Weekend Story! All is Fair in Love and War!

No 6

The Poser Husband.

Yes i am a poser husband, and i pose as weak wife husband and father of 3 kids for as long as i remember. Mi sikumtonhoza ndugu wasomaji. Alijitia kuja kunisifia wewe kaka msataarabu, wewe kaka muelewa, mpole. Watu mzuriii mzuriii, nikaona na mimi nipitemooo. Kuchomekaa tu kosaaa. Kitu na box. Nikamtia mimba ya kwanza. Sikumuoa kwasabahu sikumpendaa. Kabisaa.

I withstood all the pressure to marry her sababu ana mimba. Nilikuwa tu muwazi kwamba nitaleaa. Wazazi wake walikuja juu sanaa ila sikuoa mzee baba. Mtoto kazaliwa nikawa naenda kumuona fresh. Alikuwa na kazi yake kapanga nyumba yake nzima ana mdada wa kazi, nikija napewa treatment za baba mwenye nyumba. Baba kaja. Upepo ukanipenya kwenye ubongo nikaamua kumalizia privillage. Maana pamoja na yote but bado ananiheshimi, ananijali na nikaona ni kitonga.

Huku na huku naona tumbo linakua tu, tushabemenda. Nikajiwahi mwenyewe kujisalimisha basi kama vipi penalty. Watoto wa 2. No way out, nikamuoa tu. She was the happiest and i was the saddest that day. Ila picha zote nime smile, ndo uanaume huooo.

Unajua mwanamke kama humpendi na anajua humpendi ana keep protocal, kuishi nae inakuwa rahisi sana. Ila ukilegeza masharti na vigezo na kumpa karatasi lile anajiona anaweza kuki contain. Wapiiiiiii. Wiki hio hio tukaanza kutibuana maana alikuwa na expectations kibaooo. Kwa hasira akaavha kazi kunikomoa. Unamkomoa mwanaume???? Mbona una cheza kamari na mapapa. Unanikomoaje kwa mfano? Nakuachia 10,000 milo mi 3 hapo. Wakati mimi baba la baba kwanza asubuhi supu 7000. Mchana msosi wa 10,000 jioni mchemsho wa 7000 na bia za kutosha. Nikija home maharage yako naonja tu. Wanawake fanyeni kaziii. Oooo

Ugomvi ukazidi, and i share the blame equaly as her. Huku na huku nikakutana na mrembo Rose mbichiiii. Kamaliza chuo. Nikamwambia mambo yangu ya kuwa poser hubby. Akanielewa na kunipenda hivo hivo. Rose tulipendana sanaa. Ndo mwanamke niliempenda. Ila too late. Nikawa namega kisela hivo hivo.

Rose nilianza nae hana kazi, small time tu. Akapata kazi nzuriii mnooo, analipwa hatariii. Nikajua atanitemaa. Walaaaaa! Ndo kwanza heshima imeongezekaaa. Mara dufuuu. Upendo kauzidishaa. Ningekuwa muislamu ningemuoa mke wa pili. Ila nikawa nae kibingwa.

Akabeba mimba yangu. Nilifurahiii sanaa. I wish i could do more for Rose ila ndo hivo nimefungwa kifungo huruuu. Nazua safari za mikoania basi tu nikajiachie na Rose. Nikiingia kwangu sasa official ni malalamikooo malalamiko, makeleleee juu zogooo. Kama si lawama hii basi ile. Kama alinipania nirudi tu toka nilikooo. Nakerekaaaaa.

Watoto hawana hiki, hawana kile, mama ana shida hiii, yeye wife ana shida ileeee. Yaani ni pesa pesa pesaa. Hiki kimeisha hiki hamnaaa! Nitafight vyote vipooo. Oooh ulikuwa na wanawake zakoo. Hunipendiii. Sasa kwni hujui. Ukiomba mzigo kama unaomba msaada wa UN. Mpaka ajisikie. Ratiba ni sipewi, sipewi, sipewi, sipewi, napigwa busta, kutishiwa kupewa afu nasomewa mashtaka badala yake na kulala na kikoko. Sipewi. Napewa cha fasta fasta. Wiki limeisha tuanze upyaaa.

