Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

Mhhhhhh V jaman
 
Kumbe tukiwabananisha uzuri ndo mnasema"can we proceed"duh! Wa jandoni na unyagoni wamekutana nani zaidi?
 
Thank u Lara unanifanya nilale uzur, poor V nimemhurumia maskin masahibu hayaishi looo
 
kumbe ukimbana vizuri afurukuti sasa leo atanitambua
 
Yeah leo violla kapatikana mechi kapoteza na fumanizi juu maskini
 
Jana kaliwa na Raul leo asipoliwa na pastor MUNGU saidia....kweli MUNGU kamsaidia pastor Kala kisera bila hata kulipa bili ya 780,000/=
Duh pastor nae mkuda kampigia mpaka mtu wa TRA achek usajiri wa number.
 
Dah msembezo @lara1 ndio nimeingia class kupasha viporo japo njia nzima wakati naelekea home nakuwazia tu utamu wako utakaokuwa umeumwaga siku ya leo.
Big up sana bidada UMETUTEKA haswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…