Weekend loading, maandalizi ya mapema kama mnavyoona!

Konyagi ina ladha gani
Konyagi ina ladha ya kipekee nashindwa kuelezea...

Sio kama Pepsi nikikuambia tu ina cola flavor unaelewa...

Konyagi ina ladha ya limao kwa mbali, na ina utamu kwa mbaali unaotokana na juice ya miwa... ina viungo vingine pia...

Hukuwahi kuitumia?
 
Sijawahi kutumia kilevi chochote, ila mnanitamanisha.
 
πŸ˜­πŸ˜­πŸ™†πŸΏβ€β™‚πŸ˜­β—

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…