Kwa Rose nikifika kwanza napokelewaa. Napewa wine. She knows which one i like. Kwa ubaridi naotakaa. Tunakaa kibarazani na kujuliana hali, maendeleo kazini. Naulizwa nataka kula nini jioni hio. Kama anipikie au we go out. Kama we go out, wananjiandaa na dada na baby tunaenda kula. Huko kwenye kula she is making advances on me all night. Nitakanyagwa mguu. Nitakonyezwa, nitalambiwa midomo. Kama tumekutana jana. Ishara zote kuwa usiku afe kipa afe beki lazima yanga wachezeee.

Na sina pesa yoyote zaidi ya kula. Hata jeuri ya kuhudumia familia 2 sinaa. Nahudumia zigo langu kule, Rose anajihudumia mwenyewe na hata nikifeli nyumba kubwa ananipiga booster. Mara kibao. Cause anaelewa kazi yangu ya kipuuzi. Na yeyey anapata mshahara mara 5 yangu. Mpaka ada mda mwingine namchana tu live, collins sahivi yuko nyumbani, mambo kidogo yamenibana, anaelewa kiutu uzima kesho ananifanyia muamala bank. Nastuka tu kitu kimeingia.

Kama nakula nyumbani, napikiwa kwa mkono wake. Nachotaka. Kwangu nikisema pika hiki naulizwa kwa pesa gani ulioacha hapa. Au naambiwa nitolee mapepo yako, au usinitibue vuzi kamamumeshiba nyama zako huko kunywa maji ulale. The way Rose treats me inanionesha waziii how i am mistreated in my own home and abused by my wife. Tunakula pamoja, napewa privillage za baba mwenye nyumba. Yani mpaka najijua mimi baba mwenye hii nyumba.

Ndo maana kusema nimnunulie gari mke wangu Alice aliniminya pumbu. Kwanza anajua pesa sinaa, napambana wanangu wa 3 waende shule kidogo ambazo sikuzoma. Pili hata hio pesa ningekuwa nayo ningemnunulia Rose gari sio yeye. Kwa kipiiii? Matusi yake na nyodooo zake? Thubutuuuuu! Atatembea sanaa kwa miguu kwenda kupanda basi labda atajitafakari upya jasho likimtiririka kwenda kupanda hiace.

Mimi hii Alphard alininunulia Rose on my birthday. Sikumuomba wala nini. Na niliikataa sanaa cause sio mtu wa kupenda kumchuna mtu. Ila alinibebembeleza sanaa kwamba ni muhimu baba watoto wake niwe na usafiri. Cause watu hawamwelewi inakuwa vipi baby dady napanda hiace wakati analipwa mamilion. Alinibembelezaa. Nikaipokea.

Binti kidawa kuiona kuanza kuponda gari gani kama hiace umenunua? Kwanza bei rahisi. Ungenunua Murrano. Au hata Harrier. Mi nitakuwa sipandi. Bora kutembeaaa. Nikamuacha hapo na upupu wake. Na sikumpakiza mda. Akitaka kupanda namwambia ulisemajeee? Kituo kile palee. Napanda na wanangu mie. Baba jiiiiiiiiim.

Kwa Rose raha sanaa. Ni kama soul partners. Tunasoma vitabu vyetuuu. Anasoma hiki ananisimulia, nasoma hiki namsimulia. Ratiba ni kupewaaa mfululizoooo. Mpaka nikaogopa tusije kuongeza mtoto bureee. Ikawa balaa! Napewaaa! Hata siombiii. Ni part and parcel. Labda msimbazi wawe wana chezaa. Na mimi natoa dozi ya kibabeee. Naachaje sasa wakati mambo ndo kama haya msomaji kama ulaya.

Kuna vacation moja nilienda nae Dubai, wakati huyu mwanangu wa nje anatimiza mwaka. Akawa akawapeleka disney ya Dubai na dada na mimi Mzee Mkavu. Tulienjoy! Sanaaa! Nikajikuta nawakumbuka wale wanangu wengine. Damu yangu na wale pia ndugu msomaji. Ila nifanyaje mzee baba. Mpaka Rose akajua niko down. Nikamwambia tu nimewakumbuka wanangu wengine, i wish nao wawe hapa. Maana kuna vitu vyao wanavionaga kwenye Tv wangevifurahia sanaa. Akasema haina neno next time tutakuja nao. Nikajua kasema ile kusema tu.

Kweli birthday ya 2 years akaniambia this year tunaenda disney ya Paris, na wale wanangu wa 3. Sio wadogo sanaa. Ila ndo wamebananishwaa. 5,4,3 na huyu wa nje 2. Nyota nyekundu hioooo. Dangerrr! Huyu mkubwa ana akili akili ila bado hawezi kusimulia kunichomaaa. Nikamwambia Kidawa Alice. Nataka niende na watoto Paris likizo. Akauliza na mimi je? Nikamjibu unachunga nyumba. Tutasafiri wote vipi. Akaja juu. Nikamwambia nauli haitoshii.

Akawaka umeniachisha kazi nilee hii mitoto ndo unanifanyia hivi. Nikamuuliza mama umekatwa mikono? Katafute kazi ingine. Siendiiiii. Mikelele kibao. Moyoni nasema toa povu utoavo ila paris huendi. Siku ya safari ikafika, na wanangu na visa zetu. Katupelekea airport. Nikacheck in na wangu na kukutana na rose, dada na dogo.

Flight ya Paris ni ndefuuu haswaa ukiwa na watoto kama wale wangu. Ila Rose ningekutana nae mapemaa. Alinisaidia sana hasa kwa dogo huyu wa 3. Wale wa miaka 4 na 5 walitulia kama walijua tunadowea vya watu. Nikajua tutalala airpot Dubai na watoto wale balaa. Kumbe kalipia hotel kwanza tukae dubai siku 4 kwanza. Kwenda jangwani kule, 5 star hotel pale. Wanangu walikula bataa sanaa. Tukaenda Paris. Nako wali enjoy. Sio mbaguzi kabisaa, akinunua kitu ananunua watoto wote. Watoto walimpenda sababu roho yake sio mbaya.

Kurudi huyu 1st born akawa anamwambia mama yake Aunty anatupenda. Mama akastuka Aunty gani? Akamwambia ana mtoto anaitwa junior. Hakustuka sanaa akajua ni mtu na maisha yake possibly mumewe. Na mimi nikamwambia tulikutana kwenye ndege ni mke wa Lecturer mmoja. Akufatilia snaaa. Watoto wananiambia daddy next holiday tunaenda tenaa Paris. Nyie wanaa nyieeeee.

Nikaanza kumtongoza mke wangu Alice kwamba hafikiriii kuachana na mimi, maybe atafute mume mwingine ataempenda au hata aishi mwenyewe. Akasema hilo sahauuuu. Mi hapa nitavumilia mpaka mwisho wanangu wakue kwenye ndoa. Anazidiii kunikata stimuuuu.

Huku na huku nikaja kusikia kuna mtu kapeleka barua kwa kina Rose kwenda kumposa. Huyo mtu sijui katoka UK ana shida hatari ya mke. Na kampenda Rose kinoma noma. Na kwao Posa wameipokea kwa mikono miwili. Nikajikaza kumuuliza Rose je hayo ni kweli? Akasema ni kweli. Pumbu nilizisikia sakafunii zinaburutaaa. Whaaaat! Sikusema zaidi. Niseme nini ndugu msomaji? Nilipaniki hatariii.
am back Lara
 
EPISODE YA 7

The Prisoner Husband!

Kuwa mfungwa katika maisha huitaji hukumu ya mahakama wala kuta za gereza wala jeshi la magereza kukulinda. Niamini mimi ndugu msomajia hakuna gereza bayaaa kabisaaa duniani kama gereza la ndoa. Gereza hili ni zaidi ya gereza la mkoloni maana despite anything gereza hili halinanmahakama huru na lina kifungo kimojaa tu cha Maishaaa baaaaas.

