weekend hii nakuja Dar.

weekend hii nakuja Dar.

Chibolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
5,768
Reaction score
8,044
Nilizoea viwanja vya jolly,ambiance, sunsiro,bilicanas na maeda clubs mlioko dar naomba mnijuze viwanja vikali kwa sasa!
 
Karibu uwanja wa Fisi.. where we dare to **** publicly......
 
aiseeeeeee babaangu dar nasikia kunaviwanja vingi kuna shamba la bibi,uwanya wa taifa,chamanzi au hivyo ambias bis serekali imevijenga
 
Kama sioni vile
Mh...husband punguza wivu TANMO ni pacha wangu hivyo wewe ni shemeji ako! Mkewe ni FP ... Upunguzege wivu basi manake bado sijakutambulisha ukoo wetu wote.

Nimekumiss wewe zaidi!
 
Last edited by a moderator:
Waaaaaoooo, My Dear Pacha :hug:

Za masiku Pacha?
Missing you vere machest
Za masiku zilikuwa mbaya pacha bt vile nimeuona mwandiko wako hapa zimegeuka na kuwa nzuri sana!

Uwe unaniaga pacha wako jamani manake utaniuwa kwa mawazo na njaa mwenzio! Yaani ilibaki kidogo nianze kugoma kula kwa kukukosa!
 
Mh...husband punguza wivu TANMO ni pacha wangu hivyo wewe ni shemeji ako! Mkewe ni FP ... Upunguzege wivu basi manake bado sijakutambulisha ukoo wetu wote.

Nimekumiss wewe zaidi!

Mwenzio nilikuwa nakuwaza mpaka naweweseka.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom