Weekend Story! DESPERATE!

Weekend Story! DESPERATE!

Mmhh kwani wewe huwezi kuwa uncle Freddy wangu??
Nimesisimka kama uncle freddy vile, wakati tunaendelea kumuombea huko aliko asiwe na haraka afanye mambo yake taratiiiibuuu, its my pleasure to be your uncle freddy , and yes I can.
 
Freddy kaamua kumuiga darasa kaacha maneno kaweka muziki lazma ann akimbie
 
Freddy kaamua kumuiga darasa kaacha maneno kaweka muziki lazma ann akimbie
 
ahahhah yani iyo kumsusia imenikumbusha mbali saaaaana ila sikumtamkia ila alijiongeza naamini.. Kuna wanaume wanajua bana yan ukikutana naye mwili hauna jeuri tena
 
Hahàa anna kapatikana sio kwa mechi hii...ila freddy muhuni tu ndo nini kuwasha mziki hivyo
 
maaaaaamae zake uncle freddy!
psyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
khaaaaa!ndo nini kupeana Zambezi sa hiz!
damn him!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom