Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 13,512
- 26,392
Mungu akurehemuYou are at a wrong place sir!!!!huku tunakula vitu vikali tu
Mungu akurehemuYou are at a wrong place sir!!!!huku tunakula vitu vikali tu
Naona Shikata kwa mbali mzee....... Watu huita Bange
Sasa Mungu na kuenjoy weekend vinaingiliana vipiMungu akurehemu
Hata mimi napenda vitu vikali madam, But MUNGU kwanza vitu vikali baadae.You are at a wrong place sir!!!!huku tunakula vitu vikali tu
Eeh hapa unazungumza vizuri tupia picha ya weekend hapa 🍻ukila vituHata mimi napenda vitu vikali madam,
Remember the SABBATH day to keep it holy....Eeh hapa unazungumza vizuri tupia picha ya weekend hapa ukila vitu
Nahisi umenielewa vyema ewe mwanahidayaSasa Mungu na kuenjoy weekend vinaingiliana vipi
Mechanism gani inafanya pingu kukaza zaidi ukitikisika
Pingu za kisasa (handcuffs) zinatumia mfumo unaoitwa ratchet and pawl mechanism (mfumo wa meno na kizuio) ambao unaziruhusu kufunga upande mmoja tu na kuzuia zisifunguke zenyeweMechanism gani inafanya pingu kukaza zaidi ukitikisika
Kuna watu mnaingiza miili yenu vitu vya ajabu.Nini kimesahaulika hapa❓❔ Nini kisikosekane.❗💪🏿❓❕View attachment 3672853
"Remember the Sabbath day, to keep it holy.Remember the SABBATH day to keep it holy....
Exodus 20:8...
Ni kama zile kamba ngumu zinazotumika kufunga wires ili zisiachane zina vimeno hivi ukifunga ndio umefunguka hairudi nyuma labda uendelee kukaza.Pingu za kisasa (handcuffs) zinatumia mfumo unaoitwa ratchet and pawl mechanism (mfumo wa meno na kizuio) ambao unaziruhusu kufunga upande mmoja tu na kuzuia zisifunguke zenyewe
Show me where it's written in the bible today is a sabbath dayRemember the SABBATH day to keep it holy....
Exodus 20:8...
🍺Alishawahi kutaja mwaka alioanzq kunywa pombe usikute ulikuwa hujazaliwa ..mimi binafsi niliwahi kuiuluzq AI kuhusu unywaji wa pombe na uvutaji sigara..matatizo wanayodai watu kuwa huletwa na pombe au sigara ni exaggeration tu!Kuna watu mnaingiza miili yenu vitu vya ajabu.
1984...!Alishawahi kutaja mwaka alioanzq kunywa pombe usikute ulikuwa hujazaliwa ..mimi binafsi niliwahi kuiuluzq AI kuhusu unywaji wa pombe na uvutaji sigara..matatizo wanayodai watu kuwa huletwa na pombe au sigara ni exaggeration tu!