Hata useme ujitie kauzuuuu wewe utajitoa kuwa sio mume wa flani, still either way jamii itakukomalia ni mume flani vizuri sanaaa. Taka usitake. Kuachana nae haikuvui cheo cha mume wa flani. Hata ukifa kwenye wasifu wa marehemu lazima waseme marehemu kaacha mke moja au wawili au wangapi kadri ulivofunga ndoa bila kujali ndoa zipo au zimefumukaaa kitambooo.

Mzungu anasema once you are married you will always be married. Title ya mume utaenda nayo kaburini. Cha kushangaza hata uzae na mwanamke watoto 10, ishi nae miaka 30. Usimuoe official, utaona wasifu wa marehemu unabadilika. Marehemu ameacha tu watoto na mzazi mwenzie au wazazi wenzie. Jamii haichukulii wepesi haya mambo hata kidogo.

Na hata mkiachana kwa makubaliano yenu kabisaa either way the husband takes the fall. Hata mkeo akicheat utasikia jamii inasema sio kosa lake, sasa mwanaume hamfikishi, hamridhisii unategemea afanyaje? Kosa la mwanaume hamkaziii vizuri. Akitoroshwa na tajiri wembe ule ule sio kosa lake jamani. Mwanaume kapukuuu kapukuuu mbwa kachoka, kamvumilia miaka 5 anakula shurba tu, bora akajipumzishe hukoo kwa bwana mpya, nae pia binadamu kachoka etiii. Ukipata wewe jimama ukasepa utasikia mwanaume sio mtu yuleee kabisaaa. Kamfuja kaona kachoka kamtelekezaaa maskini yarabi binti wa watu. Inasikitishaaa! Hawa wanaume hawaaaa hawana jema.

Unaambiwa NO WAY OUT au LOOSE LOOSE SITUATION. Either way the man looses. And i lost ndugu msomaji i lost. Ukiacha ufungwa wa jamii kuna mental slavery attached. Highest level of prisoner of mind. Huwezi kuwaza au kudhubutu kufikiria nje ya kuwa hapo for you family. Ukitekenyeka tuuu utasikia na familiaaaa? Damnnnn!!!!!! Ndo maana wana ndoa wengi wanakufa maskoni. Alone you move fast. We fatilia mabillionea wengi walitoka wakiwa single by the time wana oa mambo yao yashatuliaa. Hamna nasema hamna ukute mtu mtu na mkewe wakajenga empire hakunaaa.

I am mentally crippled just like Robert except Robert is economically free and i am economically prisoned. I am just wasting my life away.

My story like all sad stories started with a happy beggining. As they say the happier the beggining, the sadder the ending. It started way back before i even met Sandra. Sikupenda shule kabisaa tangu mtoto.

Viboko vya mzee baba, nijawa sugu akageukia mikanda nikanyooka mpaka nikamaliza la saba. Mzee baba aliniambia bora niende jela kwa mauaji ila sio nisikuone huendi shule. Nilitoroka home mara zaidi ya 3, mzee baba alinitafuta nankunipata na kunirudisha home kwa kipigoo heavy. Nika join gang la wakoraa wa wakoraa nikajua mzee hatoweza kunichomoa huko nakwambia alinichomoa kwa SMG kwenda nao man to man. Wakanifukuza bwana isiwe kesi.

Nikasogea sogea mpaka form 2 nikampiga ticha darasani. Nikafukuzwa shule na kuambiwa nije tu kufanya mtihani wa form 4. Msitake kujua baada ya kumpiga Ticha kilichonikuta. Mpaka leo mbavu yangu moja ina ufa. Nilipigwa mara 10 ya mwalimu. Nikasalimu amri kwamba Mzee baba nimemshindwa. Basi nimeshindwa mimi.

