Weekend Story! All is Fair in Love and War!

Weekend Story! All is Fair in Love and War!

Sensei mwenyewe...kubwa la maadui amrish puri..[emoji3][emoji3]
 
Nasikia siku hizi amekuwa msaidizi maalumu wa mama wa Taifa kule Manerumango kisarawe, mtamtaka?
 
Haki ya nani umerudi sijui ulipotelea wapi? inabidi nianze kusoma kuanzia episode 1 dadeki
 
Nasiki lara 1 amehamia kisarawe, amekuwa muandishi maalum wa Mh. Mkuu wa Wilaya Jokate
 
I AM BACK FOR REAL! Aibu naona mimi. Siongei mengi namalizia hio story.[/QUOT
Yule msomali aliekufungia anakupiga 'full picture' muda wote huu mwambie mwambie mi nimesema yeye ni fala, mse***ng,jinga na kila kibaya!ALISHINDWA HATA KUKUACHIA WIKI MBILI UMALIZIE HADITHI,UKATUACHA NA AROSTO SISI NUSU MWAKA??!
Mwambie pambaafu kabisa!!!
 
Ngoja nirudie kwanza kuisoma, mana longtime kitambo.. Ili tuende sawa na fanani[emoji28]
 
Back
Top Bottom