Huyo msabato atapanic kumuwekea kitimoto hapo😃
Niliwahi onjeshwa bapa nikaambiwa halisumbui kilichonikuta....naulizia gari yangu iko wapi ilihali sikuwa nayo 😂
Nipo Seran, vurugu tu maisha...ndo natype na wewe hapa wengine hawaoni 😂..Mhola! Umepotea sana mkuu kwema?
Usiwanue sana ili tule twenti twenti...akikaa vibaya thate...akilalama sana anarudishwa kwenye twente na kamhuri kale kidogo..jioni bapa liko wapi 😂Hiyo hata humu ndani ukiwauliza hawajui mpaka waende kumuuliza AI😂
Maisha yana purukushani usisahau kujipa muda wako, kwanini hawaoni?Nipo Seran, vurugu tu maisha...ndo natype na wewe hapa wengine hawaoni 😂..
Na pilipili anaongeza 😃Ila kwa siri huwa anagonga kimyakimya🙇🏿♂🙌🏿🏃🏿
Namimi simuamini huyu😂Ila kwa siri huwa anagonga kimyakimya🙇🏿♂🙌🏿🏃🏿
HIyo hawaoni ni jokes 🤣🤣Maisha yana purukushani usisahau kujipa muda wako, kwanini hawaoni?
Hahahah unajaribu uone nini kitatokea😂HIyo hawaoni ni jokes 🤣🤣
NATINGISHA MEZA bana kidogo 😂
Kwenye hii kumbi ukiangalia vyema huwezi kumkosa doumbia
Kumbe master kabisa! Ngoja ajee..Na hupenda kuanza na kongolo lake🤣