Akanipeleka shule za QT niwe nasoma kungoja kwenda kufanya mtihani wa form 4. Moyoni shule nishaikataa. You can force the donkey to the river but you can not force it to drink water. Matokeo ya form 4 nikapata 0. Mzee baba akaniambia utareseat mpaka utakapo pass, i dont care when au nitakuwa nimetupa bei gani.

Nikiwa na reseat siku tu moja jioni Mzee baba hakutoka kama kawaida yake. Akaniita kistaarabu maana tushakuwa maadui. Akaniambia nataka tuzungumze kwa amani. Nikawa like whatever! Simfeel kabisaa Mzee baba. Nikawa nimeketi. Akaniambia najua maana ya kuzaliwa kwanza? Nikajibu sijui. Maswali gani sasa hayo?

Akaanza kunieleza manake ni kuwa nikitoka mimi ni wewe. Nikajibu ukitoka wewe ni mama. Akasema nisikize mimi nikitoka mimi ni wewe. Mama yako ni mwanamke, mwanamke mwenye miaka mi 2 au 100 hawana tofauti. Mwanaume ni mwanaume. Na kamammkosi nina mwanaume mmoja ambae ni wewe nae ni hasara tupuuuu. Jipange dogo. Hatuna mkataba na Mola, siku sipo wewe ndo incharge kuhakikisha hawa wanakula na kuishi kama nipo. Moyoni nikasema huo uchuro sasa. Nikamtibua vuzi tu, haupo unampango wa kuoa mke mwingine nini. Akatikisa kichwa.

Akasisitiza elimu unaikata laiti ungejua ufilajii wa maishaaa huko mbele ungesomaa kama tahiraaa. Mi shule niliikataa nikakimbilia kufanya vibarua mgodini ila haipiti siku sijutiiii. Sahivi siwezi hata kukwambia mwanangu baba yako nafanya kazi gani. Kazi yangu inayotuweka mjini naijua mimi na Mungu tu. Navoona maji yatafta mkondo. Na mimi sitokubali ufate njia zangu. Kila mji yakitaka kufata mkondo tu naweka ukuta au namimina zege. Sikubaliiii.

Moyoni mi najua kazi ya mzee mlinzi, japo havai uniform. Ila baada ya kile kikao wiki hio hio usiku akaja kugonga mtu. Nikaenda kufungua mimi. Mama akawa nae kasikia. Namuona anavuja damu na namjua mshkaji wake baba. Akaniambia kuna matatizzo yametokea polisi wametuvamia kati kati ya kazi sasa mzee bahati mbaya kapigwa risasi ya kichwa sisi tumechomoka. Yupo godown kule asubuhi nenda polisi kafatilie maana mi naenda mafichoni tutaanza kusakwa wote.

Niligandaaaa. Kumbe mzee jambaziiii!!!!!!. I never suspected. Nikarudi ndani mama ananiuliza nani? Namwambia kakosea nyumba. Nikaenda kujikunyata chumbani naiona dunia chunguu. It all made sense why he wanted me so badly in school.

Asubuhi nikaenda polisi nikasema tunamtafuta baba hajarudi usiku. Akaniuliza jina wakaita majina ya mahabusu hayupo. Wakaniambia nenda mochwari. Sikuwahi kwenda mochwari, ila nilienda siku hio. Nikakuta mzee. Nikamwamvia namtafuta mzee, akanitizamaaa, akatoa maji kwenye jokofu la maitu akanywa, akarudishia chupa humo humo. Akaniambia kijana bado mdogo nenda urudi na mtu mzima ndo nitakufungulia miili uione.

Nikaenda kumwambia bamdogo hakustukaa sana. As if anaijua kazi ya kaka yake. Akasema twende. Tumefika wakaanza kufungua wa ajali na nini hamna. Tukata kuondoka akasema kuna majambazi ma 2 yaliletwa jana usiku bado sijayaweka kwenye jokofu. Siwezi kumaliza umeme wangu buree kwa mijitu mishenzi mishenzi inaua watu na kuporaa. Nimeitupia humo ichungulieni.

