Weekend Story! DESPERATE!

Weekend Story! DESPERATE!

Lara 1 hii story yako imenukumbusha mbali sanaa, niliwahi kususiwa mwili ikanibidi niwe mende sio kwa raha zile... Ngoja kwanza nimtafute lool
 
Lara 1 hii story yako imenukumbusha mbali sanaa, niliwahi kususiwa mwili ikanibidi niwe mende sio kwa raha zile... Ngoja kwanza nimtafute lool

Kususa mwili ndo habari ya mjini
 
Lara1 yani ninavyomsoma anko Freddy nimemkumbuka ex wangu mmoja wa kikurya. Yani wakati wa game ni anaongea mwa mwi. Enzi hizo nilikuaga nikiwaza yale maneno nasisimka mwili mzima. Yani ni typr ya anko Freddy kabisa.
 
Damn!!! Uncle Freddy Anna thing is real nasty..
 
Uncle Freddy kapataje umaarufu sasa?
 
Kennedy! A.k.a K.

Kiukweli sikuwahi kuwaza kwamba mke wangu anaweza kuchepuka in cold blood, just like that akalala na mwanaume mwingine achia kumpangishia nyumba kabisaa, afu kijana mdogo. Mi sikuhisi chochote wala sikungamuaaa lolote, ama kweli mimi mume zobaaa, mpaka siku hio sina hli wala lile nikapokea sms kutoka kwa SNITCH.

Snitch miongoni mwetu sio mgeni kabisaa, alisha bumburua la Troy, akabumburua La kwangu na Saida msomali, akabumburua la Kapima, some some way huyu snitch hakosei, hatungiii wala haoteiii. Kutokana na sekesek aliloniletea nilimuwindaa sana huyu Snitch, namba nikai save kabisaaa, hapatikani mda wote hata umpigie mda gani namba haipatikani.

Siku hio ikaingi text, kusoma jina SNITCH nimelisave. Nikaifungua kwa wenge iliandikwa hivi, "Brother K stukaaa mkeo analiwaaa na dogo dogo, tena kampangishia nyumba kinondoni, mtaa wa shamba,ndipo wanapokutanaga. Mwanamke hakufai kabisaa yule. Thank me later your trully SNITCH.

Nilivomkabili Marriane i was hopung atakataa katu katu kwamba sio kweli na snitch some made a mistake, ila alikaa kimyaaaa, nikajua hapa tayari mali zangu zimeshaliwaaa. Nikajikuta napata hamu ya kujua nani ndo ananigongea mke, kiboya boya mjini, hajui kama mimi ndo Brother K.

Mariane kwanza kumnyoosha tu akawa anatakiwa kutoa ratiba kamili siku nzima atakuwa wapi na mda gani, na nikamtahadharisha ole wake niibuke hio sehemu asiwepo. Yakitokea mabadiliko in advance nijulishweee kwa kinaaa. Hakuwa mrahisi kukubali utumwa niliomuanzishia. Akaleta kibesi.

"Bwana usinibabaishe kama vipi sepaa tuachane, hati zote ninazo mimi! Utanifanya nini? Hahahaaa! Women can be predictable. Nikamuuliza una uhakika bado unazo?. Akastukaa akaenda kucheki alipozifichaa peupeeeee. Akanyweeaaaa kabisaaa. Nilizchukua siku ile ile nimepata habari za michepuko. Ananijia juu anataka kupigana, K siwezi kukubali jasho langu kupotea, ziko wapi hati zanguuu, tutafikishana pabayaaaa.

Nikamuuliza haki zipi kwa mfano? We si ulikuja na michupi tu humu na nguo za bei poa? Hio ndo haki yako na ukitaka hata sasa hivi beba haki yako ondoka nayo. Akastukaaaa Hajakubali kushindwa, naenda mahakamani kama Tinna kudai 50 kwa 50 hujaniweza chochote nakwambia mi sheria yako sifatiii, tuonane mahakamani.

Nikamwambia unafikiri mi Kapima? Hahaahaaa! Hata usinijaribuuu, huko makamani mpaka wakupe hio 50% si mpaka iwepo sasa watakupa 50% ya hewa? Tafakari kwa kinaaa mke wangu. All i am asking is a little discipline from you, basi. Ila kama hutaki dont ever think i dont have options.

Nakupendaa tu mke wangu ukiwa tayari kujirekebisha, na ku work on our marriage, ila ukiamua kuchimba pia poaaa tu, as long as sijakufukuza mi sina nomaa. I need you to stay if you want to stay. Kilikuwa kitimu timu. Akaenda bank akakuta nimemfutia access zote za account yangu hawezi toa hata 100. Akaja kama Cobra aliejeruhiwa, nnikamwambia bank tu, hata kwenye hati zangu zote nimeshakutoaaa, na hata leo nikipatwa na kitu mtu wa kupigiwa nishabadilisha jina lako.

Alilia usiku sio kidogo, sipendagi ujinga kabisaaa. Kesho akatuma ratiba yake ya siku nzima. Hahahaaa! Hapo sasa tunaenda sawa. Chezea kumfilisi akajifanya kajirekebisha haraka haraka asilimia mia 200, wanawake. Nikirudi jioni naikuta juice yangu, anajikosha hatariiii. Ananiulizaa "You cheated, i cheated we are now even" Kwa madai yake. Anajieleza it was a mistake, uzee ulinijia vibaya i am past it.

Nikamtega tu kama you are past it kama unavosemaaa basi niambie kwa mdomo wako dogo dogo nin nani? Kukiri kosa kunaonesha nia ya kubadilika. As long as nikimjua hutokuwa na urahisi wa kumkaribia au kuwasiliana nae. Akagoma kata kata kumtaja dogo aliekuwa anazini nae ni nani?

Nikamfata mkubwa SNITCH nae akagoma kuniambi dogo nin nani kwa ku sight kuwa, kama nimeweza kumsamehe mke wangu basi nimsamehe na doggo, kitu ambacho kisingewezekana, dogo kumpenya mke wangu ni sawa na kunipenya mimi mwenywe sasa namsamehe vipi mnadhani?

Nikalia marriage councelling tuwe tunaenda na mke wangu kupata ushauri nasahaaa, alinunaaa ila hana budi akiwa hana hataa 100 afanyaje zaidi ya kunitii mii mumewe wa ndoa? Siku hio kama masihara, akaniomba msamaha wa dhati kwamba kayajua makosa yake, na kajua mimi sio mtu wa mchezo mchezo na hatarudia upuuzi kama huo tenaaa, enough is enough yuko tayari kuanza upyaaa. Nikamsamehe na kumrudishia half privillages.

ITAENDELEA SAA 4 NS NUSU USIKU
 
Nimekuja mbiooooo!! Nikajua uncle Fredy kishachafua hali ya hewa kumbe huyu kibamia wa mwendokasi!!

Nilivyo na usingizi leo chaaaah!!
Lara anachonifanyia sio poa hata kidogo.
Teh ukajua kuna mtu "kashasusiwa mwili". Me nipo kodoooo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom