Weekend Story! All is Fair in Love and War!

Wapo mbona ila wachache sana wenye hela na waliotulia kuwabahatisha sasa mpaka uwe na kismart kama cha mahondaw [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Cc Smart911
We jishebedue tu na kismsrt chako ck kimegeuka mbogo utafuta wote waliokutongoza

Hahaha utaishia kwa muuza nguruwe

Ndo utakapoijua supu ya nguruwe kuwa inanywewa ikiwa imepoa

[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hihihii uzuri Smart911 sio mswahili swahili kama venye watz wengi tulivo na ikitokea akanitema ujue mimi nimemuudhi sana tena sanaaa nimetaka kumpanda kichwani na hakii jf ndo itakua baibai make sijui ntaiweka wapi hii sura yangu ntakavochekwa na kuchambwa wima hili nalijuaaa [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2]
 
Hihihii uzuri Smart911 sio mswahili swahili na ikitokea akanitema ujue mimi nimemuudhi sana tena sanaaa nimetaka kumpanda kichwani na hakii jf ndo itakua baibai make sijui ntaiweka wapi hii sura ntakavochekwa na kuchambwa wima hili nalijuaaa [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2]

Mbona kama hauja mcc Smart, au kwa vile umemtag? Usihofie sana mabaya ya mbeleni ambayo hayajatokea kiasi cha kukufanya kushindwa kufurahia maisha ya sasa hivi.
 
Hihihii uzuri Smart911 sio mswahili swahili kama venye watz wengi tulivo na ikitokea akanitema ujue mimi nimemuudhi sana tena sanaaa nimetaka kumpanda kichwani na hakii jf ndo itakua baibai make sijui ntaiweka wapi hii sura ntakavochekwa na kuchambwa wima hili nalijuaaa [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2]

Sasa Smart akikuacha kosa la nani? Si uamamuzi wake binafsi and he is responsible for it. Wewe you give it your best shot, you loved like never before and it is what it is. Kwanini uondoke Jf kwa uamuzi wa mtu mwingine? Kwanini ukubali kuchambwa kwa maamuzi ya mtu mwingine? Live your life for you girl not other people.

Shida nikwamba kamoyo kangu is not capable of handling the blah blah na maneno mbofu mbofu ya viumbe wahumu na vile najitoaga ufahamu tu kwa support ya smart.. He encourages me sana humu ilaa otherwise siweziii Smart911 mwenyewe anajua..nishataka kujifia siku nyiiiingi kipindi hiko nliandamwa sana akanikokota Ivoivo ndo mpaka sasa nasavaivu
 
No 6
Flight ya Paris ni ndefuuu haswaa ukiwa na watoto kama wale wangu. Ila Rose ningekutana nae mapemaa. Alinisaidia sana hasa kwa dogo huyu wa 3. Wale wa miaka 4 na 5 walitulia kama walijua tunadowea vya watu. Nikajua tutalala airpot Dubai na watoto wale balaa. Kumbe kalipia hotel kwanza tukae dubai siku 4 kwanza. Kwenda jangwani kule, 5 star hotel pale. Wanangu walikula bataa sanaa. Tukaenda Paris. Nako wali enjoy. Sio mbaguzi kabisaa, akinunua kitu ananunua watoto wote. Watoto walimpenda sababu roho yake sio mbaya.
.

Mara nyingi (kama sio siku zote) wenye roho nzuri ndio hufanikiwa kwani hata Mungu huwafungulia milango ya kupata. Maombi yao hufanikiwa in combination with their struggles kimaisha.

Nipo nawe fanani Lara 1.
 
No 6

The Poser Husband.

Yes i am a poser husband, and i pose as weak wife husband and father of 3 kids for as long as i remember. Mi sikumtonhoza ndugu wasomaji. Alijitia kuja kunisifia wewe kaka msataarabu, wewe kaka muelewa, mpole. Watu mzuriii mzuriii, nikaona na mimi nipitemooo. Kuchomekaa tu kosaaa. Kitu na box. Nikamtia mimba ya kwanza. Sikumuoa kwasabahu sikumpendaa. Kabisaa.