Kumgeusa wa kwanza ndiye yeye mwenye, kapigwa risasi ya jicho na kafa mdomo wazi as if alikuwa anashangaa. Sikupiga ukunga wala bamdogo hakupiga ukunga, ila baadae ndo nilistuka kumbe mkojo ulinipenya bila kujijua. Then followed days of sadness. Msiba haukuwa mkubwa ikizingatiwa kazi ya marehemu na mazingira ya kifo chake, sana sana ni majirani, na boss wake ndo alikuja kutoa pesa ya msiba, si mfanyakazi kafia kazini na rambi rambi na mafao kidogo kupoozaa. Maaskari wachache waliokula pesa za marehemu enzi za uhai wake na ndugu na familia.

Baada ya msiba reality started to kick in, hakuna wa kutunza familia. Ikabidi Maza atafute kazi kiwandani tupate chakula. Wadogo zangu wakaanza kuliwa liwa mtaania na wajinga wajinga . I just had to do something. Nikaanza kutafuta kazi. Nikapata kibarua kwenye kampuni ya cctv.

Kampuni ilikuwa ya unyonyajiii mshahara tarehe 40. Masimango mpaka basi ila nilifanya kazi kwa moyo sanaaa. I just couldnt go like my pops. Nilijitumaaa balaaaa. Kampuni ilikuwa ya mhindi. Mpaka sifa zangu zikamfikia Mchaga bwana wa Sandra. Akanichukua kwenye kampuni yake.

Nikafanya kwa uaminifu mkubwa sanaa. Nili reseat nikapata c tanoo. Nikasoma QT nikafaulu pass za chuo. Nikasoma degree ya jioni mpaka nikamaliza. Na yule boss alinisapoti sanaa. Kuniruhusu nitoke saa 9. In short alikuwa ananichukulia kama mdogo wake. Alikuwa zaidi ya boss. Ananiachia gari za ofisini naendesha kama zangu. Nivomaliza chuo nikawa ndo kila kitu kwenye kampuni. Pesa nilipata za kutoshaaa.

My life was going perfect maana hata home palikuwa fresh, dogo aliezalia nyumbani nilimtafutia shule, na nikawa namkunyuga mikwajuuu ya kutosha mpaka akwa kafika certificate. Mpaka maza anasema bora baba yao angekuwepo wewe sio mtuuu, nimekuzaa mwenyewe ila sio mtu wewe. Unapiga kama unaua. Mwingine alikimbilia kwa bwana akazaa hujo, nikaenda kumchomoa na kumrudisha home na mtoto. Uzuri huyu si mkorofi ndo maana hata alipata bwana wa kumsogeza tukae. Alikuwa kamaliza form form 4 pass sio nzuri. Nikamuingiza ualimu. Akawa kakubali. Nilisumbuana na jamaa mpaka basi. Nikasema kama unampenda ngoja asome kwanza, then utamchukua, kwanza inabidi unishukuru nakusomeshea mkeo.

I was sure my dad was proud of me. Everything was going perfect untill one day bad lack struck! Like all other badlack you can feel it from the beggining. Nikiwa na boss kubwa akawa ananiambia kuna mtoto moja wa kishua kishenziiiii. Wakishua haswaaaa. Kamuelewaaa na na nini. She is special. Their love is special. Their bond is special. Yaani kama vipi anataka kumuoa hivo hivo japo ana wake wa 2 tayari. Kama Lil Wayne tu alivoamua kumuoa strip kwa ndoa ya siri. Nae anataka kufunga nae ndoa ya siri. Ili hata akifa na huyu mtoto wa kushua apate kitu.

Nikamwambia boss mbona unachukua maamuzi magumu hivooo. Unajua hawa wanawake wa mjini wajanja sanaa. She is not special, niamini mimi anaweza kutegeka na kitu kidogo sanaa. Unaweza shangaa wewe unawaza kumuandikia urithi mjinga mjinga kama mimi anapiga pipe.

