lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,190
- Thread starter
- #221
FREDDY!
Nikiwa Arusha nikawa namuhesabia siku Anna ambazo ataanza kusabahi. Msinione kauzu zaidi ya dagaa nina kila haki ya kuanza kusabahiwa na Anna. Kwanza she called the ,atch, ukiwa kama mwenyweji wa mpambano unatakiwa kumjulia hali mgeni wako kama kafikaaa alikoendaa baada kutoka kwako. Pia katika mechi nilimpotezaaa sasa, so kwa heshima ya kiligi kuu tu, anaefungwa ni wajibu wake kumjulia hali bingwa wa mchuano.
Yes I offered her money, i pay all my women all the time, it is nothing but a gesture of appreciation. Kanunua wembe kanyoa, kaoga, kajipaka lotion, vote. Hivo kihakikisha uwanja unaweza kutumika kwa mpambano kwa raha bila karaha yoyote sasa baadhi ya midume myezangu haina jema, inafurukutaaa, inatimbaaa uwanjaniiii, inatumiaa uwanjaaa itakavyo, afu intoka ki kingkong kula nishakula kwani utanifanya nini.
I am Not savage, nikilala na mwanamke ni ka enjoy napenda kumpa vizawadi zawadi anikumbukeee. Ajisikie uchi wake is worth something valuable, Na Anna i offered her money kwasabu, nili enjoy kuwa nae, na tukawa na quality time, sasa kuna uabya gani nikimpa a gift. Na yeye kukataa hio gift, ilikuwa rude, isitoshe no strings were attached. Na kwa nyie dada zangu mwanaume akikupa hela pokeaaa, hata siku moja usikatae hela ukadhani labda it will add more value to you, atakuona wa maana sanaa au vipi cha zaidi atakuona kitongaaa tu. Sema mi mstaarabu ila ningekuwa mezee wa kitonga, ningemganda Anna hatari si namkopaaa kila uchwao, mambo kitongaaa tu.
So my offer ya kumpa hela Anna wa genuine, sema alivokataa out of modesty sijui ushambaa nikawa sina jinsi, not that hio hela simpi ila nitamuwekea kama bonus kwenye mshahara wake . I lways pay my women either way. Na sababu ingine mwanamke usipomlipa chake mapemaaa, afu makazinguana anakuona anakudaiii, anaona utafikiri umeondoka na uchi wake, ukamuachia shimooo, yani they feel they owe you infinitily kisa tu papa. Sasa mi sitakagi shobo, nikila na ku cash, tukipotezeana mama si nishakupa chako lakiniii kwani tunadaiana.
Mtoto yule mtundu sanaa, ile mbinu yake ya maneno naijuaaa kama ni moja ya udhaifu wangu, i like a responsive woman kwenye majamboz, sasa she figured that out na kuitumia kama fimbo kutaka tutoke draw katika mechi. Kumkomoa nikaweka muziki, akapotezaa mbaya sanaa. Kati yake na Zai sijui sasa nani alimfunika nani kwa kweli. Kila mtu fundi kwa upande wake.
Nimekaa Arusha siku ikapita hakaja nitafuta, siku 2, mpaka 3, mpaka narudiii kitoto kimedindaa hatari. Na mimi out of protocal tu nikaamua simtafuti wala nini, nione tu mwisho wake utakuwaje. Nimerudi siku hio na uchovuu, na K hayupo tenaaa kwenye ghetto niko mwenyewee nikawa najiachia kwa chatiiii. Nikahisi niko bored. Sasa kumuanza yule mtoto naona aibu manake mzee mzima na vuzi zangu niliuchuna namuanzaje sasa. Kila nikikaa najiambi ahivi kwanini najibana, ngoja nimlete huyu mtoto niburudikeee.
Nikamuandikia sms, "I am back ofisini kunandaje?" Kuzuga tu, kiofisi zaidi. Akaniambia "Uncle Freddy pole na uchovuuu, karibu ripoti zote nimekutumia" Nikamchokoza "Njoo basi baby unifanyie massage, hujani miss siku zote hizi." Akasema nakujaaa. Kidogo nikaanza kujisikia nafuuu. Kweli akaja kufanya massage kama anaijua vile. Kafika nikamwambia vaa tutoke out kidogooo, kupungaa tu upepo.