I withstood all the pressure to marry her sababu ana mimba. Nilikuwa tu muwazi kwamba nitaleaa. Wazazi wake walikuja juu sanaa ila sikuoa mzee baba. Mtoto kazaliwa nikawa naenda kumuona fresh. Alikuwa na kazi yake kapanga nyumba yake nzima ana mdada wa kazi, nikija napewa treatment za baba mwenye nyumba. Baba kaja. Upepo ukanipenya kwenye ubongo nikaamua kumalizia privillage. Maana pamoja na yote but bado ananiheshimi, ananijali na nikaona ni kitonga.

Huku na huku naona tumbo linakua tu, tushabemenda. Nikajiwahi mwenyewe kujisalimisha basi kama vipi penalty. Watoto wa 2. No way out, nikamuoa tu. She was the happiest and i was the saddest that day. Ila picha zote nime smile, ndo uanaume huooo.

Unajua mwanamke kama humpendi na anajua humpendi ana keep protocal, kuishi nae inakuwa rahisi sana. Ila ukilegeza masharti na vigezo na kumpa karatasi lile anajiona anaweza kuki contain. Wapiiiiiii. Wiki hio hio tukaanza kutibuana maana alikuwa na expectations kibaooo. Kwa hasira akaavha kazi kunikomoa. Unamkomoa mwanaume???? Mbona una cheza kamari na mapapa. Unanikomoaje kwa mfano? Nakuachia 10,000 milo mi 3 hapo. Wakati mimi baba la baba kwanza asubuhi supu 7000. Mchana msosi wa 10,000 jioni mchemsho wa 7000 na bia za kutosha. Nikija home maharage yako naonja tu. Wanawake fanyeni kaziii. Oooo

Ugomvi ukazidi, and i share the blame equaly as her. Huku na huku nikakutana na mrembo Rose mbichiiii. Kamaliza chuo. Nikamwambia mambo yangu ya kuwa poser hubby. Akanielewa na kunipenda hivo hivo. Rose tulipendana sanaa. Ndo mwanamke niliempenda. Ila too late. Nikawa namega kisela hivo hivo.

Rose nilianza nae hana kazi, small time tu. Akapata kazi nzuriii mnooo, analipwa hatariii. Nikajua atanitemaa. Walaaaaa! Ndo kwanza heshima imeongezekaaa. Mara dufuuu. Upendo kauzidishaa. Ningekuwa muislamu ningemuoa mke wa pili. Ila nikawa nae kibingwa.

Akabeba mimba yangu. Nilifurahiii sanaa. I wish i could do more for Rose ila ndo hivo nimefungwa kifungo huruuu. Nazua safari za mikoania basi tu nikajiachie na Rose. Nikiingia kwangu sasa official ni malalamikooo malalamiko, makeleleee juu zogooo. Kama si lawama hii basi ile. Kama alinipania nirudi tu toka nilikooo. Nakerekaaaaa.

Watoto hawana hiki, hawana kile, mama ana shida hiii, yeye wife ana shida ileeee. Yaani ni pesa pesa pesaa. Hiki kimeisha hiki hamnaaa! Nitafight vyote vipooo. Oooh ulikuwa na wanawake zakoo. Hunipendiii. Sasa kwni hujui. Ukiomba mzigo kama unaomba msaada wa UN. Mpaka ajisikie. Ratiba ni sipewi, sipewi, sipewi, sipewi, napigwa busta, kutishiwa kupewa afu nasomewa mashtaka badala yake na kulala na kikoko. Sipewi. Napewa cha fasta fasta. Wiki limeisha tuanze upyaaa.

