Weekend Story! All is Fair in Love and War!

haha hahaa manina ...mambo ya posa tena ...""'!? mimi ningezimia kabisaaa """afadahali ya huyo pumbu zimepasuka na kujiunga tena
 
binafsi yangu ..ningemuacha tu huyo mke ..na kwenda kumuoa rose ..basiiiii""" hapo u kristo ungenishinda..na wala nisingehitaji kuusikia
 
“Not because i loved him or even like him ...... He would simply not accept no as an answer “
 
binafsi yangu ..ningemuacha tu huyo mke ..na kwenda kumuoa rose ..basiiiii""" hapo u kristo ungenishinda..na wala nisingehitaji kuusikia
"The way rose treats me inanionyesha wazi how I'm mistreated in my own hom and abused by my wife" nyokko zako umarioo tu ushamkausha mwanamke wawatu kizazi mitoto miwili yote afu unaleta umakumaku nyie ndo mnakufaga kwa guilty [emoji118] [emoji118]

Cc Smart911
 
Roseeeee weee usimfanyie hivyo mzee mkavu baba Collins[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji12]
Empty set kabisa huyu mwanamke ngoja nayeye 40 yake ifike ndo atajua kwanini chips hailiwi na kijiko [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Limtu limekuzalisha bada lenyewe likulee still unalihudumia tena yeye na familia yake huko alikokitombesha mwanzo what a stu.pid woman!!

Cc Smart911
 
"The way rose treats me inanionyesha wazi how I'm mistreated in my own hom and abused by my wife" nyokko zako umarioo tu ushamkausha mwanamke wawatu kizazi mitoto miwili yote afu unaleta umakumaku nyie ndo mnakufaga kwa guilty [emoji118] [emoji118]

Cc Smart911

Mahondaw kama naona kwa mbali enzi zile kabla ya smart kukukulida khahahaha mbavu zao
 
Empty set kabisa huyu mwanamke ngoja nayeye 40 yake ifike ndo atajua kwanini chips hailiwi na kijiko [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Limtu limekuzalisha bada lenyewe likulee still unalihudumia tena yeye na familia yake huko alikokitombesha mwanzo what a stu.pid woman!!

Cc Smart911
We ropoka tu
Kabla hujabakwa
Hehebe
 
Empty set kabisa huyu mwanamke ngoja nayeye 40 yake ifike ndo atajua kwanini chips hailiwi na kijiko [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Limtu limekuzalisha bada lenyewe likulee still unalihudumia tena yeye na familia yake huko alikokitombesha mwanzo what a stu.pid woman!!

Cc Smart911
Hahaaaa afu mianaume mingi ya sasa ndo ilivyo...walai mi mwanaume wa kumlea yani sitamfeel kabisa khaa! Napenda vile nkiwa nadeka kwa baby yani anizidi kila kitu hivyo vya kumlea mhhh hapana kwakweli
 
Khakhakhaaaaaaa asha ngedere unamjua????[emoji15] [emoji15] [emoji2] reaction yake hio ningekukimbiza mpaka ungeona hizo kend mzigo haha [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Cc Smart911
Ndo maana nikaacha kwa sababu ningetokomea kwenye mahindi

Ngwala ya kule ungerudi kwa smart kisogo kinamatope na vumbi[emoji14] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
We chezea ugwadu
 
Hahaaaa afu mianaume mingi ya sasa ndo ilivyo...walai mi mwanaume wa kumlea yani sitamfeel kabisa khaa! Napenda vile nkiwa nadeka kwa baby yani anizidi kila kitu hivyo vya kumlea mhhh hapana kwakweli
Wewe kila zama.na ujinga wake

Inabidi umtafute Mwenye abave 70 yrs hqhahahahah
 
Tihtihtihtihi mulemuleeee[emoji106] [emoji106] [emoji106] .... Baada wewe mwanamke udekezwe eti unadekeza dume zima tena lenye mke na watoto... Mwisho wa siku linarudi kwake unabaki kulia wewe na ukoo wenu

Cc Smart911
 
Wewe kila zama.na ujinga wake

Inabidi umtafute Mwenye abave 70 yrs hqhahahahah
Hahahaaaa hapana kwakweli..kwanza mwanaume wa kulelewa hana confidence afu wanawake tunapenda baby anaejiamini mpenzi atakua anaogopa hata kukukoromea[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Ndo maana nikaacha kwa sababu ningetokomea kwenye mahindi

Ngwala ya kule ungerudi kwa smart kisogo kinamatope na vumbi[emoji14] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
We chezea ugwadu
Weeeeee[emoji117] [emoji117] [emoji117] kizembezembe tu!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Cc Smart911
 
Back
Top Bottom