Basi tukiwa out nikiwa najaribu kutafuta huyu binti kasoro yake nini? Kila mtu ana kasoro na kila mwanamke ana kasoro sasa nikawa nawaza kasoro ya Anna itakuwa nini bado siipati. Sasa tukiwa tupo tunakunywa akapita demu mmoja ana tako balaaa. Nikawa nimeshindwa kujizuiaaa nikageuka kumsindikizaaa, fahari ya macho haifilisi dukaaa. Kuwa na I phone 7 haimaanishi usi admire Samsung S7 ilioko display ya pembeni. Nashtuka kumbe Anna ananiangalia ikabidi sasa nijikausheee mzee mzima nimekutwa ready handed, nikajua nishaaribu. Nikajua tu lazima Anna atakuwa offended na kitendo nilichokifanya, nikawa nimejikaushaa tu, sasa nifanyaje na ndo nishaa angusha jicho kwenye msambwanda.
Anna akaniuliza nikutongozee yule demu? Daaah! Ilinistuaa ile kauli. Ila nikaitafakari nikaona yale madharauuu sasa, nikaamua nimkaange na mafuta yake mwenyewe, yeye si anajitia ana roho ngumu kama jiwe, nikajifanya kuwa amused, nikakubali "Kanitongozeee" Yeye aliongea vile mimi nikatae sasa mimi kumkomoa nikakubali nenda kanitongozeee. Akajitia bado shababi akainuka kumfata yule binti, sasa sijui alimwambia nini, binti akaandika namba kwenye karatasi, Anna akaileta. Kana roho ngumuuu kale katoto sijawahi kuonaaa. Na mimi nikaipokea na kuiweka kwenye koti langu. Nitamaliza kivyangu kwa mda wangu.
Mda wa kurudi nyumbani nikamrudisha kwake, akaniomba niingie nikagomaaa kabisaaa. Basi akashuka shingo upande unamuona kabisaa ana mawazo. Nikageuza gari yangu huyoooo.
Anna!
Kiukweli ushauri wa Z uliniponza, alinihadaa bwana show Freddy you are different, na mimi siku hio tunakunywa tena alinialika mwenyewe baada ya kunichunia wiki nzima, akapita demu ana msambwandaa, si akamkodolea mpaka aibuuuu jamaniiii. Wanaume hawaaa. Nilishikwa na hasiraa, sasa as a way to manage my anger nikamwambia nikutongozeee? I was being sarcastic while smiling. Angekuwa mtu anajielewa ang apologise kwa tabia yake. Sasa Jitu zima ovyo lile likakubali kanitongozee ndio.
Tobaaaaaaaaaaa! Zege ukishalikoroga halirudi kuwa cement , basi nikapanic ila sikutaka kumuonesha kuwa naumia na ufirauni wake, nikaenda kwa yule dada, si mbali kidogo na meza yetu haskiii tunachozungumza. Mi nikamchana tu "Mwanangu yule bwana wangu nampenda sanaa usije kumuona kaenda age ukajua ana akili, hana hata mojaaa, kanituma nije niombe namba yako, Wanawake inabidi tuungane kutokomeza unyanyasaji wa wanaume kama huuu, we mwanamke mwenzangu tunaenda wote mwezini, we kama vipi chukua peni iandike hii namba nayokupaa kwenye hio karatasi hii namba yangu ingine ya tablet. Andika hapo 0767879098. Yule dada akaandika bado haelewi what is what, nikachukua ile karatasi na kwenda kumpa.
Alivonishusha roho iliniumaa sanaa manake nilijua kabisaa anarudi kwa yule demu, niliumia rohoo mpaka basi. Nikajua kwanini Z alikuwa anatukanwa anarudia kupiga simu. Maumivu ya moyo hayapoi kwa ganziiii. Nikatamani nichukue boda boda nimfatilie nyuma nyuma akirudi kule, nikajikaza kuingia ndani kwangu. Nikawa nangoja tu nione simu yake ikiingia kwenye ile namba ya Ipad. Nimekaa na Ipad pembeni standby.
ITAENDELEA KESHO USIKU.