brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,297
Chaaa nipitwe tu,natumia nguvu kumaintain haka kamwili zaidi ya hapo nawaachia size 0 tehSize 0 is the new Size 2! Oooooohhhhh!
Chaaa nipitwe tu,natumia nguvu kumaintain haka kamwili zaidi ya hapo nawaachia size 0 tehSize 0 is the new Size 2! Oooooohhhhh!
Hahaha Tutaolewa tu na ubonge wetu lol. Mtu akikupendea ubonge mbona haina shida, tatizo hawa wanaokupendea ulivyo slim, ukinenepa tu kidogo ni kesiMbona Bonge kapata mume! HAMNA FORMULA KWENYE HILI.
Dooh pole mama, sikuona taarifa, unakumbuka haka kamsemo kako ,*life is gamble, win some loose some,Jamani Story Saa 2 usiku, kuna redandancu huku kazini kwangu wameweka hela ndefu uondoke mwenyewe, au ubaki ucheze kamari. Sasa ndo nahangaika TUICO, kwa Recruitment agent wangu, NSSF, Lawyer. Saa 2 ndo nitapata mda.
Ila nashukuru alinipa hasira mpaka leo mazoezi ni sehemu maisha yangu hata baada ya kuwa mother of two. Ukimpiga teke chura.....Aisee kwakwel ulikuwa na haki ya kushinda gym... teh!
Hamta peperushwa na upepo mtakuwa mnatembea na mawe kwenye mikoba uzito unaongezeka.Naona wanatka tukipta barabarani tupeperushwe na upepo..!
Oo my chiii....! Cjabahatika bdo kpta mtoto cjui ntanenepa teh!Ila nashukuru alinipa hasira mpaka leo mazoezi ni sehemu maisha yangu hata baada ya kuwa mother of two. Ukimpiga teke chura.....
Dada lara mbona hata kazin kw mume wangu kimehappen kitu kama chako mhhhh.....Jamani Story Saa 2 usiku, kuna redandancu huku kazini kwangu wameweka hela ndefu uondoke mwenyewe, au ubaki ucheze kamari. Sasa ndo nahangaika TUICO, kwa Recruitment agent wangu, NSSF, Lawyer. Saa 2 ndo nitapata mda.
Inawezekana akawa mfanyakaz mwenzieDada lara mbona hata kazin kw mume wangu kimehappen kitu kama chako mhhhh.....
inabid ufanye ku pmHata ukipendwa ukiwa bonge, ukipungua sana maneno 🙂 🙂!!!Hahaha Tutaolewa tu na ubonge wetu lol. Mtu akikupendea ubonge mbona haina shida, tatizo hawa wanaokupendea ulivyo slim, ukinenepa tu kidogo ni kesi
Hahhaha kwa hiyo niendelee kubongeka tu daily Eeeh?Hata ukipendwa ukiwa bonge, ukipungua sana maneno 🙂 🙂!!!
Kwenye miogo usikose....
Hahha endelea tu bestie... ungejua unavyonoga hata usinge fikiria mara mbiliHahhaha kwa hiyo niendelee kubongeka tu daily Eeeh?
Hahaha we shall see to mihogo lol
Kiukweli mr.alinipigia simu muda mfup baada ya kutoka kwa dada lara khaaaa nilishtuka sana ....nikamuuliza saiv unafanyaje maelekezo alonipa kiukweli yameniweka njia panda ...nataman hata kumjua huyu lara huenda n mfanyakaz mwenzie na mr.mana huko ofisin.kwa mr.kumenuka mbaya kabisaInawezekana akawa mfanyakaz mwenzie![]()
inabid ufanye ku pm
Hahaa Ole wako uone Vitoto viportable siku hiyo unikimbie bonge mimi oooohHahha endelea tu bestie... ungejua unavyonoga hata usinge fikiria mara mbili
Yap usinchomeshe mahindi tu kule...
Oparesheni imeisha fanyika ?pole dada yangu haya maneno ya kila zama na kitabu chake yana ukweli mkubwa.Ndo tunatumbuliwa majipuuuu. Acha tuuuuu.
Hahaaaa! Badooo! Sahivi la mgambo tu, ukiomba mwenyewe kutumbuliwa jipu jifungu Nene hilo ukingoja utumbuliwe kafungu cha mchichaa. MAAMUZI MAGUMU NDO HAYA.Op
Oparesheni imeisha fanyika ?pole dada yangu haya maneno ya kila zama na kitabu chake yana ukweli mkubwa.
Ukiwa na akili ya kijasiliamali unaomba kupunguzwa tu.....Kuna watu wanahangaika kupata mitaji wengine mitaji inajileta wanambwela tu!Hahaaaa! Badooo! Sahivi la mgambo tu, ukiomba mwenyewe kutumbuliwa jipu jifungu Nene hilo ukingoja utumbuliwe kafungu cha mchichaa. MAAMUZI MAGUMU NDO HAYA.