerudishaa au ndo basi na hivi kibamia angejua kabisaaaa nimetoka kuliwa maana mwarabu ana jimudu.
Basi namfata nambusu busu kwa nje kama mke wkli kwa ndnai shetani lenye mapembe. Akaniambia lala huko usije kuharisha kwenye shuka bure, haaaahaaaaaaa, nilitaka nijue kama hujauza mechi, ungekataa kunip ningekukula kuhakikisha umeliwa huko nje, ila cause upo kwenye mood itakuwa una kikoko na mechi hujauzaa. Lala upunguze uchovu. Nikaamini Mungu yupo kwa kweli.
Siku moja nimeenda kufanya check upa ya watoto nikasema nifanye na mimi, Dr ananimbia una mimba ya miezi 2. Tobaaaaaaaaaaaaa! Tobaaaaaaaaaaa! Natubuuuuuuuu mimi kwa mwendo kasi. Kivipiiiiiiii? Nina vijiti vya mika mi 5 nimeongeza mwaka jana tu? Akasema inatokeaga, na ni hatari sanaa.Nikamwambia nitarudi acha kwanza niende. Chupi lilinibanaaa.
Nawaza maybe Mungu mkubwa it is the son K always wanted, mara atoke Mwarabu? OHOOOOOOOOO! Chupi lilinibanaaa. Na Dr ni Dr wa familia lazima mwambie K, na nikisema nitoe K atajua, maana atanipeleka kwa Dr huyo huyo kuchekiwa. Chupi sio tu ilinibana ikaanza kunikata mapajaaa. Nilichokaaaaaaaaaaa.
ITAENDELEA SAA 4 NA NUSU USIKU.