Weekend Story! All is Fair in Love and War!

Weekend Story! All is Fair in Love and War!

"The way rose treats me inanionyesha wazi how I'm mistreated in my own hom and abused by my wife" nyokko zako umarioo tu ushamkausha mwanamke wawatu kizazi mitoto miwili yote afu unaleta umakumaku nyie ndo mnakufaga kwa guilty [emoji118] [emoji118]



Cc Smart911
walah nimecheka sana
 
Nina hio hamu ya kujua what next balaaaa... Nyodo zote zile kwa mkeo khakha [emoji23] Hivi na kazini ulikua unaenda kweli??? Sio kwa micare Ile!!


Cc Smart911
hahaa ile nisawa na kuonjeshwa kitu kitamu halafu ukanyimwa kula chote ..yaani jeuri yote inakwenda kunitoweka ...vacation nitakuwa nakwenda bagamoyo hakuna tena cha Sydney wala Paris ...
. uwiiiii nakwnda kumroga huyo mtoa posa ..ama zangu amazake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dadeq
Team mariooo aka poser husband lazima upagawe na pumbu ziburute sakafuni,pole sana
 
Ahsante KLM, ile sie wa ST Kayumba safari hii unatuburuza sana. Umeamua kwenda intenesheno. Tutajikongoja hivohivo mdogomdogo.

Baada ya kuchezea kipigo cha Singida United naelekea kuwa Poser....
Nilijua umepewa ban rafiki
 
Back
Top Bottom