Yaani nimecheka!! Uko page gani kwani!!Dah maskini Anna wawatu nukute uncle frede safari za arusha ilikua zuga tu make wanaume kama ulivosema chupi zao zimechanikaaaaa
Shenzi kweli, ana majibu kama mkemia mkuu.Haha mfalme papito Fredinyo
Teh naanza kutabiri. Freddy hana mke wala nini, kuna surprise anamuandalia Anna hahaShenzi kweli, ana majibu kama mkemia mkuu.
Haha nilijua tu utanipa kibomu. Basi mama, nisije sema umebadili gia angani bureHahaaaaa! Mshaanza fujo zenu, baadae ooh umetubadilishia gia angani.
Nyie tulieni acheni woga simtakatwa hata kidevuni![]()
![]()
lara tuombe msamaha aisee
Kwakweli unasoma tu maana there is no way out, ila ukikutana na vitu kama hivi aaaah roho kwatuuuu.
Kweli fredy konyoooo!!!
Haishi visa, anna nae yumo tu!!
Yaani nimecheka!! Uko page gani kwani!!