Boss akasema you have a point. Nimepata wazo. Mi nakuamini sanaa! Kama vipi kamjaribuuu wewe. Mi nitakupa resources zote. Nikastukaaa! Mimi boss? Akasema ndio wewe, wewe si ndo umetoa wazo? Najua huwezi kunigeuka. Nikagunaaa. Nikajipa moyo huyo demu wa kumkubali boss atakuwa na upungufu wa akili ata kama pesa sio design hii. Nikamwambia sawa, na usinipe chochote naenda front hivi hivi tu. Boss akasema bwana litakuwa jaribu lepesi. Nikamwambia tulia mzee baba niachie show hii.

Kumuona demu mwenyewe kisuuu cha hatariiii! Balaaaa! Afu ni wale wanwake jeuriiii. Mwanzo alikuwa hanisalimii kwa nyodo. Nikajiapiza huyu lazima nimpige pipe na pipe hio ni ile ya kufuja fuja tu. Nikawa namcheki tu anavo nichokonoaaa.

Siku hio akavuka mipaka. Katika ubishani akasema kwanza inaonekana elimu yako ni cheap cheap sanaa. Mara i am your facking boss. Ananiletea nyege mshindo. Mi nampimia tu. Nikaamua sasa hapa liwalo na liweeee ndugu msomajii.

Nikaamfata juu huko na kumchana bwana bibie naona unaitaka na mimi nakutaka, sasa tusikaushane uzazi ado ado kama vipi tupeane mambo. TatiO si ulitaka nikuanze ndo nimekuanza sasa kamili kamili. Anajifanya hataki nikamdaka juu juu move inaitwa babu seyaa ndo mimi na jela siiogopi.

Anafurukutaaaa akatuliaaa kusikilizia utamuu. Haka kamchezo katamuuu kila mtu anakapendaa. Hapo hapo nikambabananishaa tunaneda kwangu au kwako kumimalizia hii game. Akaanza im not so sure this is the right thing right now. Mmmmmmhhh nikaona kawia, kawia utakuta mwana si wako. Nikachange game plan na kuamua kama vipi namfumua pale pale right there and then.

Nikahamia kasi ya 4G, nataka kufungua blouse anashika no! Weeeee! Nikaichana. Afu fastaa nambembeleza ssshhh baby, usininyimeee, pleaseee! Mpaka nalia machoziii kabisaa, nimepanic. Tonge linaniponyoka vipi mdomoni kwa mfano. Machozi yale yakampooza kidogo kama nimechana blousee. Nashika sketi nasikia dont please.

Mxiuuuuuuuuuu! Nikamwambia acha ungeseeee. Najua unataka nikutie, na mimi nataka tutiane. Basi chagua moja get in the mood tutiane kiutu uzima show ya kibabe, tumkomoe bwana wako na demu wangu. Au mi nisuse nisepe zangu, usitake nikubembelezeee sanaa, naweza nikasusa vile vile. Mzee baba napiga mkwaraa.

Hakuutegemea ule mkwara akawa design kama kapanic flani hiviii. Akili zikamkaa sawaaa. Na mimi hapo niko na boxer ashaunona mzigo si wakitoto, mwili wa mazoezi, akaamua kufanya maamuzi magumu aliofanya Mke wa mmosiri kwa Yusufu.

Akashusha sketi mwenyeweee babake maninaaa, kavaa bikini G string vikamba tu vimepitaa. Paja lainii zinafanyiwa waxing zileee. Maninaa. Na lace wig lile kama mtoto wa kijapani. Akavua sidiria akaamua kuitupa kuleee. Mi namuangaliaaa tu, navuta stimuu. Akainama akashika mezaa kanibinulia mzigooo nileee wa dougy style.

Wazo likanijia kwenye kumjaribuuu kula mzigo imo au aimooo? Nikasema atajijuuu mwenyewe boss. Hapa mi napiga show. Mzee baba nikasogelea mzigo nikachomeka engine mzigoni, kavu kavu. Mzima zima nikazama ile priiii mpaka maka mashine nzima nimezamisha. Bolyanki! Teminator! Wasomaji nyie watu wazimaaa msitake niwape details wakati details mnazo mkononi.

ITAENDELA
Mmmhhh
 
Back
Top Bottom