Kwa Rose nikifika kwanza napokelewaa. Napewa wine. She knows which one i like. Kwa ubaridi naotakaa. Tunakaa kibarazani na kujuliana hali, maendeleo kazini. Naulizwa nataka kula nini jioni hio. Kama anipikie au we go out. Kama we go out, wananjiandaa na dada na baby tunaenda kula. Huko kwenye kula she is making advances on me all night. Nitakanyagwa mguu. Nitakonyezwa, nitalambiwa midomo. Kama tumekutana jana. Ishara zote kuwa usiku afe kipa afe beki lazima yanga wachezeee.

Na sina pesa yoyote zaidi ya kula. Hata jeuri ya kuhudumia familia 2 sinaa. Nahudumia zigo langu kule, Rose anajihudumia mwenyewe na hata nikifeli nyumba kubwa ananipiga booster. Mara kibao. Cause anaelewa kazi yangu ya kipuuzi. Na yeyey anapata mshahara mara 5 yangu. Mpaka ada mda mwingine namchana tu live, collins sahivi yuko nyumbani, mambo kidogo yamenibana, anaelewa kiutu uzima kesho ananifanyia muamala bank. Nastuka tu kitu kimeingia.

Kama nakula nyumbani, napikiwa kwa mkono wake. Nachotaka. Kwangu nikisema pika hiki naulizwa kwa pesa gani ulioacha hapa. Au naambiwa nitolee mapepo yako, au usinitibue vuzi kamamumeshiba nyama zako huko kunywa maji ulale. The way Rose treats me inanionesha waziii how i am mistreated in my own home and abused by my wife. Tunakula pamoja, napewa privillage za baba mwenye nyumba. Yani mpaka najijua mimi baba mwenye hii nyumba.

Ndo maana kusema nimnunulie gari mke wangu Alice aliniminya pumbu. Kwanza anajua pesa sinaa, napambana wanangu wa 3 waende shule kidogo ambazo sikuzoma. Pili hata hio pesa ningekuwa nayo ningemnunulia Rose gari sio yeye. Kwa kipiiii? Matusi yake na nyodooo zake? Thubutuuuuu! Atatembea sanaa kwa miguu kwenda kupanda basi labda atajitafakari upya jasho likimtiririka kwenda kupanda hiace.

Mimi hii Alphard alininunulia Rose on my birthday. Sikumuomba wala nini. Na niliikataa sanaa cause sio mtu wa kupenda kumchuna mtu. Ila alinibebembeleza sanaa kwamba ni muhimu baba watoto wake niwe na usafiri. Cause watu hawamwelewi inakuwa vipi baby dady napanda hiace wakati analipwa mamilion. Alinibembelezaa. Nikaipokea.

Binti kidawa kuiona kuanza kuponda gari gani kama hiace umenunua? Kwanza bei rahisi. Ungenunua Murrano. Au hata Harrier. Mi nitakuwa sipandi. Bora kutembeaaa. Nikamuacha hapo na upupu wake. Na sikumpakiza mda. Akitaka kupanda namwambia ulisemajeee? Kituo kile palee. Napanda na wanangu mie. Baba jiiiiiiiiim.

Kwa Rose raha sanaa. Ni kama soul partners. Tunasoma vitabu vyetuuu. Anasoma hiki ananisimulia, nasoma hiki namsimulia. Ratiba ni kupewaaa mfululizoooo. Mpaka nikaogopa tusije kuongeza mtoto bureee. Ikawa balaa! Napewaaa! Hata siombiii. Ni part and parcel. Labda msimbazi wawe wana chezaa. Na mimi natoa dozi ya kibabeee. Naachaje sasa wakati mambo ndo kama haya msomaji kama ulaya.

Kuna vacation moja nilienda nae Dubai, wakati huyu mwanangu wa nje anatimiza mwaka. Akawa akawapeleka disney ya Dubai na dada na mimi Mzee Mkavu. Tulienjoy! Sanaaa! Nikajikuta nawakumbuka wale wanangu wengine. Damu yangu na wale pia ndugu msomaji. Ila nifanyaje mzee baba. Mpaka Rose akajua niko down. Nikamwambia tu nimewakumbuka wanangu wengine, i wish nao wawe hapa. Maana kuna vitu vyao wanavionaga kwenye Tv wangevifurahia sanaa. Akasema haina neno next time tutakuja nao. Nikajua kasema ile kusema tu.

Kweli birthday ya 2 years akaniambia this year tunaenda disney ya Paris, na wale wanangu wa 3. Sio wadogo sanaa. Ila ndo wamebananishwaa. 5,4,3 na huyu wa nje 2. Nyota nyekundu hioooo. Dangerrr! Huyu mkubwa ana akili akili ila bado hawezi kusimulia kunichomaaa. Nikamwambia Kidawa Alice. Nataka niende na watoto Paris likizo. Akauliza na mimi je? Nikamjibu unachunga nyumba. Tutasafiri wote vipi. Akaja juu. Nikamwambia nauli haitoshii.

Akawaka umeniachisha kazi nilee hii mitoto ndo unanifanyia hivi. Nikamuuliza mama umekatwa mikono? Katafute kazi ingine. Siendiiiii. Mikelele kibao. Moyoni nasema toa povu utoavo ila paris huendi. Siku ya safari ikafika, na wanangu na visa zetu. Katupelekea airport. Nikacheck in na wangu na kukutana na rose, dada na dogo.

Flight ya Paris ni ndefuuu haswaa ukiwa na watoto kama wale wangu. Ila Rose ningekutana nae mapemaa. Alinisaidia sana hasa kwa dogo huyu wa 3. Wale wa miaka 4 na 5 walitulia kama walijua tunadowea vya watu. Nikajua tutalala airpot Dubai na watoto wale balaa. Kumbe kalipia hotel kwanza tukae dubai siku 4 kwanza. Kwenda jangwani kule, 5 star hotel pale. Wanangu walikula bataa sanaa. Tukaenda Paris. Nako wali enjoy. Sio mbaguzi kabisaa, akinunua kitu ananunua watoto wote. Watoto walimpenda sababu roho yake sio mbaya.

Kurudi huyu 1st born akawa anamwambia mama yake Aunty anatupenda. Mama akastuka Aunty gani? Akamwambia ana mtoto anaitwa junior. Hakustuka sanaa akajua ni mtu na maisha yake possibly mumewe. Na mimi nikamwambia tulikutana kwenye ndege ni mke wa Lecturer mmoja. Akufatilia snaaa. Watoto wananiambia daddy next holiday tunaenda tenaa Paris. Nyie wanaa nyieeeee.

Nikaanza kumtongoza mke wangu Alice kwamba hafikiriii kuachana na mimi, maybe atafute mume mwingine ataempenda au hata aishi mwenyewe. Akasema hilo sahauuuu. Mi hapa nitavumilia mpaka mwisho wanangu wakue kwenye ndoa. Anazidiii kunikata stimuuuu.

Huku na huku nikaja kusikia kuna mtu kapeleka barua kwa kina Rose kwenda kumposa. Huyo mtu sijui katoka UK ana shida hatari ya mke. Na kampenda Rose kinoma noma. Na kwao Posa wameipokea kwa mikono miwili. Nikajikaza kumuuliza Rose je hayo ni kweli? Akasema ni kweli. Pumbu nilizisikia sakafunii zinaburutaaa. Whaaaat! Sikusema zaidi. Niseme nini ndugu msomaji? Nilipaniki hatariii.
The poser Husband ..aisee
 
Tunendelea jamani na mvua hiliiii!

Shusha dude mama shusha mzigo...huku nilipo kuna wingu la hatari na mvua za hapa na pale.
Hatukawii kupewa bonus track.... nimeshakwambia nimevurugwa lakini.
 
haha hahaa manina ...mambo ya posa tena ...""'!? mimi ningezimia kabisaaa """afadahali ya huyo pumbu zimepasuka na kujiunga tena
Nina hio hamu ya kujua what next balaaaa... Nyodo zote zile kwa mkeo khakha [emoji23] Hivi na kazini ulikua unaenda kweli??? Sio kwa micare Ile!!

Hii nimeipenda
 
Back
Top Bottom